So today I got conned 40k 😭😭😭😭😭
So I was selling my iPhone X on OLX, this guy calls me and tells me we meet at Mama Lucy so that he can see it. He has his brother and they're in a hurry. They were headed to town. So nikaenda mama Lucy tukapatana alafu tukaishia Umo kwa Keja yangu aone place nastay....
Tukaishia Umo tukapark gari, "bro" yake ndio alikua anadrive. Si tukashuka na the guy, tukaingia kwa nyumba nikampea phone aangalie. Tukaagree ntamuuzia 40k. Akasema akona doh kwa Equity tuende tutafute Agent awithdraw pesa....
Si tukatoka kwa nyumba tunaenda kwa gari, tunaenda kutafuta Agent wa Equity awithdraw pesa. Place nastay hakuna Agent karibu. So kuenda kwa barabara tukapata Agent, akatusho Wacha aende awithdraw pesa "bro" yake ageuzange gari. This whole time alikua na the phone....
So mi nimetulia kwa gari Nikijua nikona "bro" yake, so Sina worries. After 20-30 mins, nakucall namuuliza Umekaa Sana kwani rada ni Gani. Akaniambia Agent hana float anamtafutia, tungoje kiasi. After 10 mins nampigia tena namwambia achangamke, nikona haraka....
The guy ananiambia amelost na hajui Umo vizuri tuende tumtafute, ati hajui penye ametuacha. Nikamsho ebu uliza msee unaona apo karibu, hio place uko inaitwaje. Akanisho stage kwa chief. Si "bro" take amewasha gari tukaenda. Kufika kumpigia hashiki simu, iko busy.....
Kumbe ule dere ananiambia ati hamjui, yeye ni mtu wa Taxi. Ile gari ni Taxi, kumbe si gari ya bro yake na ule dere wa taxi si bro yake. Ati alim Approach apo Mama Lucy. Apo ndio nikakam kurealize nimeoshwa. Wueh! I've shed tears bro 😭💔
I think uyo chali ametumia some witchcraft or Vodoo on me, because I've analyzed the whole situation again and again na sijaelewa vile uyo Boyz ameniosha. The whole thing imenihit kama siexpect. I didn't see it coming
You can follow @wandech_.
Tip: mention @twtextapp on a Twitter thread with the keyword “unroll” to get a link to it.

Latest Threads Unrolled: