Ibogaine..solution kwa Drug addicts unakunywa once tu na inaenda ku rewrite how your brain sees addiction..under 30 hours tu Unakua Drig Addiction Free kwasababu inaondoa craving zote za Kutumia Unga ni kama ina Format taarifa zote za kutumia Madawa kichwani kwako..swali ni je..
Kwanini haiuzwi Worldwide? Jibu ni very simple Pharmaceutical Industries hazitaki means itaua soko lao..kuna watu wame athirika kwa kuwa addicted na Pain killers kama Morphine au aspirin..kwahiyo ukinywa Ibogine it means hutonunua tena Pain killers kwasababu utakua DRUGS FREE.
Hii Dawa Country of Origin ni Mexico..na Ni kosa kisheria kukutwa au Kusafirisha IBOGINE so mateja wengi wa Marekani hutimkia Mexico kupata Matibabu..jambo la kufurahisha ni kwamba Hii dawa unakunywa mara moja tu..baada ya masaa 30 bas wewe unakua mtu mpya huto tamanj tena Unga.
Lakini kama Madawa Mengine Basi IBOGAINE pia Ina Side effects zake kwa watu wenye Allergies Kwani toka mwaka 2018/2020 imeua watu 19...lakini hii ina epukika kama Pharmaceuticals industries zitakaa nakufanyia Research IBOGAINE ili kuleta Tiba Sahihi kwa wagonjwa wa Uraibu
You can follow @BrooklynMBE2.
Tip: mention @twtextapp on a Twitter thread with the keyword “unroll” to get a link to it.

Latest Threads Unrolled: