Ukiwa independent contractor au unafanya kazi nyumbani inakubidi pia uwe mtundu wa kutumia tools mbalimbali ili kuongeza ufanisi ,kujirahisishia kazi na kufanya kazi kwa ubora .Si lazima ujue kutumia tools zote maana ziko nyingi na huwezi kuzimaliza.....
client wengi pia wanapenda kutoa options ya tools za kutumia kwa wafanyakazi wao inapobidi. Tools nyingine huenda unatumia kila siku na hufahamu na nyingine huzifahamu kabisa .Zifuatazo ni tools zaidi ya 100+ unazoweza kuzitumia kwenye kazi zako mbalimbali
shuka nayo
Tools hizi ni muhimu kwa shughuli za uandishi

1. Google Doc
2. MS Word
3. 750 Words
4. Scrivener
5. FocusWriter
6. Reedsy
7. Grammarly
8. Correctica
9. OpenOffice
10. Hemmingway App
11. WordCounter
12. Twords
13. Evernote
14. Readability Grader
15. CoSchedule Headline Analyzer
16. LinkedIn Publisher
17. Medium. com
18. ByWord
19. WordPress
20. Google Keep
Tools Kwa ajili ya kalenda na kupangilia ratiba

21. Setmore
22. Google Calendar
23. Calendly
24. SimplyBook. me
25. Zoho Calender
26. Acuity
27. YouCanBook. me
28. ScheduleOnce
29. HubSpot Meetings
30. Meetingbird
Tools kwa ajili ya mikutano ya mtandaoni

31. Zoom
32. Google Meet
33. Whereby
34. Chanty
35. Cisco Webex Meetings
36. Skype
37. Join. me
38. Microsoft Teams
39. WhatsApp Business
40. GoToMeeting
Tools kwa ajili ya kuendesha mitandao ya kijamii

41. Buffer
42. Hootsuite
43.Viralpep
44. SocialPilot
45. Agorapulse
46. Sendible
47. Sprout Social
48. Proofer
49. SocialOomph
50. Metigy
Tools za kuhesabu muda

51. Toggl
52. Timely
53. Rescue Time
54. Tomato Timer
55. Clockify
56. TopTracker
57. TMetric
58. TimeCamp
59. Traqq
60. Harvest
Tools za kumanage na kupangilia project

61. Asana
62. Trello
63. Monday. com
64. Basecamp
65. Salesforce
66. Easynote
67. Meister Task
68. ClickUp
69. Airtable
70. Droptask
Tools za kupangilia na kuhost video

71. YouTube
72. Uscreen
73. Twitch
74. Metacafe
75. SproutVideo
76. Odeum
77. Wistia
78. Mux
79. DTube
80. TikTok
Tools za mawasiliano

81. WhatsApp
82. Telegram
83. Signal Private Messenger
84. Discord
85. Threema
86. Keybase
87. LINE
88. Contactually
89. Facebook Messenger
90. Xtensio
Tools za kunetwork na kuchangamana na wanajamii

91. Facebook (Group)
92. Twitter
93. Instagram
94. LinkedIn
95. MeWe
96. Rumble
97. Mastodon
98. Minds. com
99. Diaspora
100. Vero
Tools za quizzes na kujifunza

101. Kahoot
102. SeeSaw
103. Socrative
104. Quizlet
105. Blackboard Learn
106. Quizalize
107. MindTickle
108. Acadly
109. Slido
110. LearnZillion
Tools za kuhangout

111. Kosmi
112. StreamParty
113. Watch2gether
114. Metastream
115. Rabbit
116. TogetherTube
117. Rave
118. Netflix Party
119. ShareTube
120. myCircle. tv
Tools za kuandika proposal

121. Proposify
122. Prospero
123. Draftsend
124. PandaDoc
125. Venngage
126. Bidsketch
127. Loopio
128. RFPIO
129. Nusii
130. Qwilr
Tools za finance na invoice

131. QuickBooks
132. Invoice Genius
133. Freshbooks
134. FreeAgent
135. Square
136. Handdy
137. Wave
138. Brightbooks
139. Zoho
140. Invoice Ninja

Ziada: Getcoconut. com
Tools za Mikataba

141. LegalZoom
142. Bonsai
143. AND CO
144. HelloSign
145. Termsfeed
146. Formswift
147. DealHub. io
148. DocuSign
149. OneSoft
150. Jotform
Tools za kudesign

151. Figma
152. Webflow
153. Skitch
154. InVision
155. CloudApp
156. Canva
157. Visual. ly
158. Adobe Creative Cloud
159. Affinity Designer and Photo
160. Shotsnapp
Tools za mauzo,Promosheni na masoko

161. Convertkit
162. MailChimp
163. Drip
164. Sumo
165. Aweber
166. Marketo
167. GetResponse
168. ToutApp
169. LinkedIn Sales Solutions
170. InsideSales. com
Tools za kupata Leads

171. ProProfs Chat
172. GetProspect
173. Owler
174. Dux-Soup
175. ReachStream
176. LinkedIn Sales Navigator
177. D7 Lead Finder
178. Flowlu
179. Hunterpr
180. Skrapp
Tools za kushare mafile makubwa

181. TransferBigFiles
182. Transfernow
183. Filemail
184. WeTransfer
185. pCloud Transfer
186. Google Drive
187. Dropbox
188. OneDrive
189. SendTransfer
190. JumboMail
Tools za Client Review

191. Symu. co
192. Hightail
193. InVision
194. MockFlow
195. Mopinion
196. Feedier
197. Feedbackify
198. InMoment
199. Clarabridge
200. Survicate
Tools za Email

201. Gmail
202. FollowUp. cc
203. TheEmailGa. me
204. SaneBox
205. Outlook. com
206. Zoho Mail
207. ProtonMail
208. Yandex
209. Tutanota
210. AOL Mail
Platform za kupata kazi za freelancer

211. Upwork
212. Fiverr
213. Toptal
214. Webflow Experts (https://experts.webflow. com/)
215. Freelancer. com
216. AngelList
217. FlexJobs
218. LinkedIn
219. GitHub
220. Indeed. com
Tools za kununua na kuuza Vifaa vya kibunifu
221. Design Cuts
222. Creative Market
223. Gumroad
234. Selz
235. Shopify
236. Designmodo
237. Selar. co
238. Amazon Kindle Publisher
239. Sellfy
240. Sendowl
Tools za kupata video na picha za stock

241. 123RF
242. StoryBlocks
243. PhotoDune
244. Shutterstock
245. Adobe Stock
246. Picjumbo
247. Unsplash
248. Pixabay
249. Pexels
250. Reshot

Phew ,nimechoka kwa leo zinatosha
You can follow @mafolebaraka.
Tip: mention @twtextapp on a Twitter thread with the keyword “unroll” to get a link to it.

Latest Threads Unrolled: