Uzi : MANENO SABA( 7 ) YALIYOBEBA UJUMBE WA LEO...https://abs.twimg.com/emoji/v2/... draggable="false" alt="๐Ÿฅบ" title="Pleading face" aria-label="Emoji: Pleading face">

1. ~Bro binadamu Watakusukuma ili uanguke lakini ukifanikiwa watasema walikusukuma ili usogee mbele ishi nao kwa akili ila usiwaami...https://abs.twimg.com/emoji/v2/... draggable="false" alt="๐Ÿฆ" title="Gorilla" aria-label="Emoji: Gorilla">

Malizia nne( 4 ) za Mwisho zitakufunza kitu, Endelea...https://abs.twimg.com/emoji/v2/... draggable="false" alt="๐Ÿ‘‡" title="Rug van hand met omlaag wijzende wijsvinger" aria-label="Emoji: Rug van hand met omlaag wijzende wijsvinger">
2. ~Bro Kuna mwingine kazikuta ila akina sie tunatakiwa kuzitafuta...https://abs.twimg.com/emoji/v2/... draggable="false" alt="๐Ÿฆ" title="Gorilla" aria-label="Emoji: Gorilla">
3. ~Bro Matendo yako na jinsi unavyoishi na Watu ni Muhimu zaidi kuliko Maneno yako...https://abs.twimg.com/emoji/v2/... draggable="false" alt="๐Ÿฆ" title="Gorilla" aria-label="Emoji: Gorilla">
4. ~Bro Uongo unazaa kutokua na uaminifu kwako mwenyewe au kwa watu wengine. Ukifatilia kwa kina unakuta Uongo pia umechangia kwa kiasi kikubwa kukwamisha maendeleo yetu katika nyanja mbalimbali ata kutoaminika tena...https://abs.twimg.com/emoji/v2/... draggable="false" alt="๐Ÿฆ" title="Gorilla" aria-label="Emoji: Gorilla">
5. ~Bro KUNA wakati tunapata taabu pale tunapokutana na wale tuliowaona hawawezi tena dhaifu zaidi wakiwa katika namna tusiyodhani ya mafanikiohttps://abs.twimg.com/emoji/v2/... draggable="false" alt="๐Ÿ™„" title="Gezicht met rollende ogen" aria-label="Emoji: Gezicht met rollende ogen">. TUJIFUNZEhttps://abs.twimg.com/emoji/v2/... draggable="false" alt="๐Ÿค”" title="Nadenkend gezicht" aria-label="Emoji: Nadenkend gezicht"> kumheshimu kila mtu awe dhaifu au hawezi maana hujui Mungu amempangia nini mbele yake...https://abs.twimg.com/emoji/v2/... draggable="false" alt="๐Ÿฆ" title="Gorilla" aria-label="Emoji: Gorilla">
6. ~Bro Kuwa nafuraha kwa kile kidogo ulicho nacho kuna mwengine hana kabisa...https://abs.twimg.com/emoji/v2/... draggable="false" alt="๐Ÿฆ" title="Gorilla" aria-label="Emoji: Gorilla">
7. ~Bro Watu Pekee Ambao Wanataka Ufanikiwe Zaidi Kuwazidi Wao ni Wazazi Wako tu, Waliobaki Kuna Muda Watakukasirikia Ukifanikiwa Zaidi Yao...https://abs.twimg.com/emoji/v2/... draggable="false" alt="๐Ÿฆ" title="Gorilla" aria-label="Emoji: Gorilla">
Kwa madini unaweza tembelea Status za #The_ChandO Kupitia link hii https://abs.twimg.com/emoji/v2/... draggable="false" alt="๐Ÿ‘‰" title="Rug van hand met naar rechts wijzende wijsvinger" aria-label="Emoji: Rug van hand met naar rechts wijzende wijsvinger"> https://wa.me/+255762305991 

imewasilishwa">https://wa.me/+25576230... na @SadickTusia Mtaalamuhttps://abs.twimg.com/emoji/v2/... draggable="false" alt="๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ" title="Vlag van Tanzania" aria-label="Emoji: Vlag van Tanzania">

~Kwa contents za kingereza tembelea @ChandoFact https://abs.twimg.com/emoji/v2/... draggable="false" alt="๐Ÿ‘‡" title="Rug van hand met omlaag wijzende wijsvinger" aria-label="Emoji: Rug van hand met omlaag wijzende wijsvinger">
~Kwa Ununuaji wa Vitu Used tembelea @ChandoMaterials
Sio Mbaya ukiacha Retweet yako na wengine wanufaike kupitia wewe, Mungu atakuzidishia kwa Moyo wako Rehema na Baraka Nyingi...https://abs.twimg.com/emoji/v2/... draggable="false" alt="๐Ÿค" title="Handdruk" aria-label="Emoji: Handdruk">https://abs.twimg.com/emoji/v2/... draggable="false" alt="๐Ÿ™" title="Gevouwen handen" aria-label="Emoji: Gevouwen handen">
You can follow @SadickTusia.
Tip: mention @twtextapp on a Twitter thread with the keyword โ€œunrollโ€ to get a link to it.

Latest Threads Unrolled: