Angalizo;
Huyo Dada hapo kwenye picha anaitwa Neema Godfrey. alikuwa ni mmoja kati ya mafounder na CEO wa Shirika la @TZnaVijana lenye shughuli zake jijini Mwanza.. hivi sasa amesimamishwa kazi kutokana na mwenendo wake mchafu na kazi zake kwa ujumla..
Huyu Dada ana genge analoliendesha linajihusisha na shughuli za Kitapeli na yeye ndio master mind, inasemekana kwao ni Musoma na hata hilo jina lake sina hakika nalo maana hakuna sehemu wala mtu anayejua kitambulisho chake hata laini za simu anazotumia,
Hazijasajiliwa kupitia kitambulisho chake Wafanaya kazi wenzie kwenye shirika walikuwa wakimuuliza kwanini huna kitambulisho cha taifa maelezo yake anadai yuko busy sana anakosa muda wa kwenda NIDA kufatilia kitambulisho hivyo wenzie wakamuamini na kufanya naye kazi
Hapo alipo ana zaidi ya namba za simu 10 na kila namba ina tukio lake, ana jamaa ambaye wako pamoja wanarubuni watu kutoka Twitter na mwisho wa siku wanawatapeli huyo jamaa anaitwa Helman Kiamrio kwa hapa Twitter anajiita Daniel naye ni vilevile kama huyo Madame.H
Huyu jamaa anaishi kama Ghost maana hakuna anayejua sauti yake wala sura yake zaidi ya kuwatapeli watu Mtandaoni huku akionesha maisha ya juu sana hali inayoonesha watu wengi kumuamini kumbe kwa ground mambo ni tofauti, jamaa anatumia namba za Kenya na South Africa
Anadai anafanya kazi Kenya na South Africa kitu ambacho ni uongo. Maisha yake yapo Mwanza, Dar na Arusha hizo ndizo sehemu huwa anazunguka kuishi endapo akiharibu sehemu moja kati ya hizo, story ni kwamba jamaa naye alikuwa ni moja ya Mafounder wa @TZnaVijana
Wamekuwa wakitumia kivuli cha shirika kufanya utapeli kwa Wahisani lakini pia kwa wanachama wenzao wa Shirika, haijaishia hapo hawa watu wamefanya utapeli mkubwa sana mtandaoni na hapa Twitter ndio kama shamba lao la kuvuna watu wa kuwatapeli, huyu Helman amekuwa
Akimtumia Neema kuwatapeli wanawake kimapenzi akijidai kuwa yeye ni Kaka yake Neema na Neema anakuwa kama chambo, na mwisho wa siku hao watu hawaonani na huyo Daniel kwa hapa Twitter waliotapeliwa ni..
Siima Masoud
Hawa Abuu
Messi Zullu naye kidogo aingie kwenye huo mtego.
Ukichunguza sana inaonekana huyo Daniel ni kivuli tu lakini muhusika mkuu ni huyo Neema maana watu wote waliotapeliwa na huyo Daniel ilikiwa hawajawahi muona wala kusikia sauti ya huyo Daniel zaidi ya kuchat naye WhatsApp tuu...
Kuhusu mimi ni kwamba Shirika walinitafuta mimi kama admin wao wa Account zote za mitandao ya kijamii na nimefanya nao kazi kuanzia mwezi wa 3 mpaka sasa kwa makubaliano ya Mshahara wa 350k kwa mwezi. Kimbembe kilianza hapa Shirika kama Shirika walitambua mimi
Kama member wao na Walikuwa wanajua mimi mshahara unanifikia kumbe unaingia Mfukoni kwa huyo Neema, na Jamaa walikuwa wakionesha Maisha ya hali ya juu sana yaani huyo Neema pamoja na Daniel huku Mtandaoni ikafika kipindi Daniel akawa anapost Vocha humu watu wanapata
Hata mimi kupitia hiyo niliwaamini sana mpaka nikaanza kupigwa Hela sasa, mana nilianza ombwa pesa na huyo Daniel yeye akidai yupo Kenya na ndugu yake yupo Tz nimtumie pesa yeye akitoka mara anakwambia Kazini mara Mgodini atakurudishia, ilifika hatua mpaka nikaanza
Kukopa Pesa kwa Wana humu na kuwatumia hao ndugu zake na kukosa Uwanifu kwa watu kwa ujinga wangu Mwenyewe nikiamini Pesa yangu ipo nikipewa nitawalipa Watu kumbe haikuwa hivyo nifikiliavyo mimi, turudi nyuma kidogo wakati huo Shirika wakijua mimi Mshahara napewa kumbe sio
Huyo Neema na huyo kivuli wake Daniel walikuja kwangu kuniambia kutokana na Corona shirika halina Pesa wahisani hamna kwahiyo mpaka mambo yatakapokaa sawa ndio Pesa zako utalipwa mimi niliishi kwa imani hiyo na kufanya kazi bila shida huku kila Daniel akihitaji Pesa hata
Hata kama sina nakopa kwa mtu nimpe ili tu mambo yaende sawa.. kwa hesabu zangu ni kama 3.2mill pesa nilizopigwa pamoja na Muda wangu mwingi sana,
Sasa Shirika baada ya kuona nafanya nao kazi vizuri bila shida wakaamua kunitumia email kwamba niende Ofisini Mwanza
Nikatambulike na ambapo nilihitajika kuripot ofisini tarehe 4/10/2020 na hiyo Barua na Neema hivyo nikawa naqasiliana naye yeye mpaka mimi kufika Mwanza basi mimi nikafanya kama email inavyosema nikafika Mwanza tarehe 01/10/202 nikafikia lodge ilipofika hiyo tarehe
Neema akaanza kama kuninyima ushirikiano ndipo niliposhtuka na kuhisi kitu, nilichokifanya nikachukuwa moja ya namba za simu ambazo zilikuwepo kwenye hiyo Barua na Kupiga bahati nzuri huyo Mtu niliyempigia Simu ni Katibu wa hilo Shirika nilipoonana na Jamaa alishangaa sana
Kuona nimetelekezwa ndipo akaanza kunipa scenario nzima na Mwenendo wa huyo Neema pamoja na Daniel hapo ndipo nikajua ukweli na kuthibitisha kuwa hawa Jamaa ni Matapeli tena wakubwa huenda hata kama ulikuwa unataka kufanya nao Kazi ukweli ndio huo..
NB; Shirika lipo na ni Shirika rasmi kabisa lakini Neema na Daniel wamekuwa wakifanya Utapeli kwa kivuli cha hilo Shirika, mpaka sasa tumefanikiwa kumnasa Neema na yupo Central Mwanza habari ndio hiyo kama na wewe uliwahi tapeliwa na huyu Neema pamoja na Daniel nakupa Habari
Angalizo; huku mtandaoni kuna watu Wema na Wabaya pia tuishi kwa uangalifu na kuaminiana Ahsante.
You can follow @LusakoWaKwanza.
Tip: mention @twtextapp on a Twitter thread with the keyword “unroll” to get a link to it.

Latest Threads Unrolled: