JINSI YA KUENDELEA KUWA MASIKINI
1.Usiamke mapema.
2. Usipange matumizi ya Pesa zako.
3. Usiweke akiba mpaka utakapo-kuwa tajiri.
4. Chagua kazi. Mimi nimesoma siwezi kufanya hii kazi.
5. Usifikirie kuanzisha biashara mpaka malaika akishuka kutoka mbinguni na kukukabidhi mtaji.
6. Endelea kuilahumu serikali na wazazi ambao hawakukupa Elimu.
7. Tumia Pesa nyingi kuliko kipato chako.
8. Hakikisha unaenda na fashion. Kila toleo jipya la nguo, viatu, simu lazima na wewe ununue.
9. Wanunulie watoto wako chochote watakacho kuomba.
10. Endelea kutumia muda mwingi zaidi kwenye social networks. Kama Whatsapp, Facebook na Instagram negatively🙁
Wacha nikufunze kitu leo upate ufahamu kama uwezo wako ni mdogo fanya mambo ya msingi katika maisha usifanye kitu kwajili ya watu wakuone vile unavyotamani leo utakipata baadae bila stress Ishi maisha yako utafanikiwa usitumie pesa nyingi kuvaa, au kujiremba
Ili ufanane na watu fulani au uonekane na watu wewe ni mrembo au umevaa mavazi ya kifahari Bdala ungetumia pesa yako kujiwekea msingi wa maisha yako wew unatumia ili watu wakuone unazo wakati Akiba Zero•
You can follow @DrBadiBoy.
Tip: mention @twtextapp on a Twitter thread with the keyword “unroll” to get a link to it.

Latest Threads Unrolled: