My first 'sponyo' experience in college
**IT'S A THREAD***
Disclaimer: kukuwa na sponyo Ni decision yako and I wouldn't judge anyone for having one...ukipata njia ya kuomoka haraka then why not??? I mean
I was friends with this shawty in Campo...who apparently came from a rich' fam...angetuspoil, akopeshane Doo na unajua Campo kukopesha mtu ata chwanny Ni ngori😂 Ni ngumuuuu
Alikuwa ametusho babu yake Ni baller mbaiya..anamsupportingi sana..tukiishia places she'd call her grandpa..
' babu tunaenda na mabeste zangu out tuma doo'
Wue this chille was living life I tell you, kuishi two bedroom sisi tukifinyana ka mefi ya asubuhi watu sita kwa bedsitter😂😂 lakini hii life nikujikubali na sisi we had no issue Bora malazi😂
Nilipata text asubuhi nikiwa daro na si tonnie wa Juja alisema ukitaka siku njema tafuta Ken walibora😂fom ingekuwa pale blend...unajua Campo ukiulizwa 'uko?' unaanzaga kuvaa viatu..this day tungeenda kusesereka tukitafutaga potentials😂 kwani Ni Nini ( insert shiti's voice)
Tukafika club mapema mapema tusipate zile seats ukuwa karibu na choo😂 madrinks zikakam thru and after a while simnascatter kwa dance floor..it was mad fun this day
Ati wamesema aPOKO hamwagangi?😂😂 Si ata last long basiđŸ€ŁđŸ€ŁđŸ€ŁđŸ€ŁđŸ€ŁđŸ€Ł
Tukajibamba vinoma, nayo blend ya thika ufai kuenda na simu, watu wa kiandutu ukujia capital ya kuanza bizz ya masimu, so no matter how hot you're dressed utacotton and condition of yourself ( utapambana na Hali yako)
Just when watu wetu wa Jujamaica wanaingia😂 babu ya beste yetu akatuma text ati turudi kwa nyumba vile tuko. We were 5 thick gels. Kidogo kidogo tukambiwa tuache izo drinks tuleft akuna shida
Ata Kama si mimi nilibuy izo drinks iliniuma kuziacha but mbikos game is game we had no choice. Labda babu ya Stacy alikuwa amegonjeka ama it was his birthday anapelekewa dawa za pressure😂. Tukakujiwa very first
Lakini surely, Ringtone aPOKO wengine wakinut ata in 11seconds ye awezi relate?đŸ„șđŸ„șđŸ„șitakuwa Ni ngumu badođŸ€Ł
Tukafika 5 babu's were sitted wakipiga chats. Mbio ikanigonga apa kamenuka🌝bt nikachill ka zile trust nikaacha kiherehere ya shot ya kwanza. Stacy 'girls I want you to meet my grandpa's friends' Why was she sitting on her grandpa's lap though? Ohhh sponyoooo ndio babu yako? Ok👌
Why was her grandpa grabbing her ass? Apa tumecheswoođŸ„ș kumbe tulikuwa tumeallocatiwa Kila mtu mbaba wake. Wababa wababu surely.
Sasa apa ilibidi nifikirie nikibid my time nihepe ii ngori. Nikajifanya kuplay along ju I hadnt carried my phone or monies and the door was locked. Kitu ningefanya apa Ni kuenda kitchen niruke to the next house..with that I had kujifanya nasmoke hata kama sijui which end gets lit
kuruka kadress kangu ka dunda kakararuka na kiatu moja ikaanguka..I didn't give a fuck ju I was ' safe'. Jirani akafungua ..nimeshtuka apo ka kuku imenyeshewa..ataki nitoke.I def jumped from the frying pan to the fire manze.Ningekaa tu kwa stacy ju wale sponyo Ni 11secs wamechoka
Nikaona apa ni nitumie ukora zangu za ukambani nikamsho I love it rough so ni nimfunge nimshugulikie very fast. Akakubali ju kamba charm haichezeagwi😂 nikafunga Jamaa pingu na si za maisha nikampiga blindfold..nikaanza lapdance kiasi..kidogo tu nikatoka
But since ilikuwa magizani na Sina any ikabidi nikae na watchy apo chini nimsaidie kungoja kifo. Morng Ikafika nikaishia bedsitter na kiatu moja na my scanty torn dress looking like the hoe I was not. ..ilikuwa walk of shame ju you know zile macho watu ukupea kwa barabara👀shit
Later on I find out I was being pimped out na Stacy alikuwa amelipwa. Yaani mimi? Mimi Dee...ndio maana walisema urafiki za madem are the fakest. Unauzaje mtu. Nilicut the friendship asap. Heri nisumbuane na boyfriend wangu wa ugali mayai kuliko mbaba wa eighty fae
Thanks fahm for the support. Let's retweet tureach a bigger audience tufurahishe watu. I have so much fun writing these stories😄😄
I love y'all
You can follow @Dee_kiluu.
Tip: mention @twtextapp on a Twitter thread with the keyword “unroll” to get a link to it.

Latest Threads Unrolled: