Suala la Ozil kutocheza tena Arsenal si sababu ya uwezo wa uwanjan au effort za mazoezin kwamba hafit kwny mfumo, hell no đź™…. Ozil ni mchezaji ambae kashafit kwny mifumo ya makocha wengi tu (Klinsman, Mourinho, Wenger) leo aje ashindwe na Arteta.
Nini tatizo 👇
Suala la Ozil lina sababu nyingi, na almost zote zimekaa kibinafsi. Nasema kibinafsi maana zimekaa ktk kunufaisha mifuko ya mabosi kuliko timu.
Miaka yote Ă–zil ameonyesha loyalty yake kwa Arsenal na mpk saivi pamoja na kua hachezi ila siku zote amekua akisapoti timu ya @Arsenal
Siku Ozil anasajiliwa Arsenal mashabiki walijaa nje ya uwanja wa Emirates wakisubiria official announcement yake @MesutOzil1088 na tangia siku hio Ozil amekua loyal kwa Arsenal pamoja na kupewa maneno mengi ya kashfa na mashabiki hao hao. Tuangalie tatzo limeanzia wapi
Ozil tatzo la kwanza limeanzia ktk picha yake na rais wa uturuki. Lakini hii siku sio Ozil peke ake alopiga picha na rais huyo bali ata Ilkay Gundogan pia alipiga nae picha , lkn haikufanya iwe ttzo kwa timu yake ya @ManCity na watu wakaona anajihusisha na siasa ila binafsi sioni
Kama ni siasa maana hii ilkua ni sherehe na wachezaji weng wa kituruki wamwfanya ivo akiwemo Tosun. Ila kwasbb Arsenal walkua wanataka kulinda reputation yao, maana angepiga picha na queen elizabeth isingekua ttzo.
Sababu ya pili ni suala lake la kutetea haki ya uyghur muslims
Hapa Ozil amekua blamed na timu imeshindwa kumpa back up kwa kulinda maslahi ya soko la Asia ambako kuna soko kubwa tu na mpk Ozil aliondolewa kwny PES ya version za china. Hapa pia naona suala sio kua activists maana wachezaji wngi tu wametetea mambo mengi ikiwemo #EndSARS
Wametetea #BlackLivesMatter na mambo mengine mengi tu ikowemo rainbow laces. Ila Ozil misingi yake amekua nayo siku zote. Nakumbuka kuna tukio Ozil anarushiwa chakula wakati wa kupiga kona, akaokota akakibusu then akakiweka pemben , hii yote kuonyesha anathamin utu siku zote na
Sio tu uislamu ila mambo mbalimbali amekua akisapoti as long as linatetea haki. Ila Ozil amekua pia akilaumiwa na kuitwa muarabu (mturuki) timu yake ya taifa inapokuja masuala hayo na ni sabb ilomfanya ajiuzulu timu ya taifa. Sababu ya mwisho ni suala la kuonekana amekataa
Pay cut, kitu ambacho si cha kweli na ni cha kweli pia. Ozil hakukataa kukatwa ila alihoji na kutaka kujua hela wanazoktwa zinaenda wapi? Walishindwa kumjibu maana hela zilkua zinarudi kwa mabosi. Na aliwaambia mkitukata izo hela basi msifukuze wafanya kazi ila walifanya kinyume
Watu walifanyiwa pay cut na wafanya kazi 50 walifukuzwa pia. Na Ozil hakukataa peke ake alikataa na wachezaj wengn wa3 ila jina lake ndo lilivuja na wakamfanya scapegoat wao. Hii inaonyesha greedy ya mabosi wa Arsenal. Na ozil amekua akifanya charities mbalimbali pale London
Na ndo maana hata suala la yule mascot wa Arsenal kufukuzwa ktk timu imemfanya Ozil atoe mshahara wake ili jamaa aendelee kubaki ila matokeo yake amezid kuwaudhi mabosi na wameamua atolewe ktk kikosi jumla. Why Ozil asiondoke?? Jibu ni kua Ozil yuko loyal na Arsenal hata kma timu
Haimtaki ila n na kama lbd ni sabb ya hela basi angekubali ofa za kwenda kuvuna hela uarabuni na ndo maana anafanya mazoez na u-23 lkn still halalamiki, wamemtoa kwny kikosi na halalamiki. Ttzo ni kwmba Arsenal wanalinda reputation yao kwmb no ome is bigger than the club
Je, ni kweli Ozil amisha kiwango, jibu ni Yes and No (depends) Yes kwa kuangalia standard yke aloiweka before ya kua na assist nyng na many chances created Ozil amekua na mchango mkubwa ktk magoli na mafanikio ya Arsenal ktk miaka yake yte alokaa Arsenal. Na ni No, kutokana na
Ozil pamoja na kutocheza muda mrefu still ni mchezaji wa 4 kwa kua na assist nyng duniani kiujumla. Na ilhali amekaa na mastriker km kina Giroud, Welbeck, na Walcot ila still amekua na career nzur. Na mpka ss bado Arsenal haina option ya creative midfielder mwningine zaid yake
Ozil ni mchezaji mwnye misingi yake na anaiheshimu na hatokaa abadilike.
Thanks for your time @MesutOzil1088 all those 7 years at Arsenal, you have been loyal to the club. You did not deserve to end your life at Arsenal like this. But you will always be in our hearts Legend 🙏
You can follow @dullah_draxler.
Tip: mention @twtextapp on a Twitter thread with the keyword “unroll” to get a link to it.

Latest Threads Unrolled: