Mwaka 2012 Nilipigwa Tukio Na X Wangu Tulikuwa Tunaish Nyumba Moja Lakini Vyumba Tofauti, Siku Hiyo Aliniomba Nauli Anaenda Town Mwamba Nikajikaza Nikampa Hela Huku Na Kule Mpaka Saa Moja Sijamuona Ikabidi Nimpigie Simu Akaniambia Yuko Njiani Nikasema Sawa As Gentleman Nikakausha
Baadae Mida Kama Ya Saa Mbili Na Nusu Huyu Hapa Na Mshikaji Mwingine Nilikuwa Chumbani Washikaji Zangu Wakaja Kunistua Oya Mbona Shemeji Kaja Na Mchizi Mwingine I was Trying To Be Normal Nikawa Nacheka Ili Nisipanic Jamaa Wakaona Kama Siamini Wanachoongea Nikawambia Kama Yeye Kaa
Mua Its Okey Acha Maisha Yaendelee Basii Wakanilazimisha Sanaa Nikashuhudie Kweli Nikatoka Chumbani Nikaenda Mpaka Chumbani Kwake Nikabisha Hodi Nikamkuta Mshikaji Nikamsalimia Fresh Tukapiga Story Mbili Tatu Baadae Nikarundi Ndani,Kiukweli Kuanzia Hapo Nikaanza Kuwa Na Mawazo
Kichwa Kikawa Kizito,Tumekaa Mpaka Saa Tano Usiku Hajatoka Ikabidi Tulale Mimi Sikulala Kichwa Kiliniuma Sanaa, Nikijizuia Nisije Kupanic Nikafanya Maamuzi Ambayo Baadae Ningekuja Jutia, Basii Asubuhi Imefika Jamaa Alilala Nae Mpaka Asubuhi Marafiki Zangu Hawaamini Kinachiendelea
Basi Tukaamka Nakuendelea Na Shughuli Nyingine Baadae Tena Nikaenda Mpaka Chumbani Kwake Nikawasalimia Jamaa Hakutambua Mie Nani Kwahiyo Alinichangamkia Tu Fresh Baadae Dem Akapika Chai Wakanywa Pale,Ikafika Mida Ya Saa Tano Asubuhi Jamaa Akaondoka,Mimi Sikutaka Kuonyesha Kama Ni
Ko Tofauti Nikaendelea Kuwa Mchangamfu Kila Nikikutananae Yule Mwanamke Yeye Akawa Anaumia Sanaa,Uzalendo Ukamshinda Akawaita Washikaji Zangu Akawaomba Waniite Aombe Msamaha Mbele Yao, Kweli Wakanipigia Simu Nikauliza Kunanini Wakaniambia Wewe Njoo Huyo Mmoja Alikuwa Kama Brother
Angu Kwakuwa Tumetoka Sehemu Moja Natumekuwa Wote,Nikaenda Nikakuta Demu Analia Wakanielezea Wakaniambia Anaomba Umsamehe Nikaukiza Amefanya Kosa Gani..?? Kwakuwa Tayari Nilishamuuliza Na Akanijibu Hakufanya Kitu Kibaya,Nikawaambia Kama Hakufanya Kitu Kibaya Hakuna Haja Yakusame
He MTU Ambae Hajakukosea Basii Kikao Kikaisha Pale Lakini Hakuwa Na Amani Kabisa Mimi Nacheka Kama Kawaida But Yeye Akawamuoga Sanaa,Nikaona Nitamtesa Sanaa Huyu Binti Nikaenda Chumbani Kwake Akapika Ugali Tukala Nikamwambia Aende Akaoge Alivyorudi Akanipa Mzigo Nikapiga Baadae
Nikaona Ameanza Kuwa Normal Akachangamka Vizuri Akajua Kumbe Sikuwa Nimechukizwa Na Kitendo Kile, Mimi Nilitaka Awe Katika Hali Yakawaida Ndio Nimuache Kweli Baadae Kweli Nikamuacha Aliumia Sanaa Kwakuwa Nilipata Mwanamke Na Nikawa Nakujanae Palepale Tunakoishi Aliachakunisalimia
You can follow @MangiWakwanza.
Tip: mention @twtextapp on a Twitter thread with the keyword “unroll” to get a link to it.

Latest Threads Unrolled: