Nairobi ni heri ukose Dem lakini usikose Rent. THREAD.
Niki stay Uthiru kuna day kazi iliisha abruptly na sikuwa nimejipanga poa, so most of the time nilikuwa nafanya kazi ya kutafta kazi ingine ama na stay indoors kama furnitures.
By the time end month inafika sikuwa na doh enough za kulipa rent ikabaki nimecheza hide and seek na landlord ku avoid maswali mingi... Landlord alikuwa anakuja hata saa tano usiku ku knock mlango adai rent.
Juu ya hiyo story nika get idea, kuna boy flani alikuwa anasaka keja juu hana mahali pa kuishi na ako attachment karibu na hiyo area, so nikamsho niko na place anaweza stay bora tuna split rent 50/50... Anatoa nusu natoa nusu.
Ilikuwa single room ya mabati, rent ilikuwa 1500 but juu jamaa hakuwa anajua na alikuwa desperate kupata place ya ku stay nikamsho ni 2K then stima, maji na security ni 1K so atakuwa anatoa 1500, fala akaitikia... Nairobi ni shamba la mawe na wajinga ndio waliwao.
Rules zilikuwa simple, mwenye nyumba analala kwa bed then tenant analala kwa kiti ka cusion, Rent anapea mimi as internal landlord then mimi napelekea external landlord... As simple as that. Food kila mtu anajitegemea but aki feel generous internal landlord ata appreciate.
Tukakaa two months jamaa akilipa rent in full kama hajui... Maisha ilikuwa smooth sailing hadi ile siku tenant wangu alianza kujuana na majirani alafu akagundua amekuwa akilipa rent in full si half... My tenant akajam akahama
Hapo ndio life ikani hit bado sijapata a stable job yenye naweza jitegemea... nilikuwa nimezoeya ku hustle doh za food pekee yake so end month vile ilifika nikarudi ile form ya hide and seek nilijaribu kujaza pesa ya rent.
Nika strike deal na jirani wa next door, ikifika usiku raiya anakuja ananifungia na nje ndio landlord akikuja kubisha usiku adhani mwenye nyumba hayuko, then jirani anakuja kunifungulia asubuhi akienda job.
For two days ili work poa, nilikuwa naskia landlord anagusa gusa kafuli alafu ana click na nguvu najua niko safe for another night... Nilikuwa nimechanga 600Bob but nilijua hawezi chukua hizo hadi nijaze.

Alafu nilikuwa nimepata hustle ingine but singeanza kuitisha pesa mapema.
Siku ya tatu tukafanya the same routine, church mouse nikachukua ma position kwa bed nikaokota usingizi wa sina tabu, kitu saa sita nikaskia mtu anaguza mlango nikajua ni landlord.
Riaya sikushtuka, nilijua niko safe so nikalala kama maziwa haiko fresh. Kwanza ukiwa na deni ya mtu lakini hawezi kudai juu hamuonani, mtu hulala kama maiti.
Asubuhi nikaskia jirani ana knock mlango, nikaamka kama kawaida kumuuliza form ni gani, msee akaniuliza kama ni mimi nimeongeza kafuli ya pili? Nikajua bhangi si mboga, nitajifungia aje ndani ya nyumba na niko ndani shuwali?
Kumbe landlord aliona kafuli yangu iko lonely inakulwa na baridi pekee yake usiku akaiongezea company, mlango yangu ikafungwa na kafuli mbili kama hardware... Jirani akaenda job akaniwachia shida zangu.
Nikajua kitumbua kimeingia mchanga na dawa ya uwizi ni mwarubaini... Nipende nisipende nilijua ni lazima tu niambie landlord niko ndani otherwise nitaozea ndani ya hiyo nyumba.

First day of work na already nita miss juu kukosa kulipa rent.
Ku make it worse choo ilikuwa nje ya nyumba, ni hizi zenye coolkids wanaita community toilets na nilikuwa nimekazwa kama nonsense so it was either niite landlord tuonge ama nikojoe kwa jug... Nili opt kukojoa kwa jug.
Kufika kitu saa sita nikajua ujinga haina dawa coz ni lazima tu nitaita landlord, nikaanza ku knock mlango ndio mtu ako nje akiskia nimwambie aite landlord... Katoto ka jirani kakaskia nikakatuma kuita landlord. Swali ya kwanza ilikuwa "Ulipitia wapi ukiingia ndani?"
Ikabidi nimsho nilikuwa ndani but ni kama mtu alinifungia na nje, landlord akasema ni yeye alifunga na nje but kulikuwa na kafuli ingine already na haioni... Nikamsho siwezi jua juu nilikuwa nimelala sana.
Akadai the only way anatoa kafuli yake ni kama namlipa rent otherwise nyumba yake si ya free, nikampea 600 nilikuwa nazo, nikapitishia chini ya mlango akachukua akasema "Jaza hizo zingine ndio nifungue" akaenda.
Ilibidi nime hustle 900 bob kwa mabeshte for 2 hours đŸ˜© ndio huyo mzee akanifungulia... Then akanipea notice ya kuhama juu namsumbua kulipa rent... Sikuwa nadai kuhama hapo coz hizo hao ndio the cheapest option Uthiru na sikuwa bado nimejipanga.
Nikatuma beshte yangu aende alipe deposit na rent ajifanye anataka nyumba. Mimi nae nikatafta pickup inisaidie kuhama then nikashow msee wa pick up niko na deal nadai tufanye, akasema haina noma bora natoboka doh.
Siku ya kuhama tukaweka vitu kwa pick up vizuri tukahama, tukapiga nazo raundi hapo Uthiru ni kama tuko road show ya bedsitter... Tulikuwa tunangoja landlord aonyeshe arif mansion then tukarudisha vitu kama new tenants 😎
So roles zili change, arif ndio alikuwa landlord wangu, nilikuwa nampelekea rent then yeye anapelekea landlord...

Niligundua rent ni muhimu sana Nairobi, ukilipa on time unaweza enda hata kwa nyumba ya landlord uweke miguu juu ya meza umtume jikoni 😭
You can follow @_CrazyNairobian.
Tip: mention @twtextapp on a Twitter thread with the keyword “unroll” to get a link to it.

Latest Threads Unrolled: