Leo nikipiga Raondi nimeenda kwa huyu Lord Egerton na huyu mtu alikua ngombe acha nimake ka uzi...
Uyu mseeh hana history inamake sense apart from kutry kufurahisha mwanamke. Ati alikua army wa royal family za huko britain enzi za first world war. Sasa yeye alikua anataka msichana flani wa Austria na huyo mdem hakua anamtaka. Sasa ilibidi amjengee nyumba alafu akamuita akuje..
Aone. Huyo msichana vile alikuja akamwambia 'hio nyumba ni ndogo na hio ni nyumba ya kuku' na akarudi huko austria . Hiyo ngombe ya mtu inaitwa lord egerton haina akili ikajenga nyumba ingine apo kando alafu akamuita huyo msichana akuje aone. (see pics hse 1&2)
Huyo msichana akakuja akaona hio nyumba akmwambia Lord Egerton Ngombe, that...hio nyumba ni kubwa kidogo kuliko ya kwanza(ya kuku) lakini hio ni ya umbwa.😭 msichana akarudi austria na akaolewa na mjamaa mwingine. (aerial side view for 2nd hse bigger than the 1st)
Ngombe Egerton akaendelea na maisha yake ya kukula nyasi na kukua Ngombe ya maziwa, akajenga nyumba kubwa (The Lord Egerton Castle) 👇
Taka taka ya mtu ghasia ngombe egerton, akaona haezi pata msichana mwingine ambaye hajazaa au kuolewa na mwanaume mwingine akafuata uyo msichana wa Austria(bibi ya wenyewe) na akajaribu kumtongoza tena na hii castle bigi .
Msichana wa Austria(mumama) akakuja kuona ngombe yake (lord egerton) imefikisha matiti wapi. Akakuja akaonyeshwa hii castle lakini uyo msichana wa Austria akamsho hio nyumba ni kubwa kidogo kuliko ile ya kwanza ya kuku na ya pili ya umbwa lakini ni size ya nyumba ya farasi 💀
Msichana wa Austria akarudi kwa bwana yake.nimejam juu ukienda huko badala upatiwe historia yake " Lord Egerton." unapatiwa historia ya huyo msichana juu kila kitu uyo ngombe alifanya alikua anafanyia uyo msichana wa austria. Ngombe Egerton akakufa bila kuendelesha uzao .
Babu yangu alibebeshwa mawe kutoka coast . Babu yangu alibebeshwa simiti from coast to nakuru miguu. Babu yangu alichapwa hizo viboko abebe marble tiles ndio hii ghasia ya mtu ifurahishe malaya mzungu na bado hakumdinya. Msikue kama Ngombe Egerton. King of Simps. 😬😠😡
Kama unasomea/ulisomea Egerton University niUnfollow. 😬
Mkifika Timboroa na mnaskia kukunia au kukojoa mnaeza pitia Timboroa apo Kwa stage kuna choo safi za kuchuchumaa. Attendant anaitwa Maxwell na ni jamaa mpoa sana. Choo ni 10 bob tu. Support that guy fr 💯
You can follow @apir_d.
Tip: mention @twtextapp on a Twitter thread with the keyword “unroll” to get a link to it.

Latest Threads Unrolled: