TWText.com
TWText.com
  • faq
  • Contact US
  • Follow US
Dr. Badi 👴🏽
DrBadiBoy
SOMA MKASA HUU KUNA FUNZOMwanaume mmoja alimuoa mwanamke mrembo na alikuwa akimpenda sana. Siku moja huyo mwanamke alipatwa na maradhi ya ngozi hivyo kidogo kidogo alianza kupoteza urembo wake….. Mume
Read more
#UZI SOMA ITAKUSAIDIA Ukiwa katika changamoto nyingi na huoni wa kukusaidia kabisa... basi jua ndivyo ilivyopaswa kuwa.. yaani kuna kitu Mungu aliweka kwenye kichwa chako anataka ukitumie vizuri. Na ukitii
Read more
#UZI SOMA UJIFUNZE..Mzee Bakhressa anaishi Masaki lakini maji ya Uhai au lambalamba na chapati zake hauzii majirani zake. Au ulishaona vile vibaiskeli vya lambalamba za Azam vikizunguka Masaki nyumba kwa
Read more
Naomba niseme kitu kuhusu watu waliofanikiwa huenda kikakusaidia katika safari yako ya mafanikio..Nimekuwa na kawaida ya kununua na kusoma majarida ya Forbes toka mwaka 2012 kujifunza kuhusu watu waliofanikiwa kiuchumi
Read more
JINSI YA KUENDELEA KUWA MASIKINI1.Usiamke mapema.2. Usipange matumizi ya Pesa zako.3. Usiweke akiba mpaka utakapo-kuwa tajiri.4. Chagua kazi. Mimi nimesoma siwezi kufanya hii kazi.5. Usifikirie kuanzisha biashara mpaka malaika akishuka
Read more
Kutoka LibraryKama ulikuwa hujui naomba nikwambie kitu;Uber hawana gari hata moja, ila ndio wanaongoza kwa kukodisha magariAlibaba hawatengenezi bidhaa hata moja ila ndio wanaongoza kwa kuuza vituNetflix hawana tv chanel
Read more
Wanaume huwafuata Wanawake kwa mambo mawili, ambayo ni MAPENZI na SEX. Lakini inapofika hatua ya Kuoa, Wanaume hawaoi kwa sababu ya SEX au MAPENZI, wanaoa kwa sababu ya kutafuta AMANI
Read more
ILI UFANIKIWE NI LAZIMA UKUBALI KUPOTEZA KWANZA.Mzee Mengi alikuwa na gazeti linaitwa ALASIRI. Halikuleta faida. Gazeti la Dar Leo vile vile. Ushindani wa magazeti mengine ulikuwa mkali. Wasomaji wakabadilika....
Read more
#Uzi 2014 Nilikua Mitaa Ya Jamhuri- Posta Jijini Dar es salaam , Nikisubiri Kupokea Zawadi Yangu Ya Simu Aina Ya Htc Kutoka Kwa Kaka Yangu Aliekua Akiishi Zanzibar , Nilisimama
Read more

Copyright©2020 Twtext.com. All Rights Reserved.

  • FAQ
  • Cookie Policy
  • Terms of use
  • Privacy Policy
  • Contact US