Prof Jay(MP) anadai Ferooz akiwa wamoto sana alikuwa hagusiki yaani uvimbaji kama wote.
wakiwa njiani baada ya kukubaliana na Prof Jay kuwa kuna show wanaenda kupiga mkoa flani, Ferooz ghafla akamwambia Prof Jay kuwa naona miyeyusho hii safari kama vipi nageuza

wakiwa njiani baada ya kukubaliana na Prof Jay kuwa kuna show wanaenda kupiga mkoa flani, Ferooz ghafla akamwambia Prof Jay kuwa naona miyeyusho hii safari kama vipi nageuza

Akiwa na wapambe wake wakageuza zake nakurudi mjini nakumuacha Prof. Kwenye mataa kitu ambacho kilimuumiza prof Jay, mko mnaenda Morogoro na mwana mnafika Kibaha mshikaji anakwambia narudi Zangu Dar bila sababu ya msingi inaumiza kiasi gani?

Ferooz alikuwa wamoto sana nyakati zake nakumbuka wakati ‘Starehe’ inatoka tulikuwa tunashindana nani kaiona mara nyingi video kwenye TV sababu ilikuwa ni nyimbo ya Taifa(hadi leo) haijawai tokea wimbo wa magonjwa ukaopendwa sana na watu kubang nao huku ukisindikizwa na

Verse kali kutoka kwa Prof. Jay ikikamilisha ngoma kuwa tamu zadi kuliko mvinyo ulikokaa takribani miaka 30 kutoka kiwanda cha Dodoma wine kwakina Max Zitatu.
Wasanii wengi wazamani walipiga sana hela sema kilichowasumbua ni ulimbukeni na starehe za mjini, mtu aliamini
Wasanii wengi wazamani walipiga sana hela sema kilichowasumbua ni ulimbukeni na starehe za mjini, mtu aliamini

Akila milioni 4 leo kesho simu ya promota itaita tena aende kupiga vimeo, kwa mujibu wa Soggy Dog anadai kuwa Mr.Nice alikuwa anatembea na pesa kwenye buti yani anakula bia bar ghafla anasema “bia za hapa mbaya twenzetu tukale bia Arusha” Soggy akiomba aende home akachukue

Nguo Mr. Nice anacheka anamwambia hela zipo kwenye buti tutanunua Arusha.
Producer mkongwe Master Jay anadai kwa macho yake alikuwa ana shuhudia mwindi ‘Mamu’ akiwakabidhi milioni 100 wagosi wakaya kama ‘first inastallment’ ya mauzo ya album na kuna wakati walinunua

Producer mkongwe Master Jay anadai kwa macho yake alikuwa ana shuhudia mwindi ‘Mamu’ akiwakabidhi milioni 100 wagosi wakaya kama ‘first inastallment’ ya mauzo ya album na kuna wakati walinunua

Gari lake cash hapohapo baada ya kumshawishi kuwa anauza bei gani gari lake 

Msanii mmoja kutoka kundi la Wagosi wakaya ‘Dokta John’ aliwai kusema kwenye moja ya interview kuwa ni kweli walichezea pesa na anajutia hilo.
Ile kauli kuwa wasanii wazamani hawakupiga

Msanii mmoja kutoka kundi la Wagosi wakaya ‘Dokta John’ aliwai kusema kwenye moja ya interview kuwa ni kweli walichezea pesa na anajutia hilo.
Ile kauli kuwa wasanii wazamani hawakupiga

Pesa inaweza kuwa ni kweli ukilinganisha na leo ila sio kwamba pesa hawakupata kabisa.
Nature miaka ya nyuma alikuwa anatembelea benzi na inasemekana alikuwa akilimiliki Tax kadhaa mitaa ya Temeke, Matonya alijenga hotel Tanga, miaka 2004 kuna msanii wakike alikuwa anamiliki
Nature miaka ya nyuma alikuwa anatembelea benzi na inasemekana alikuwa akilimiliki Tax kadhaa mitaa ya Temeke, Matonya alijenga hotel Tanga, miaka 2004 kuna msanii wakike alikuwa anamiliki

Zaidi ya milioni 500 bank. Miaka ya hivi karibuni wasanii wamekuwa hawategemei tena album kama mwanzo bali show na mauzo ya mtandaoni kama miito ya simu,Youtube na mitandao ya streaming bila kusahau deal za makampuni mbalimbali.
Muziki wazamani ulishikiliwa na watu wachache
Muziki wazamani ulishikiliwa na watu wachache

Ila sasa muziki unashikiliwa na recording label kubwa, msanii as individual akitusua bila management kwanza ni ngumu pili kuna maslai yake mengi atakuwa anayakosa.
Label na management kubwa ndio future ya muziki wa bongo.
-Mwisho
#SanukaNaChapo
Credit: Ngomeni & The Bartender.
Label na management kubwa ndio future ya muziki wa bongo.
-Mwisho
#SanukaNaChapo
Credit: Ngomeni & The Bartender.