Wachezaji 15 Ghali zaiid Wa Ligi ya Uingereza!

Christiano Ronaldo alinunuliwa Na Manchester United Mwaka 2003 kwa Kiasi Cha Dola million 19 tu huo Ulikuwa Ni Kama Wizi uliowah kutokea Kwenye Usajiri barani ulaya kutokana Na Kiwango alichokionesha na Gharama alionunuliwa
Lakin Wachezaji kama Maguire, Pepe, Van dijk au Kepa waligharimu Kiasi kikubwa Sana Cha pesa Katika Usajiri wao, Je walifanikiwa au Walifeli ? Leo nitakuletea Wachezaji 15 Ghali zaidi kuwahi kutokea Ligi kuu ya nchi Uingereza na Tujadiri Kama walifanikiwa ama walifeli.
#UZI
Namba 15
Chirstian Pulisic& #39; : Chelsea walimnunua mchezaji Huyu Wa Kimarekani Kutoka Borusia Dortmund Mwaka 2019 kwa Karibu Kias Cha Dola million 76 na Kuwa Mchezaji Namba tatu Ghali zaidi ndan ya klabu ya Chelsea, Pulisic& #39; hakuwa na Majukum Makubwa ndan ya Chelsea bali aliletwa-
Kama Kucover Nafasi ya Eden Hazard, Msimu wake wa kwanza ndan ya Chelsea ulishawishi lakin Majeruhi yalimuandama na Kupunguza zaidi Muda wake wa kucheza na hivi Sasa akionekana Kama Mchezaji wa Akiba mala Nyingi akitokea benchi, lakin Hyo haitoshi kumuhukumu sana Maana bado Ni-
Namba 14
Aymeric Laporte:
Manchester City walihimarisha safu Yao ya Ulinzi Mwisho wa dirisha la usajiri mwaka 2018 kwa kumsajiri Laporte na Kuvunja rekodi kwa Kias Cha Dola million 77.5, beki huyo mfaransa alikuwa jicho la Guardiola ili kusaidia kubeba ubingwa wa EPL Msimu wa
Namba 13
João Cancelo :
Manchester City walimnunua beki Huyu Wa Pemben wa kireno Kwenye Msimu wa 19/20. Jao Cancelo amekuwa Moja kati ya Wachezaji ambao Pep Guardiola amewahi kuwabadilisha Kama alivofanya kwa Lahm na Joshua Kimich, Cancelo amebadirika na Kuwa Mchezaji
Hatari ambae anaweza cheza Nafasi nyingi uwanjan, Katika mahojiano Siku Moja Pep aliwah Kusema "sometimes Anaweza Kucheza Kwenye Nafasi ya Namba 10 inafurahisha kumuangalia"
So Matokeo Yake bila Shaka Ni [ Success https://abs.twimg.com/emoji/v2/... draggable="false" alt="✔️" title="Fettes Häkchen" aria-label="Emoji: Fettes Häkchen"> ] Hakuna ubishi kuwa Ni Msimu Mzuri kwa Mreno Huyo https://abs.twimg.com/emoji/v2/... draggable="false" alt="✔️" title="Fettes Häkchen" aria-label="Emoji: Fettes Häkchen">
Namba 12
Alvaro Morata :
Tunarudi tena kwao Chelsea. Alvaro Morata alinunuliwa kwa Karibu Kiasi Cha Dolla million 78 Mwaka 2017 akitokea Real Madrid https://abs.twimg.com/emoji/v2/... draggable="false" alt="🤔" title="Denkendes Gesicht" aria-label="Emoji: Denkendes Gesicht">. Morata Alikuwa na bahati Mbaya sama ndan ya Stamford Bridge, Majeruhi na pia Mashabiki Wa Chelsea hawakuwa na uvumilivu
Kitu Ambacho Morata aliwahi kumisema Kwneye moja ya Mahojiano yake, Namnukuu "Watu wanafikiri Wewe Ni mashine, wanashindwa Kuelewa nyuma ya pazia kuna Matatzo binafsi na Matatzo ya kifamilia" Mwisho wa nukuu
So Matokeo yakehttps://abs.twimg.com/emoji/v2/... draggable="false" alt="🤔" title="Denkendes Gesicht" aria-label="Emoji: Denkendes Gesicht"> sio Siri [ Flop https://abs.twimg.com/emoji/v2/... draggable="false" alt="👎" title="Daumen runter" aria-label="Emoji: Daumen runter">https://abs.twimg.com/emoji/v2/... draggable="false" alt="❌" title="Kreuzzeichen" aria-label="Emoji: Kreuzzeichen"> ]
Kwa pesa aliosajiriwa Morata-
alikuwa Kama Mzigo ndan ya the blues na alikuwa na mengi ya kuwapa Mashabiki Wa Chelsea kama ilivokuwa kwa Fernando Torres.
Namba 11
Riyad Mahrez :
Kwa Karibu dolla million 81 Manchester City walimsajiri winga huyo wa Algeria ambae ameshabeba Vikombe vitano tangu afike klabuni hapo mwaka 2018 na kuwa Moja ya mawinga ambao Pep Guardiola anawatumia na kuwaamini sana katika Kikosi chake
Namba 9
Angel Dimaria :
Nadhani Ni Mchezaji wa kwanza Kwenye Hii list ambae hajatoka Chelsea wala City. Anyways Dimaria aliwaghalimu Karibu Kiasi Cha Dolla million 90 kutoka Real Madrid lakin Dimaria aliondoka Old Trafford baada ya Msimu Mmoja Tu kilabuni hapo baada ya kuwa Flop
Nini Shida ilikuwa kwake ? Wayne Rooney aliwah Kusema Muajentina huyo Alikuwa na wakati mgumu sana kuzoea mazingira na mpira wa Manchester. Lakin kwa Sababu zozote zile hazitunyimi uwezo wa Kusema Dimaria alikuwa Flopp https://abs.twimg.com/emoji/v2/... draggable="false" alt="❌" title="Kreuzzeichen" aria-label="Emoji: Kreuzzeichen"> ndan ya United.
https://abs.twimg.com/emoji/v2/... draggable="false" alt="🏟️" title="Stadion" aria-label="Emoji: Stadion">Mechi 249
https://abs.twimg.com/emoji/v2/... draggable="false" alt="⚽" title="Fußball" aria-label="Emoji: Fußball">Goli 60
https://abs.twimg.com/emoji/v2/... draggable="false" alt="🅰️" title="Invertierter quadratischer lateinischer Buchstabe A" aria-label="Emoji: Invertierter quadratischer lateinischer Buchstabe A"> Assist 105
https://abs.twimg.com/emoji/v2/... draggable="false" alt="🏆" title="Trophäe" aria-label="Emoji: Trophäe"> Vikombe 8
Chini ya Guardiola De Bruyne amekuwa Moja ya wachezi Bora Duniani so Mafanikio kwake Ni Makubwa mno [ Huge Success https://abs.twimg.com/emoji/v2/... draggable="false" alt="✔️" title="Fettes Häkchen" aria-label="Emoji: Fettes Häkchen"> ]. Hatuihitaj kumuongelea Sana Maana uwezo wake umejionesha Muda mrefu tangu alipofika Etihad.
https://abs.twimg.com/emoji/v2/... draggable=Mechi 249 https://abs.twimg.com/emoji/v2/... draggable="false" alt="⚽" title="Fußball" aria-label="Emoji: Fußball">Goli 60 https://abs.twimg.com/emoji/v2/... draggable="false" alt="🅰️" title="Invertierter quadratischer lateinischer Buchstabe A" aria-label="Emoji: Invertierter quadratischer lateinischer Buchstabe A"> Assist 105 https://abs.twimg.com/emoji/v2/... draggable="false" alt="🏆" title="Trophäe" aria-label="Emoji: Trophäe"> Vikombe 8 Chini ya Guardiola De Bruyne amekuwa Moja ya wachezi Bora Duniani so Mafanikio kwake Ni Makubwa mno [ Huge Success https://abs.twimg.com/emoji/v2/... draggable="false" alt="✔️" title="Fettes Häkchen" aria-label="Emoji: Fettes Häkchen"> ]. Hatuihitaj kumuongelea Sana Maana uwezo wake umejionesha Muda mrefu tangu alipofika Etihad." title="https://abs.twimg.com/emoji/v2/... draggable="false" alt="🏟️" title="Stadion" aria-label="Emoji: Stadion">Mechi 249 https://abs.twimg.com/emoji/v2/... draggable="false" alt="⚽" title="Fußball" aria-label="Emoji: Fußball">Goli 60 https://abs.twimg.com/emoji/v2/... draggable="false" alt="🅰️" title="Invertierter quadratischer lateinischer Buchstabe A" aria-label="Emoji: Invertierter quadratischer lateinischer Buchstabe A"> Assist 105 https://abs.twimg.com/emoji/v2/... draggable="false" alt="🏆" title="Trophäe" aria-label="Emoji: Trophäe"> Vikombe 8 Chini ya Guardiola De Bruyne amekuwa Moja ya wachezi Bora Duniani so Mafanikio kwake Ni Makubwa mno [ Huge Success https://abs.twimg.com/emoji/v2/... draggable="false" alt="✔️" title="Fettes Häkchen" aria-label="Emoji: Fettes Häkchen"> ]. Hatuihitaj kumuongelea Sana Maana uwezo wake umejionesha Muda mrefu tangu alipofika Etihad." class="img-responsive" style="max-width:100%;"/>
Tunatumain Kepa Anaweza badirika ukizingatia bado ni kijana mdogo hivo ana safari ndefu Sana Kwenye Career Yake lakini usajiri wake ndani ya Chelsea umekuwa Kama Mzigo kulingana na pesa walioitoa kumpata muhispania huyo.
Namba 6
Nicolas Pepe :
Usajiri mkubwa kuwahi kufanyw na Arsenal na labda tatizo lao kubwa pia. Nicolas Pepe alitoka Lile Kwenda Arsenal baada ya Msimu Mzuri Sana aliokuwa nao Lile wa https://abs.twimg.com/emoji/v2/... draggable="false" alt="⚽" title="Fußball" aria-label="Emoji: Fußball">Goli 23 na https://abs.twimg.com/emoji/v2/... draggable="false" alt="🅰️" title="Invertierter quadratischer lateinischer Buchstabe A" aria-label="Emoji: Invertierter quadratischer lateinischer Buchstabe A"> Assist 12 huko Ligi ya Ufaransa, lakini https://abs.twimg.com/emoji/v2/... draggable="false" alt="⚽" title="Fußball" aria-label="Emoji: Fußball">Goli 8 na https://abs.twimg.com/emoji/v2/... draggable="false" alt="🅰️" title="Invertierter quadratischer lateinischer Buchstabe A" aria-label="Emoji: Invertierter quadratischer lateinischer Buchstabe A"> Assist 10 Kwenye Msimu wa
Namba 6Nicolas Pepe : Usajiri mkubwa kuwahi kufanyw na Arsenal na labda tatizo lao kubwa pia. Nicolas Pepe alitoka Lile Kwenda Arsenal baada ya Msimu Mzuri Sana aliokuwa nao Lile wa https://abs.twimg.com/emoji/v2/... draggable=Goli 23 na https://abs.twimg.com/emoji/v2/... draggable="false" alt="🅰️" title="Invertierter quadratischer lateinischer Buchstabe A" aria-label="Emoji: Invertierter quadratischer lateinischer Buchstabe A"> Assist 12 huko Ligi ya Ufaransa, lakini https://abs.twimg.com/emoji/v2/... draggable="false" alt="⚽" title="Fußball" aria-label="Emoji: Fußball">Goli 8 na https://abs.twimg.com/emoji/v2/... draggable="false" alt="🅰️" title="Invertierter quadratischer lateinischer Buchstabe A" aria-label="Emoji: Invertierter quadratischer lateinischer Buchstabe A"> Assist 10 Kwenye Msimu wa" title="Namba 6Nicolas Pepe : Usajiri mkubwa kuwahi kufanyw na Arsenal na labda tatizo lao kubwa pia. Nicolas Pepe alitoka Lile Kwenda Arsenal baada ya Msimu Mzuri Sana aliokuwa nao Lile wa https://abs.twimg.com/emoji/v2/... draggable="false" alt="⚽" title="Fußball" aria-label="Emoji: Fußball">Goli 23 na https://abs.twimg.com/emoji/v2/... draggable="false" alt="🅰️" title="Invertierter quadratischer lateinischer Buchstabe A" aria-label="Emoji: Invertierter quadratischer lateinischer Buchstabe A"> Assist 12 huko Ligi ya Ufaransa, lakini https://abs.twimg.com/emoji/v2/... draggable="false" alt="⚽" title="Fußball" aria-label="Emoji: Fußball">Goli 8 na https://abs.twimg.com/emoji/v2/... draggable="false" alt="🅰️" title="Invertierter quadratischer lateinischer Buchstabe A" aria-label="Emoji: Invertierter quadratischer lateinischer Buchstabe A"> Assist 10 Kwenye Msimu wa" class="img-responsive" style="max-width:100%;"/>
Kwanza ndan ya Arsenal sio marejesho halisi ya Dolla million 97 zilizotolewa na The Gunners kumpata Mchezaji huyo so Tunaweza Kusema Ni [ Flophttps://abs.twimg.com/emoji/v2/... draggable="false" alt="❌" title="Kreuzzeichen" aria-label="Emoji: Kreuzzeichen"> ]. Tunajua Arsenal ina matatizo mengi kiujumla kama timu lakin pesa walizotumia kwa Pepe ni Nyingi Sana Kushinda Kusema Pepe ni Flop.
Namba 5
Kai Havertz :
Kai Havertz Alikuwa chaguo la Frank Lampard ambae alitumia Kias Cha Dolla million 95 kumpata Mjerumani huyu. Nimemsema Lampard kwa sababu hayupo kwa Sasa kilabuni hapo hivo hatuwez kumuhukumu Havertz kwa Robo tatu ya Msimu aliocheza
Endelea tweet ijayo https://abs.twimg.com/emoji/v2/... draggable="false" alt="👀" title="Augen" aria-label="Emoji: Augen">
----- Muendelezo----- ngoja tusubiri Tuone Huu Msimu wake huu mpya akiwa na kocha Thomas Tuchel
Namba 4
Virgil van Dijk:
Mashhabiki waliwacheka Liverpool baada ya kutumia Karibu Dolla million 101 kumpata mlinzi huyu wa kati lakin Van Dijk amekuwa Kama nchi ha ahadi ya Liverpool, wakiwa na Yeye wameweza kufanya yaliyokuwa hayawezekan kwao, bila Yeye The Reds wangekuwa na-
Je sio Namba za kushangaza ? Lukaku aliamua kuondoka Na Kwenda Kucheza Seria A baada ya Misimu Kadhaa aliocheza Uingereza so mfanikio kwake yalikuwa ya Kawaida tu ndan Ya Uingereza lakini ni mchezaji mzuri amabe anaendelea Kufanya mengi huko Inter Milan.
Namba 2
Harry Maguire :
Harry Maguire Ni beki ghali zaidi kuwahi kutokea Kwenye historia ya soka, Karibu Dolla million 104 Manchester United walitumia Kumpa mlinzi huyu wa Kati wa Uingereza https://abs.twimg.com/emoji/v2/... draggable="false" alt="🤔" title="Denkendes Gesicht" aria-label="Emoji: Denkendes Gesicht"> lakin je Maguire Anaweza kuwa mtu wa Mwisho wa Kurudisha Vikombe ndan ya United ?
Sidhani. Amekuwa akifanya Makosa mengi makubwa yanayoighalimu United kudondosha points Nyingi Sana na Kidogo apelekwe jera akiwa huko Ugiriki so Matokeo kwa Upande wake na United kwa Ujumla nadhani Ni [ Flophttps://abs.twimg.com/emoji/v2/... draggable="false" alt="❌" title="Kreuzzeichen" aria-label="Emoji: Kreuzzeichen"> ] hakuna mjadara kua Maguire sio Aina ya mlinzi amabe United wanamtaka
Namba 1
Paul Pogba :
Nadhani Anaweza kuwa mchezaji anaesikitisha Zaidi ukiachana na Mesut Ozil. Paul Pogba ni mchezaji mzuri lakini hajawa na career inayolidhisha tangu alipofika United Labda tatizo la United Ni kumuacha aende mala ya kwanza au Kwenda kumnunua tena kuto Juve ?
Wote hatujui lakin Paul Pogba amekuwa akisemwa Sana Na Mashabiki Wa United kuws Ni Mmoja wa Wachezaji anae irudisha Nyuma Manchester United japo amekuwa akirudi Kwenye form yake hivi Karibuni chini ya usimamizi wa Kocha mpya Wa United Ole Solskjaer labda Anaweza badirika zaidi
So Hao ni wachezaji 15 Ghali zaidi kuwah kutokea Kwnye Premier League ambao wanatuthibitishia Kuwa Kwenye Mpira wa Miguu Kufanya Usajiri wa ghalama kubwa haimaanishi Unafanya Usajiri sahihi.
Shukran kwa kusoma uzi huu
Like, comment and Retweet iwafikie wapenda soka Kwengi zaidi https://abs.twimg.com/emoji/v2/... draggable="false" alt="🙏" title="Gefaltete Hände" aria-label="Emoji: Gefaltete Hände">
You can follow @Officialsantan8.
Tip: mention @twtextapp on a Twitter thread with the keyword “unroll” to get a link to it.

Latest Threads Unrolled: