Ata kama ni president amekuita Dunda morio usikawai kosa ata kumi kwa mfuko 😂😂 💔... I repeat usikawai enda dunda ni kama daro unaenda hear this đŸ‘‡đŸ‘‡đŸ”„đŸ”„đŸ”„
As you can remember kwa previous episode tulianza kupendana na ule mtoi wa speaker wa county richkid mwenyewe. Kuna sato nmetulia tu kejani bila form nilikuwa tu na mbao ya sossi na 70mbs of data 😂. Lazima pia ukue online kunaeza kuwa na heist ya mpesa na huna ata data
Then text ya Sally ikapop up hapo juu akasema anapitia mabaadae kunipeleka club Timber Eldie😋. Wale wa club Signature mtulie ivo na io soo mnaendaga mnajaza table nikama ni maji huwa mnaorder 😂.
Hapa i needed food utakulaje Sossi hafu uende ulewe utatapika nyongo sele 😂😂. Na juu mbele na nyuma ni mbaula ikabidi nihustle kachwani kwa morio. Najua unadhani ni ya kununua nyama🙄 niliendea sossi ingine ya 30bob na ova 😂.
Nyumba yenyewe ilikuwa inakaa kwa mama soko. Na juu sikuwa na kitu naeza pea Sally ikabidi nipike haraka nioshe vyombo na nibrush meno kuhide the evidence 😂😂. Akikuja namshow tu nilikuwa maziara tu zangu sijakuwa kwa nyumba leo
Nkadishi mpaka nkakua tu fitty. Sally akanitext tena kitu 7 akasema ndo anakuja then tuishie 9 😂😂 sa ii 2hours yote tutapigiana stori ama. Akanipata naskiza tu ile genge wao hupiga nduru tu . hapa nikachora tukiendelea kuangaliana tu hapa by 7:30 tutaanza kuwatch news.
Morio nkaamua kuchapa mali juu unaeza lewa akupee ukose kuwezana 😂. With richkids lazima ukue mromance si kama i genge ingine we huleta na dakika mbili uko kupindua cargo ni kama mtush imearrive kutoka denmark
😂Morio nilikuwa nmesota ikabidi nizime bulb kwanza si juu kuna ngotha yangu imeraruka zii 😂 nilikuwa na kondiko zile za gava 🙄 zenye hukua na mafuta ya mboga badala lubricant. Dakika tu kiasi tumeshachoka na kulala hapo kama punda.
Alikuwa fitty huko chini ndo maana 😂i didn't last when i can. Ikabidi kufreshen up na juu ya romance na time ikabidi tupige shower pamoja. Bafu yangu ilikuwa na kagunia 😂si huyu ntamsugua atoke ngozi luckily bafu yangu nilikuwa nmeeka ile.bulb ya blue so ile
boxer ya men ndo.tulitumia 😂😂 Ilikuwa late na hakuna mats za kufika tao akasema atacall driver wao atupick atupeleke. Mimi nilikuwa busy kwa whatsapp napost picha za mzinga kalikali nilikuwa nmedownload ndo nyinyi wote mtii pale wosaap😂.
We were camed for "tulikujiwa" na tukafika Club Timber akanipeleka favourite base yake. Guess what 😂 ule ex wangu alikuwa opposite table akikunywa plisner na spirite akingoja sponyo akuje 😂surely plisner... Wacha meza yetu haijaandaliwa na
mawhiskey na mapojopojo 😂. Sisomagi Bible often but si kuna verse husema Bwana ataandaa meza mbele ya watesi wako? 😂Mtesi wangu alikuwa opposite table anakunywa mkojo ya pundađŸ˜©đŸ˜‚. Sema dunda kushika kufagia tu kama sele kwanza ukijua bill
iko under county management. Hafu sossi na ovacado ziko na chemical 😂ya antimblaking juu ata Sally ndo alimbleki wa kwanza. Sa juu ya pombe Sally akashangaa huyu dem tumeshinda tumeangaliana hapa na anakunywa makali ni nani😂😂.
Zikamwonyesha azushe. Security wakifika mbio mimi nilikuwa hapo nashikilia pombe isiende 🙄 unadhani nilienda war 😂😂sorre my fren
Masoja walikuwa wanajua Sally ni mtoto wa county sasa ule bosibori😂😂ndo alitolewa nje mbiombio. Pia sally alitolewa pale nje na heshima acool down arudi lakini bosibor😂 aliambiwa aende Club signature Fellow farmers are waiting for her there
Mimi nikiwa nmesecure pombe za maelfu ungedhani 😂nimenunua nkashangaa mbona Sally amedelay kumbe driver wao alishampeleka home. đŸ€đŸœđŸ˜Ž wow hii yote ni yangu 😂 nilikuwa naichapa na pace ya wazungu ndo machicks wanitambue Yengs
wawili wakakuja hapo nkapewa tako kama the richkid i was 😂.. Manugu zilikuwa njaa zilifagia table kama sele zikaanza kunishikashika ati niorder zingine 😂umbwa nyinyi naeza kuwa nmelewa lakini siezi sahau mimi ni msoto 🙄. Nkaawambia naenda nikuje simu
yangu nilikuwa nmeisunda ndani ya boxer ndo ata nikizima sitaporwa. Kufika nje ndo Masponyo wanapeleka madem zenyu kwao 😂😂 na wewe uko busy kejani kucheza fifa.
Ile kitu nilikuwa nayo ni simu na mwili yangu so kwenda shule unless ni kwa ndoto hapa ilibidi nutulie huko na mastory za let me tell you 😂😂.. after kuona mbilimbili oops nkazima zim zim nkajiskia 9am mahorny za gari 😂😂😡huko nje
Juu ya io baridi yote 😂 pombe ikikuwa imeisha kwa mwili already 😂 nkarudi to my default me 😂nkaomba mamorio wangu chwani nirudi niwachapie stori manugu zote zilicheza fifa saii zinalala 😂ikabidi nifulize for the first time na line ya tatu ya safđŸ€€đŸ˜‚.......
You can follow @nakurugoat.
Tip: mention @twtextapp on a Twitter thread with the keyword “unroll” to get a link to it.

Latest Threads Unrolled: