#TwitReport
Chicago 7 (1969)
Hakimu Jullie Hoffman aliomba kutofautisha jina lake na jina la mtuhumiwa Abbie Hoffman.
Hakimu: ukitaja jina la Hoffman ujue tupo wawili humu tafadhali naomba utofautishe
Abbie Hoffman: kwanza hatuwezi kufanana
Hakimu: Na pia sina undugu na mtu.

Hakimu anamtaja mtuhumuwa mwingine David Dellinger, anakosea na kumuita Dillinger
Moto unawaka mahakamani
Dellinger: Mimi sio Dillinger ni Dellinger
Hakimu: Ok Mr Derringer
Dellinger: Derringer ni bunduki na Dillinger ni jambazi, naitwa Dellinger

Chicago 7
Hukumu ya watu 8 kwa kuchochea maandamano ya kupinga vita baina ya Vietnam na USA mwaka 1968 huko mjini Chikago Marekani.
Bobby Seale (Mwanzilishi wa Chama cha BlackPanther) alikuwa mtuhumiwa no 8. Hakimu aliamrisha atahukumiwa pekeake baada ya kutia fujo mahakamani

Wengine ni
1. David Dellinger-chama cha mabadiliko kwa jamii bila vurugu
2. Rennie Davis - Mnazi wa chama cha Democratic chuoni
3. Thomas Hayden - Mwanaharakati mwanzilishi (SDS)
4. Abbie Hoffman, 5. Jerry Rubin - Wanaharakati na waanzilishi chama cha vijana

6. Lee Weiner na John Froines. Marafiki wenye kesi ya kutengeneza mabomu na kuyatega.
Na kufanya idadi ya watuhumiwa wa pamoja kuwa 7.
Kuna movie yake, itafute uone kesi ya uchochezi inavyokwenda.
Me naendelea nayo hapa