Toggle navigation
TWText.com
TWText.com
faq
Contact US
Follow US
#Viongozi
MUSIBA CYPRIAN MAJURA
Nyamagambile
Mnaojua kiingereza saidieni kutafsiri uhuni wa hawa watu juu ya Afrika hawana nia njema kabisa aisee Tatizo kubwa tulilo nalo ni viongozi wengi afrika hawajiamini ndio maana wakichaguliwa tu wanashinda
Read more
K I B A D A M O
OscarFMbilinyi
"Unataka kuuza maji yenye sukari maisha yako yote au ongozana nami tukaibadilishe dunia" ni maneno kutoka kwa Steve Jobs muanzilishi wa shirika la Apple akimwambia aliekuwa mkurugenzi wa Pepsi kumtaka
Read more
t.rìflé🔅
tweetsrifle
Uasi wa Jeshi la TR na Jaribio la Kumpindua Mwl. Nyerere Mwaka 1964..Peter Bwimbo alikua Mlinzi namba moja wa Mwl. Nyerere. Alianza Kama Askari wa kawaida enzi za mkoloni, akahamishiwa
Read more
#ZIMBABWE
Roma_Mkatoliki
#UZI Wasanii Wetu Pendwa Wa Bongo Flava Mnaotoa Hizi Nyimbo Za #Kampeni Za Kunadi Na Kusifu Sera/Maendeleo Na Juhudi Za Vyama MbaliMbali, Mnafanya Kazi Nzuri Sana Kama Wasanii. NAWAPONGEZALakini Niwashauri
Read more
Festo D Ngadaya | Bonge La Afya 🇹🇿
FestoNgadaya
#FahamuNaFesto | Zifahamu plates number za Tanzania 1. Magari Serikali ya Tanzania - Magari haya huwa na kibandiko chenye Herufi za mwanzo na baada ya hapo hufuatiwa na namba kadhaa
Read more
Britanicca
Britanicca3
UZI MAALUM KWA WANAKAGERA KUHUSU MAGUFULI KUHUJUMU UWANJA WA NDEGE OMUKAJUNGUTINILIELEZA JAMIIFORUMS KWAMBA..Kwanini Chato International Airport na si Omukajunguti international Airport? Kagera inaonewa sana Mpango wa omukajunguti ni wa Sik
Read more
Kigogo⚖️🇰🇪
kigogo2014
MAMBO NANE (8) YA RAIS SAMIA KUZUNGUMZA NA BUNGE 1.SHERIA KANDAMIZI NA ZA HOVYO Ndani ya miaka 5 ya utawala wa Meko ni kipindi ambacho Tanzania imeshuhudia utungwaji wa sheria
Read more
Beatrice🦚
poeticTricy
I was deeply, delightfully in love with a guy whose forceful intellect n ambition could possibly end up swallowing mine" book: becoming Michelle Obama#fafanuziyanukuuChagua mtu anaetamani mafanikio yako na sio
Read more
t.rìflé🔅
tweetsrifle
Central Party Office #6.Kikosi maalumu ndani ya CHAMA na SERIKALI ya Korea Kaskazini chini ya familia ya KIM JONG-UN kwa zaidi ya nusu Karne. Huteuliwa kutoka kwenye Jeshi la watu
Read more
Dr.Socy²³ (HS)
biturojr
R.I.P DR. SHIKA#UZIMFAHAMU JAPO KWA KIFUPIDr. Shika alikuwa ni miongoni mwa wasomi wazuri lakini bahati mbaya elimu yake haijaweza kusaidia taifa hili achilia mbali kumsaidia yeye binafsi. Makampuni ya kibiashara
Read more
r!cky
guylikericky
Nairobi hukua mainly for character development, before unotice uko kwa relationship umeshaachwa kitambo, dame anakuteka akikutoka.A Thread. Tulikua tumerelax mansion na my pal Mbeki tukitoa minji like niggas in Kiamaiko.
Read more
Frankeli Le Roux
frankeli007
IN MY HUMBLE OPINION. Part Note:Hii ni ndefi kidogo. Kama wewe mvivu wa kusoma kaa mbali.Part 1 nilitoa MAONI/MTAZAMO wangu nikajaribu kuelezea kwanini "TOTAL LOCKDOWN" itakuwa sio uamuzi wa busara/sahihi.
Read more