Una convert kuwa muislamu juu ya dem alafu mnakosana before umalize madrasa. THREAD.
Arif alikuwa pedi wa makucha, kazi ilikuwa kuunda madem makucha ndio wakae poa wakienda date wanakuwa na potential ya kuwa nailed usiku kucha.
So siku moja kuna esteemed customer wake alileta beshte yake amuonyeshe mahali yeye hufanyiwa pedicure ndio akibambika akuwe anakuja hapo.
Beshte ya esteemed customer alikuwa amevaa buibui anakaa web designer... Kitu arif alikuwa anaona ni macho tu but according to her pupils alikuwa anakaa dem ako na class.
Immediately arif aka fall in love... It was love at first sight, alafu unajua kukatia dem amevaa buibui ni kama ku gamble, hauko sure kama umeangukia ama umeangukia.
Luckily madem waislamu wengi ni kama walizaliwa jikoni, huwa wameivaa wote juu hawakubali kiatu kwa mosque, so arif alikuwa confident ameangukia mtoto na nusu... Wahenga walisema maisha ni pole pole, anza na introduction maliza na reproduction.
Dem alikuwa answers to his prayers no wonder alikuwa anaitwa Amina, alikuwa na drip legit si fugazy, alikuwa ameng'ara hijab na Balenciaga... Drip kama IV hospitali.
Dem hakuwa mnono alikuwa muSlim na bado ana bonge la tako, ni wale madem slim thick wakivaa kanzu inageuka dera... Mtoto amebeba ka kamagera, akicheka tako inatingika yenyewe bila ku force.
Shida ni beshte ya huyo dem alikuwa mtiaji, alikuwa anajifanya ungedhani ni hermaphrodite, madem wawili wakitembea pamoja mmoja kati yao huwa roho chafu... It has been scientifically proven many times.
So dem akaenda from first time customer to regular customer then from regular customer to close friends though arif hakuwa anataka kubaki hapo friend zone, alikuwa anataka ku qualify awekwe kwa moyo kama stethoscope.
Wahenga husema ukiona Chakula jikoni, jua inapikwa, na ikipikwa itaivaa, na ikiivaa itakuliwa... It was about time. Arif akapeleka dem mahali anaishi, ni wale wasee hawana viti juu wanakalia deposit so option inabaki ni dem kukalia kitanda.
Dem ni wale huvaa hijab refu kitu unaona tu ni macho pekee ni kama una date ninja, but hiyo siku alivaa ile iko slightly see me through akisimama kwa the right amount of light unaona the two pillars that support a strong independent woman.
Wahenga walinena hata ukuwe rangi ya thao aje ukiona dem uchi ni lazima uta mbao... Arif hakutaka kukula kwa macho pekee akaanza ku manifest nailing a pedicure customer usiku kucha.
Arif akataka kujua kama ni possible ama anajisumbua, but dem akamsho ni haram alafu pia ni mtoto wa Sheikh na babake ana believe strictly on muslims dating Muslims so itakuwa ngumu hao ku date.
Wahenga walisema inzi akiwacha ujinga inaweza tengeneza asali, arif akaamua ata convert religion kama ndio the only way atapata huyo dem... Aka approach ustadh wa hiyo mtaa yao ajuwe process.
So arif akakuwa enrolled kwa madrasa, akanunua hadi kanzu... Weekends unapata amevaa hadi dera akifua juu wahenga wa mtaa walisema dera bila tako ni kanzu so technically alikuwa amevaa kanzu.
Transition haikuwa smooth vile alikuwa anafikiria, jamaa ilibidi atafte hadi compus ajuwe mahali ata face akitandika mkeka kuomba, ajifunze hadi ku arc aki swali masaa za salat na jummah.
Jamaa aka change hadi jina aka adopt ya kiislamu, akaanza hadi process ya chukua affidavit ndio a change details za birth certificate akuwe na muslim names officially.
Kuna siku amealikwa harusi na ustadh wa mtaa ndio ajifunze vile islam marriages hukuwa, kuna msee alikuwa anaoa cousin yake na ustadh alikuwa close friend so ilikuwa good learning experience.
Kufika huko wakapata sherehe inaendelea, bride alikuwa covered hadi uso, so kitu arif alikuwa anaona ni mikono zimepigwa tattoo ya hinah.
Shereh ilikuwa imetulia, kwa hewa kuna aroma ya biriani, wali wa mnazi, mahamri, kebab, injera yaani mapocho pocho ya vyakula ilikuwa kila mahali. Arif ametulia hapo aki sip maziwa ya ngamia.
Umewai weka tumbo mbele ukapata ume attend harusi ya "Manzi yako" ??? Arif alijua mahali kuna harusi kuna vyakula akasahau kuuliza harusi ni ya nani. Bride kufungua hijab ya uso ndio anapata ni dem mwenye amefanya ana sacrifice ku switch religion ndio wakuwe pamoja.
Na vile siku ya Ramadan jamaa alikuwa anafunga hadi kukula kwa macho ndio siku ya iftar akule dem yake pekee, aliwacha hadi kukula porko juu ni haram kulingana na dini yake mpya 😭
Kumbe arif anajisumbua na dem ako betrothed according to the Shariah laws of Islam, yaani hii sacrifice yote ilikuwa kama kutegemea message ya Mpesa na Kumbe uko na Fuliza.
Jamaa alikuwa anajifunza madrasa ndio aoe dem muislamu mwenye ako na class but kumbe hana standard hata ya ku date dem mwenyewe... Una change religion ku date dem unabaki na islam vibes and insha'Allah
You can follow @_CrazyNairobian.
Tip: mention @twtextapp on a Twitter thread with the keyword “unroll” to get a link to it.

Latest Threads Unrolled: