Poor judgement nayo ni kitu ingine mbaya sana. THREAD.
Kuna hii day fulani nilikuwa nmevisit auntie yangu wa kericho ilikuwa on that long holiday season. Unajua naks https://abs.twimg.com/emoji/v2/... draggable="false" alt="😂" title="Gesicht mit FreudentrĂ€nen" aria-label="Emoji: Gesicht mit FreudentrĂ€nen">shule ziko huko zimeenda group of schools so kazi ya kufunza ilikuwa ngumu kupata plus pia mimi singenyolewa ndo nilipwe 3k per month kufunza watoto fishing in japan
na lake nakuru imejaa flamingo https://abs.twimg.com/emoji/v2/... draggable="false" alt="😂" title="Gesicht mit FreudentrĂ€nen" aria-label="Emoji: Gesicht mit FreudentrĂ€nen">. Nkakaa home the first two months then auntie yangu akanishow anahitaji a hand kwa job yake ya shop kurun juu yeye alikuwaga busy kufunza shule fulani. Haka ka opposhunaty huezi kaacha juu hio miezi mbili nilikuwa nmetii https://abs.twimg.com/emoji/v2/... draggable="false" alt="😂" title="Gesicht mit FreudentrĂ€nen" aria-label="Emoji: Gesicht mit FreudentrĂ€nen">mpaka pesa ya credo
Inabidi umetumwa duka kuendea mafuta taa ndo yenye itabaki ndo unabuy credo na ukifika nyumbani unakanyagia ukiwa na zile jeans za kanyaga. Hii life ya kuomba mzazi pesa ya credo haikuwa inaleta shangwe so mimi huyo nkaishia kerichon na juu ilikuwa time less imebaki sana kurudi
chuo nkaamuaga tu kubeba nguo zangu mbili https://abs.twimg.com/emoji/v2/... draggable="false" alt="😂" title="Gesicht mit FreudentrĂ€nen" aria-label="Emoji: Gesicht mit FreudentrĂ€nen"> na kalaptop ndo ikifika September ni kupitia hako ka nyuma nikiishia eldie. Maisha kericho ilichange sana kazi ni kuwauzia tu kwa duka na kula kdf karibu niunge nipelekwe somalia kupigana. 3 months zikaisha na saa ilikuwa time ya
kurudi bedsitter ile maisha ya kunywagwa strungi na kitunguu saumu na yenye inabaki mnashare na bro yako mende. Na auntie yangu ni wale maauntie wa nguvu kama v8 si kama wale wa harrier https://abs.twimg.com/emoji/v2/... draggable="false" alt="👀" title="Augen" aria-label="Emoji: Augen">. Akanipakia mahindi viazi pineapples kidogo anipackie majani chai https://abs.twimg.com/emoji/v2/... draggable="false" alt="🏃" title="Person running" aria-label="Emoji: Person running">https://abs.twimg.com/emoji/v2/... draggable="false" alt="😂" title="Gesicht mit FreudentrĂ€nen" aria-label="Emoji: Gesicht mit FreudentrĂ€nen">https://abs.twimg.com/emoji/v2/... draggable="false" alt="😂" title="Gesicht mit FreudentrĂ€nen" aria-label="Emoji: Gesicht mit FreudentrĂ€nen">. So hapo nilikuwa
na gunia full so kalikuwa kamzigo pia. Juu yeye ilibidi aishie kwa shop so hangenipeleka mpaka stage. So kutoka kwake na boda ilikuwa kitu kama 15mins ivi nkachukua boda juu venye nilikuwa nmebebanisha ungedhani ni mama soko toka kisii. Nko na bag na ile brungo ya kagunia
mnajua hio ni economic resources ya bedsitter https://abs.twimg.com/emoji/v2/... draggable="false" alt="😂" title="Gesicht mit FreudentrĂ€nen" aria-label="Emoji: Gesicht mit FreudentrĂ€nen"> na kabag kale ka laptop. Na juu sijui stage poa nkapiga maroundi kusaka gari zile za kupanga mpaka eldie but hazikuwa juu ilikuwa ile season ya back to school so tao mzima inanuka kinyozi https://abs.twimg.com/emoji/v2/... draggable="false" alt="😂" title="Gesicht mit FreudentrĂ€nen" aria-label="Emoji: Gesicht mit FreudentrĂ€nen"> so badala ya kungoja nkasaka nione kama
Kuna zile za kusonga luckily makanga fulani akanishow kama naishia eldie na gari imebakisha msee mmoja aah hapa nkajua baas nneangukia but shida sasa ilikuwa sikuwa na ID na doo zilikuwa mpesa plus mimi ni mgeni pia. Na hapa nafaa kuprevent vitu mbili kuhappen gari isiniache na
nisilose bags zangu. Kuna zile shades za tao za kuchill so hapo ndo kagunia ka goodies kalikuwa na bag ya nguo lapi nayo ilikuwa kwa mgongo sa nkachoreshea conda achill dakika moja niwithdraw pesa na mimi juu ya kuninstall akili nikaekelea bag ya manguo na lapi hapo kwa hio seat
but brungo niliacha hapo kusaka mpesa ilikuwa ngumu juu hawa madem huringa na kwanza ni back to school sa mwingine alinishow kama hauna ID hautawithdraw pesa what if uende ubuy betrol upeirut shule yenyuhttps://abs.twimg.com/emoji/v2/... draggable="false" alt="😂" title="Gesicht mit FreudentrĂ€nen" aria-label="Emoji: Gesicht mit FreudentrĂ€nen">https://abs.twimg.com/emoji/v2/... draggable="false" alt="😂" title="Gesicht mit FreudentrĂ€nen" aria-label="Emoji: Gesicht mit FreudentrĂ€nen"> kwanza hapo mimi na ufala lazima ningecheka huezi ngoa hio yote na
uniringie blafucken. Nkapata manzi fulani akakubali nkawithdraw mbiombio nisiachwe na ile mat. Kurudi pale kwa mat nkapata ilimokre https://abs.twimg.com/emoji/v2/... draggable="false" alt="😂" title="Gesicht mit FreudentrĂ€nen" aria-label="Emoji: Gesicht mit FreudentrĂ€nen">https://abs.twimg.com/emoji/v2/... draggable="false" alt="😂" title="Gesicht mit FreudentrĂ€nen" aria-label="Emoji: Gesicht mit FreudentrĂ€nen">na bags zangu pia laptop na nguo zangu za kudriphttps://abs.twimg.com/emoji/v2/... draggable="false" alt="😡" title="Schmollendes Gesicht" aria-label="Emoji: Schmollendes Gesicht">https://abs.twimg.com/emoji/v2/... draggable="false" alt="💔" title="Gebrochenes Herz" aria-label="Emoji: Gebrochenes Herz">https://abs.twimg.com/emoji/v2/... draggable="false" alt="💔" title="Gebrochenes Herz" aria-label="Emoji: Gebrochenes Herz">. But luckily wanasemaga don& #39;t put your eggs in one basket najua haiapply juu wakenya tuko
na trays so ile mzigo yangu still ilikuwa wee ata nilishindwa whats next na juu hio gari ni zile za soko huru so haina ant sacco ni ngumu kutrace na hivo ndo makanga alinipokonya laptop yangu https://abs.twimg.com/emoji/v2/... draggable="false" alt="💔" title="Gebrochenes Herz" aria-label="Emoji: Gebrochenes Herz">https://abs.twimg.com/emoji/v2/... draggable="false" alt="💔" title="Gebrochenes Herz" aria-label="Emoji: Gebrochenes Herz">. Anyway all was not lost juu as we& #39;re speaking now nko na kibanda pale eldie nauza
Mahindi chemsha na https://abs.twimg.com/emoji/v2/... draggable="false" alt="😂" title="Gesicht mit FreudentrĂ€nen" aria-label="Emoji: Gesicht mit FreudentrĂ€nen">majani chai baridiii....... https://youtu.be/zTxwq2LWjho ">https://youtu.be/zTxwq2LWj...
You can follow @nakurugoat.
Tip: mention @twtextapp on a Twitter thread with the keyword “unroll” to get a link to it.

Latest Threads Unrolled: