Mnaojua kiingereza saidieni kutafsiri uhuni wa hawa watu juu ya Afrika hawana nia njema kabisa aisee
Tatizo kubwa tulilo nalo ni viongozi wengi afrika hawajiamini ndio maana wakichaguliwa tu wanashinda kutembea ulaya tu na kula bata badala ya kujenga nchi zao wao wanashindana kusafiri kwenda ulaya
Hawa wazungu kwa kweli ni hatari sana ipo siku watatuua kwa sumu wote waafrika nawambieni hawana amani dhidi yetu wanaona kama hatustahili kuishi duniani
You can follow @Nyamagambile.
Tip: mention @twtextapp on a Twitter thread with the keyword “unroll” to get a link to it.

Latest Threads Unrolled: