Nairobi hukua mainly for character development, before unotice uko kwa relationship umeshaachwa kitambo, dame anakuteka akikutoka.

A Thread.
Tulikua tumerelax mansion na my pal Mbeki tukitoa minji like niggas in Kiamaiko. Mbeki hawezi nyamaza, alikua ananiambia story nilimuambia juzi😂.Ulimi ilikua imeisha side moja kama slippers mzee buana. Tulikua tuserve hio minji on that WAP(wet ass plate) for the culture.
Ilikua on a Saturday afternoon kitu saa nane hapo tukiskiza ngoma za Octo na Jones tukicompare nani ndio m-khali. Hio playlist ilikua lit kuliko gikomba, nikama tulikua kamiti juu bars zilikua zinaflow ajabu. Hii beef ya Octo inakuanga ya pesa juu nikama Khaligraph anam O G💾
Tukichill panya nono ikapita fwaa kama mi na Mbeki tumeinua miguu juu. Nikam tuma kitu tuiue, hii haingeona another day.Noma ni sisi wote tulikuwa waoga, but nikamshow mi siogopi!!. Akaleta rungu nikaipiga ya kichwa mdomo ilikua inaangalia kando nikama ilikua inajipuliza kisogo
Kiasi tukaskia knock kwa mlango, ilibidi tumetupa maganda ya minji chini ya kiti kupreserve our gangsta. Tulikua tukiziskuma na miguu nauko chini, hakuna vile tungekubali majirani waone viongozi wanatoanga minji. Maganda si huziweka kwa juala tunazitupa tao nauko CBD.😂
We had to maintain world peas, kumbe ilikua Shee alikua amekujia movie. After 10 minutes akatoka tukarudi back to default.Tukichill my pal anapigiwa simu but anakata juu simu yake ndo ilikua inaplay kwa system. Music is importanter, but alipigiwa like 3 times in a row, akapick.
Obvious ni pesa alikua anaombwa so Mbeki akashika simu akisema,"Sina Pesa"😂Ndio anaambiwa "Aii jomba mbona hukunambia mnashuka hivi Nyali na mamaa atleast nijipange niwatafutie mahali mnaeza lala?? Mgeni haji bila kusema bana we, anyway wapenda madafu nikitoka kazini niwabebee?"
Mbeki alitoa simu kwa maskio akaiangalia kwa umbaaaaali akauliza, "uko sure ni mimi ama ni wrong number?"😂. Akaambiwa "haiyaa mshikaji wako ameeka status pale wozzap akisema mnaelekea Nyali" Mbeki akakata simu ferrr fast. Kuingia online, haoni status lakini messages zimejaa😂
Akafungua ya kwanza, ilkua inasema "Kwani ulikafunga, bro mimi kwanza nmetamani coconut ukirudi uniletee, hata pesa ikiisha sema nitakutumia"😭đŸ„șđŸ„șSaizo sisi tuko Kiandutu tumevaa vest na tumewekelea miguu kwa meza tukitoa minji. Ilibidi tumeitisha screenshot, tulikua hidden.
Waaaaaah, Liz alikua amepiga selfie akiwa co-driver, seatbelt imepita katikati ya nyondos for the culture halafu amecrop driver. Alikua amevaa dress fupi, ilikua inacheza friendly na kijojo ndo iwache room thighs zishikwe vizuri. Caption ilikua "omw to Diani with my fiance❀"
Liz alikua lightskin, short, th th th th th thiccccc akiingia kwa apartment yenu the plot thickens. Sauti ilikua nyororo kuliko ya chainsmokers. Akilean kwa ukuta unaeza dhani amevaa Tsho ya Vans coz mgongo iko Off the Wall. Kusema ukweli red flags be yellowish when her ass phat.
Belly meat ilikua size yake kama kale kabag ka mama mboga kanakuanga kwa kiuno. Hakua na forehead kubwa, angeangalia juu haraka angeona kwenye hairline inaanzia😂. Liz alikua amekosana na budake, alikua anamkazia raha so akamove out ,alikua anacrash kwa twins flani hapa Roysa
That morning Liz aliambia Mbeki anaenda kuona her daddy so asimtext na asimcall😂. Hakuspecify which dzadzy. Kumbe alikua anaenda road trip, but the 'a' was silent😭. Foshoo hakuna vile Liz angelipiwa room separate ati juu ni manzi ya Mbeki😂kwani who does Mbeki think he is?😂
Mbeki anamcall anamuuliza "babe uko??" Anasema "nikona kina Shee tuko tao"😭 'Shee mwenyewe sisi tumetoka kumuekea movie sai tu.' Mbeki anamuuliza "Why are you lying? Najua unaelekea coast tukona Shee hapa, why are you doing this to me😭". Liz akamuambia "hutaniharibia siku btw"
"Huezi nitetesha kwa simu yangu, kama unaona nimekukosea unaweza fura uburst" Akakata simu. The beauty, the fuckery and the audacity of this bitch😂. Wacha Mbeki aanze kulia😭, have you ever seen a man cry,wouldn't wish that on my worst enemy. Na hivo ndo Liz alisonga kama injili
Ilibidi nmemuekea ngoma za mbogi genje kurudisha gangsta. Ilikua his first breakup but he needed it for character development, sikuizi hua haforce issues, hata mapua ikifungana anapumua na mdomo😂.Sikuzii ye huamka fwaa!! no goodmorning texts, ni battery full remove charger.
Kumbe hio konokono ilifukuzwa mtaa, so alikua anacrash hapa Roysa. Yeye na Mbeki walikua wameroll pamoja for like 6 months. Mbeki alitaka kuhoe but you can't outfuck a woman bro, ikabidi amemaintain. Liz hakua anajua Mbeki akona mabeshte kwa contact list yake, ndo walimseti.
Siku moja hao watoi unagrind for watakuja kusema you ain't sh!t, kuleni school fees😂. Chase your dreams, chase no hoe and chase the bag. Focus!!
Scenes pale mansion😭😭. My pal alijaribu kujirecord akilia kumbe hakua amefinya record button. Ilibidi ameanza tena😭.
Yo fam, thanks for the support, tag your friends and follow for more threads. Check out my other threads. https://twitter.com/guylikericky/status/1295772505488097294?s=19
You can follow @guylikericky.
Tip: mention @twtextapp on a Twitter thread with the keyword “unroll” to get a link to it.

Latest Threads Unrolled: