Naomba niseme kitu kuhusu watu waliofanikiwa huenda kikakusaidia katika safari yako ya mafanikio..✍️

Nimekuwa na kawaida ya kununua na kusoma majarida ya Forbes toka mwaka 2012 kujifunza kuhusu watu waliofanikiwa kiuchumi walianzia wapi na nimegundua Walianzia Chini Sana..
Ghafla MTU anaacha kazi akiwa top. Anaacha. Halafu anaamua kurudi kijijini kwenu halafu anaanza kuwa mchuuzi wa kalamu za wino!

Wewe utamfikiriaje mtu huyo?

Amechanganyikiwa? Amerogwa?...
Wengi wao WALIAMUA kwa makusudi kuanza chini baada ya kuwa maisha yao yamefikia mahali ambapo binadamu wa kawaida angeweza kuridhika

Kwamba mtu amezaliwa familia bora ya kitajiri badala ya kuridhika tu na "kula bata" lakini anahangaika kuliko waliomtangulia. ..
Hiyo ndo story ya Reginald Mengi. Nilipoiona story hiyo kwenye jarida la Forbes mwanzoni mwa mwaka 2014 nilimheshimu sana huyu mzee.
Na niliheshimu zaidi maamuzi niliyoyafanya pia miaka kadhaa nyuma sasa yapata miaka 7 iliyopita!

Vijana wengi wako Chuo wanaotamani kuajiriwa kampuni kubwa kama PWC leo.
Siyo kuwa partners. No. Kuajiriwa tu. Mpaka wanamlilia Mungu awape hiyo fursa....
Lakini Mengi alidiriki kuondoka PWC akiwa Managing Partner na Chairman. Akaacha hela nzuri nyumba ya kampuni na gari zuri nk na kwenda kuuza kalamu.

Why?

Jibu ni moja tu: AMBITION.

Ambition ya kusaidia watu. Ambition ya kuacha alama duniani. Ambition ya ku-inspire wengine...
Unaweza kuuliza kuwa kwani mtu ukiwa kwenye ajira huwezi kuacha alama hadi uache ajira?

Well hakuna anayekwambia kuacha kitu.
MengiE HAKUAMBIWA na mtu.
Bill Gates HAKUAMBIWA aache Havard.

Sikwambii uache kazi....
Wwe huwezi kuelewa maamuzi ya aina hiyo mpaka siku utakayoelewa kauli hii aliyowahi kuitoa bwana Aliko Dangote. Tajiri namba moja mweusi duniani kwamba:

"IF YOU DON'T HAVE AMBITION YOU SHOULDN'T BE ALIVE!"

Mara ya kwanza nilipoiona kauli hii nikiwa tayari kwenye ujasiriamali
Nikasema hivi huyu jamaa ana maana gani kusema KAMA UMERIDHIKA NA HATUA ULIYOPO MAISHANI BASI HUPASWI KUWA HAI?

Lakini kadri ninavyokutana na watu hasa wanaotamani kufanikiwa kiuchumi na kuona wanavyoishi na wanavyowaza ndivyo ninavyozidi kuelewa kauli ya Alhaji Dangote!.....
Leo hii watu hawaelewi kwa nini Mkapa alitunga kitabu iwe njia nyingine ya mapato yake mapya maisha yake yote! Mbona ana pesa tayari? Haridhiki tu?

Ukiona unajiuliza hivyo ujue you don't have ambition na ndo Dangote anasema hupaswi kuwa hai wewe.....
Waliosurvive ni ambao hawakuridhika na pale walipokuwa wamefika.

Kitakachokufanya na wewe "usife kiuchumi" na kwenye mioyo ya watu ni AMBITION. Ukikosa AMBITION you are committing suicide my friend.
You die!

Jiulize Ronaldo na Messi kwa nini wanalia kukosa kombe la dunia
mbona ndo wanaongoza kwa pesa katika football wanalia nini sasa?

Jibu ni WANA AMBITION. HAWAJARIDHIKA.
Angalia tatizo la taifa lisilo na AMBITION tukipata mchezaji mmoja kucheza Ulaya tunaridhika. Siku Taifa Stars ikiifunga Brazil itakuwa sherehe. ....
Tajiri namba moja kwa watu weusi wooote duniani ukimpeleka kidunia ni namba 100. Aliko Dangote. Huoni kwa nini weupe wanatudharau?
Huoni kwa nini Dangote ana hasira ya kuongeza miradi kila leo?
Umeelewa kwa nini Bakhresa hajaridhika?

Halafu wewe UMERIDHIKA.. ...
Unajiuliza eti sasa na wao wana tamaa tu. Hela zote hizo?😂😂

Ukiona unawaza hivyo ujue uko hai kibahati tu any time unapotea maana hutaki kuleta impact. Ila upo tu duniani hujui kwa nini bado upo.....
Unajiuliza Jeff Bezos mmoja tu ndani ya utajiri wake wa sasa kuna utajiri wa Bill Gates90 billion) plus wa Dangote $12 billion) plus wa matajiri wote wakubwa wa Tanzania, Kenya na Uganda kwa pamoja. Na bado anaamka alfajiri kwenda kazini!...
Ama umeridhika na milioni tatu kisa unatoa fungu la kumi laki 3 kwa mwezi. Hujui kuna watu fungu lao la kumi💰💰💰💰 ni kipato chako cha miaka 10 ijayo???

Mungu akiona unavyojidai moyoni anakucheka🤣🤣🤣....
Why umeridhika my sister?
Kuvaa high heels na kubarikiwa sura na mguu imetosha? Mke wa Mengi angeridhika na kuwa Miss Tanzania na kubweteka kama wengine angekuwa sijui wapi. Unajua kuolewa na Mengi akiwa anauza kalamu za wino kijijini haihitaji ambition sana. .....
Matajiri wengi wanachooa ni MINDSET.Siyo sifa. Etia ambiwe mke wake kajaaliwa. Then what? So my sister step your game up.

Sasa wewe umeridhika na Vitz na kupaka lipstick halafu tajiri akuoe wewe afu aamke alfajiri kujituma u uanze kumwambia "Baby turidhike na tulichonacho baby
Listen to me very CLOSELY now!

Mungu wetu ni Mungu wa ambition.

Aliumba mtu mmoja akaona HAITOSHI.

Tumwekee msaidizi. Akampa Hawa.

Bado HAKURIDHIKA akawaambia sasa ZAENI MKAONGEZEKE.

BE FRUITFUL AND MULTIPLY.

That's AMBITION.
Unaweza kuona mtu kakuzidi kitu hiki na kile ila ni kwasababu hivyo ndivyo umetizama, lakini ukitizama vitu vingine matokeo yanaweza kua tofauti, Mungu hakupi kila kitu wala hakunyimi kila kitu......amegawa kwa balance nimekuzidi simu kali wewe umenizidi labda uimara wa afya,....
Good luck kwa wewe ambaye utaamua kupiga hatua mbele katika muda wako MCHACHE uliobakia hapa duniani.

Mungu wa mbinguni akutie nguvu.

Lakini kwa wewe ambaye umeridhika na ulipofika Umepotea•

Thank You Much For youre Time ✍️ 🙏
You can follow @DrBadiBoy.
Tip: mention @twtextapp on a Twitter thread with the keyword “unroll” to get a link to it.

Latest Threads Unrolled: