leo nimewachana na my person, nimekuwa nikichezwa bila kujua 😭😭 maze huyu dem tumekuwa pamoja for kitu 2 years..alikuwa hadi asha nipiga intro kwa relatives place nilikuwa nimebakisha kuenda ni kwao kumeet wazazi wake..nilikuwa excited bana
huyu dem tunafanya vitu mob sana kwa hiyo short time tumejuana manze vile mi huwa gangsta ashainipeleka gym six asubuhi tukafanye yoga si mnajua mtu akiwa in love ata mtu wako afanye kitu dumb kwako inakaanga fun.mapenzi huwa scam
hapo january alinipiga intro kwa ninja flani akadai ni cuzo yake, mimi juu nilikuwa nadai kuplease my woman, plus nakuanga opportunist nikaamua kusieze my moment nifurahishe watu wao ndio waanze kunikubali mapema, nikaoffer kuwapeleka out nikawa spoil
nikashow my woman achague place akadai tuende Thika juu ni karibu na mtaa, so vile tulifika around 6pm tukaorder food na tukaingia tukaingia club kuitisha drinks morio akadai yeye hakunywangi pombe sijawai boeka hivo nikajiambia maybe ameamua kuwa designated driver
akaitisha minute maid na Redbull sijawai ona mtu weird hivo, sisi tukaendelea kukata maji na my person tukiitisha rounds morio anaitisha Dasani kitu saa nane hapo morio akaanza kuzusha ati anafaa kupeleka cousin yake home juu nikama anachoma picha mi sikubishana
nilidhani ako concerned alafu ilikuwa siku ya kwanza kujuana so tukiwa kwa gari tukirudi mtaa morio akapigia siz ya dem yangu akamshow wakuwe rada anakam kudrop siz yao akadai kwanza anidrop alafu baadae adrop cuzo yake mimi mjinga nikaitikia..sijui what happened after that
sijawai ona huyo morio tena kutoka hiyo siku na life yetu ikaendelea kama kawa until today siku ya leo sitawai sahau😭😭😭😭
so jana my pal akanicall akadai amepata works kwa Apartment flani huko Ruaka akaniuliza kama nitamake kufika by 6:30 ngware ndio tumalize by 8 hadi nikasema sitaona game ya manchester United ndio niamke mapema 😭😭😭😭
tulikuwa tuna install CCTV after kumaliza the owner requested tudelete hizo footage si tukaingia control room tukaanza kusorora hizo footage ushaipigwa na butwaa video ya kwanza kufungua niliona ile gari ya ule morio bana 😭😭
niliona number plate nikaanza kuchocha my pal na zile za ''hii ni gari ya cuzo ya dem yangu'' hadi nikamshow kama haamini tukimaliza job tuende tusake keja yake tumsalimie kidogo caretaker akatokea akatuchocha akatushow hadi atatupelaka juu huyo morio huwatolea fom mbaya
nikidhani ni jokes caretaker akapigia morio akamshow kuna wasee wanataka kumuona akaambiwa atupeleke hakuna shida bro sisi kufika hivi niliona kiatu flani nishai buyia dem yangu hapo nje anyway kama ni yeye si ako kwa cuzo yake
hako ka caretaker kakaanza kuwhisper ''nikama ako na mtu wake'' mimi nikaskia tumbo imejaa maji since nilikuwa nakumbuka hizo viatu..kubisha mlango guess nani alifungua? 😭😭😭😭😭😭😭😭 hadi saa hii naskia kitu ikininyonga nikikumbuka vile nimeona
alafu gaidi ilikuwa maji hadi haikuwa inaniona akaitana ''babe uko na wageni'' 😭😭😭 nilimuita jina zake zote za serikali akarudi default settings sema drama kwa ploti ya wenyewe, bahati ni venye huko tenants ni working class mgeniona kwa news leo
WOMEN, imagine alikana huyo mtu wake kuharibu zaidi alikuwa amevaa Vest yake, ogopa hii gender. she still had the audacity to apologize, like who does that na umeshikwa redhanded 😠
my pal alinihurumia bana akanishow tuende anishike konyagi nitulie saa hizo gaidi inanifuata ikilia nilimskumanisha akadunda ata sijui ako aje saa hii juu nishabuy hadi line ingine..leo nimeamua roho hangu ibaki kupump damu na nipende Konyagi 😭😭😭😭
You can follow @kinyuaWaMuthoni.
Tip: mention @twtextapp on a Twitter thread with the keyword “unroll” to get a link to it.

Latest Threads Unrolled: