[THREAD] Tuongee ujasiliamali na kutafuta hela. Hizi ni ideas za biashara 150 unazoweza kufanya kwa vipato tofauti:
1. Kununua Mashine za kukoroga
zege na kukodisha.
2. Kununua Mashine za kukata
vyuma na kuzikodisha.
3. Kutengeneza na kuuza tofali
4. Ufundi, Website updating/
Database: Kwenye Halmashauri,
Manispaa, shule, Wizara, Wilaya
na makampuni.
5. Kuanzisha kituo cha redio na
TV
6. Kufunga na kutengeneza vifaa vya electroniki na mawasiliano, mfano vifaa vya computer na mawasiliano.
7. Kuuza software; mfano Antivirus,
Operating Systems, Pastel, Tally,
Myob, n.k
8. Kushona na kuuza nguo.
9. Kufungua Duka la kuuza nguo
mpya; suit, socks, batiki, nguo za
asili, Mashuka, Mashati, Suruali.
10. Ufugaji wa mifugo
mfano Kondoo, Mbuzi, Ng’ombe,
Kuku, etc.
11. Kufungua stationery, kuuza
(supply) vitabu na vifaa
ktk mashule na vyuo.
12. Kutoa ushauri mbalimbali wa
Kitaalamu.
13. Kuuza viazi, mahindi, mihogo, kutengeneza popcorn na kuziuza.
14. Kusajili namba za simu na
kuuza vocha
15. Kuwa na mradi wa Pikipiki
zisizotumia mafuta na zinazotumia mafuta.
16. Kilimo cha mazao mbali mbali kulingana na hali ya hewa ya sehemu husika.
17. Kuuza Mitumba
18. Kusimamia miradi mbalimbali.
19. Kufungua duka la kuuza
mitambo mbalimbali
20. Kufungua banda la chakula na
chips
21. Kukodisha turubai viti na meza
22. Kufungua Supermarket
23. Kufungua Saluni
24. Kufungua Bucha
25. Video Shooting & Editing
26. Kufungua Internet cafe
27. Duka la kuuza matunda
28. Kufungua duka la kuuza vifaa vya simu za mkononi na landline.
29. Duka la vifaa vya
ujenzi; umeme, mabati
30. Kutengeneza michoro ya majumba na mradi ya ICT
31. Kuchapa vitabu, bronchures, n.k
32. Kuanzisha kampuni ya ujenzi
(building contractor)
33. Kuuza Vifaa vya umeme wa
nishati ya jua (solar) ,battery,
inverter na vifaa vingine vya solar
n.k
34. Kuuza maji kwa jumla na
rejaleja.
35. Kutengeneza na kuuza Unga wa lishe bora.
36. Kukodisha mziki.
37. Kuanzisha Mradi wa Taxi
38. Kuanzisha mradi wa Daladala
39. Kuuza ujuzi wako wa computer kama kuchapa, excel na office package nzima. Kama una ujuzi wa software nyingine pia uuze
40. Kununua magenerator na
kukodisha
41. Kufungua kampuni ya kutoa
huduma za simu
42. Kufungua kampuni ya kutoa
huduma za internet (ISP)
43. Kuuza mabati na vigae
44. Kujenga apartments
45. Kufungua kisima cha mafuta ya taa au mafuta ya aina zote.
46. Kufungua Duka la samaki
47. Kufungua Duka la nafaka
48. Kufungua Shule za Awali, Shule
za Msingi, Sekondari na Vyuo.
49. Kujenga hostel
50. Kuuza vocha na ving’amuzi
51. Kujenga mtambo wa kuzalisha umeme na kuuza katika viwanda na wananchi.
52. Ufundi simu
53. Kufungua Hospitali, Zahanati.
54. Maabara ya Macho, Meno
55. Kuchimba/Kuuza Madini
56. Kufungua ofisi ya kutoa
huduma ya simu na fax
57. Kuuza miti na mbao
58. Kufungua Grocery, bar
59. Kufungua studio ya kupiga na
kusafisha picha
60. Kucharge simu/battery
61. Duka la TV na vifaa vingine
62. Kuanzisha biashara ya kuuza
vyakula katika sherehe na tamasha
mbalimbali (catering).
63. Kuhost watalii
64. Kuuza na kushona Uniform za shule
65. Duka la kuuza vitu kwa jumla
66. Kufungua gereji za kutengeneza bajaji, pikipiki & magari
67. Kuuza vyuma, pembejeo, rake, jembe
68. Kuuza fanicha
69. Kufungua sehemu ya kuziba
pancha za matairi
ya magari na mitambo.
70. Kujenga nyumba za kulala
wageni
71. Kuagiza na kuuza vifaa vya
aluminium
72. Tiketi za mabasi
73. Kushona na kukodisha nguo za harusi
74. Kufungua yard ya
kuosha magari
75. Kuuza mashine za kuchomelea
(welding machine)
76. Kuuza vifaa vya kuvaa Site
(boots, helmets etc)
77. Kununua mabasi kwa ajili ya
kusafirisha wanafunzi
78. Kufungua studio ya
kutengeneza
vipindi vya redio na televisheni
79. Kuanzisha ofisi ya TV Games
80. Kufungua benki
81. Kuwa na malori ya kubeba
kokoto na mchanga
82. Kuuza vifaa mfano TV, CCTV
Camera, n.k
83. Kuwa dalali wa vitu mbalimbali
84. Kuanzisha mradi wa kukodisha fork lift na winchi (crane)
85. Kuanzisha kiwanda cha
kutengeneza viatu.
86. Kutafsiri lugha mtandaoni
87. Duka la vifaa vya simu na
gadgets (modem, flash,etc)
88. Kujenga Ukumbi wa kukodisha
kwa sherehe, mikutano
89. Kununua matrekta, mitambo ya ujenzi wa barabara na kukodisha
90. Kutengeneza antenna na kuuza
91. Mradi wa machine za kusafisha mbao
92. Mradi wa kuuza vifaa
vya Umeme wa kutumia upepo
93. Biashara ya kuagiza magari
94. Biashara za Jukebox
95. Kukodisha matenki ya maji
96. Kufungua duka la kuuza Asali
97. Kutengeneza Mikokoteni/
matoroli na kuikodisha
98. Duka la vinyago,
batiki
99. Wakala Mobile Money
100. Kuanzisha sehemu ya
kufanyia mazoezi (gym).
101. Kununua na kuuza vifaa vya
kupima ardhi.
102. Kufungua duka la kuuza dawa
103. Kufungua Kampuni ya Ulinzi
104. Kufungua kampuni ya
"Clearing and fowarding"
105. Duka la vitu vya watoto
106. Kuuza spea
107. Kuuza baiskeli
108. Kuuza magodoro
109. Kuuza vyombo mbalimbali
kwa ajili ya matumizi ya nyumbani
mfano bakuli, sahani, vikombe,
vijiko
110. Kuuza marumaru (limestones)
111. Kuuza kokoto
112. Kuuza mchanga
113. Kufundisha Tuisheni
114. Biashara za bima
115. Kusafirisha mizigo
116. Biashara za kitalii
117. Biashara za meli na maboti.
118. Kampuni ya kuchimba visima
119. Kufungua ofisi ya
mawakili wa kujitegemea
120. Kuuza mkaa
121. Kutengeneza mashine za
kutengeneza tofali
122. Kampuni ya kupima ardhi
123. Kampuni ya magazeti
124. Kuchapa magazeti
125. Kuuza magazeti
126. Kuchimba mafuta
127. Kiwanda cha kutengeneza
mabati
128. Kiwanda cha kutengeneza
furniture
129. Kiwanda cha kutengeneza matairi
130. Kutengeneza vitanda vya chuma
131. Kununua nyumba katika maghorofa (apartments) na
kuzikodisha
You can follow @GIVENALITY.
Tip: mention @twtextapp on a Twitter thread with the keyword “unroll” to get a link to it.

Latest Threads Unrolled: