{HIGH SCHOOL FANTASIES SO DIFFERENT FROM CAMPUS LIFE
}
Apparently, most of us in highschool had that fantasy that people in campus frequently get sex like Kenya getting loans
.The reality is that the theory applies to some and not everyone in Campus.Acha nikupashe...
THREAD


Apparently, most of us in highschool had that fantasy that people in campus frequently get sex like Kenya getting loans

THREAD
Mwaka ni 2017,mimi na ninja zangu za Mombasa tunangoja kuingia campo TUK Nairobi kuenda kutesa
,kuna hiyo holiday hukuwa kabla uingie campo yenye sisi wenye tulijikubali humaliza na kuhustle, coolkids kaeni kando



Mimi ndio huyo kuingia hustle ndio nipate simu ya kuchat wenzangu wakienda conputer packages
.I doubt Mtu aliambia wakenya ukimaliza form four lazima uende comp class ndio alitengeneza national anthem yetu
.Pure shit that one




Hustle ikajichora vizuri bahati ikaniangukia pap nikanunua simu yenye nilikuwa nafinya one mara tatu kupata C
.Contact list nayo ilikuwa na dem mmoja wa maana.Her name was Mariam.Before you jump into conclusions kusema huyo ndio alikuwa dem yangu, you are wrong


Mariam alikuwa dem wangu wa maana
.Yule dem wa kunipiga through pass kwa madem wengine.She was the triangle button kwa pad yangu ya FIFA
.We guys don't say it but we have that one girl mwenye tunatreat kama boy mwenzetu na anatuunganisha kwa maghels wake.



I had known Mariam from highschool and this one never failed me
.This time alinisukumia number za dem anaitwa Halima coz she felt it right ju Halima alikuwa anajoin TUK kama mimi


Sep ikafika, fom ikakuwa kupack mizigo kuelekea jiji.I had been chatting with Halima for a while so hakuwa amenitoka akili ju nilikuwa
nishamchocha kule kwa messages akachocheka
.Nikajua boychild ashamaliza kazi, bado chuma kulala ndani kama venye Campo hukuanga
...
nishamchocha kule kwa messages akachocheka




Kufika shule nikaingia kwa gate kusimama kando kusample hizo mali like my fellow coast guys walikuwa wananiambia venye Nairobi imeeza.The truth is that watu wa Coast hupenda the girls from Nai ju ya sheng,achana na hiyo ya Mbogi genje
.


Wueeeh!For some time I thought nimeitwa boyschool

.Nani alisema JKUAT pekee ndio imejaa wanaume
.Kuja TUK ujionee
.Anyway mimi nikaelekea hall ju ya orientation ndio tukipotea shule tusitokee CBD
.You get me if you know mahali TUK iko located









Hiyo hall ya TUK ni ndogo aisee na to make it worse, ni moja pekee
.Watu walikuwa wamejazana, ile umati ya kungoja huduma number kando
.I knew Halima hangekosa hapo ju nayo fresher kukosa orientation,hiyo ni level nyingine ya kuwa gangster
.






Ilikuwa hatujuani sura coz Kabambe doesn't support that
.Vile nilikuwa najiona Shakespeare wa mistari, singeacha hiyo situation itake over.Nikatoa kabambe nikamtext aweke hii sign
kwa hewa kama http://ananiona.Like the obedient girl she was, nikaona vidole mbili kwa hewa



Dammmnn!Her Buibui mahn
.Nilikuwa nimeona nyingi Mombasa but yake ilikuwa special.Msichana alikuwa na ass
, Vera angemwonea wivu
, skin ilikuwa light hadi ungedhani Huddah ni mweusi, macho inapelekana na ya Betty Kyalo,chest inashindana na Lilian Muli




hips kama za Victoria Rubadiri
,Dem perfect
.First impression nayo nilieza like the comedian I try to be
.Tukaongea naye for weeks hadi nikaboeka ju ni mechi nilikuwa nataka
.Shida ilikuwa bado naishi zile hostel za Ngara kule Fig tree zenye "No Girls Allowed" rules







Hata sikuwa najua maana ya Exile.All I knew ni ukiwa na dem campo unampeleka hostel mnakulana bila kuulizwa
.Sai nikiangalia back najicheka tu sababu Halima hakuwahi kanyaga kwangu na mapenzi iliisha pale SMS
.Sai tunaonana shule tunachekana ju ya mafala tulikuwa





To cut the long story short, usiiingie Campo ukiwa na Fantasy za highschool.Hutawahi kugwara

SILVA
PART 2 Coming Soon
Hit the follow button,I follow back


SILVA

PART 2 Coming Soon
Hit the follow button,I follow back
