This is my first thread. Kindly retweet ikikubamba.
Mimi kitu nilionyeshwa hii Nairobi sitawahi sahau. Nilikua 1st year hapo. Nikidate boyz fulani hapo lightskin wa MMU. Sitadisclose jina....si tumuite tu X
Kijana ananza kuniambia vile kwao kuna sijui nini anga ndio maana kuna Big age difference between yeye na the siblings. Mara this mara that. Sijui ooh nini nini...hadi nashtuka niseme nini. Nikalet hiyo issue islide
So day fulani nikaibiwa simu huko shule. Si nikamwambia sina simu kwanza meanwhile akue ananitext through best yangu. Wacha sasa nianze kuteteshwa kama mtoto na si ati ni yeye alibuy ama atabuy ingine...kuteta tu 😂aki this gender
Aaah me nilikua nishachoka lakini hakuna kitu mbaya kama kupenda mtu aki. Unakuanga tu mjinga. So sasa day fulani beste yangu hakurudi hostel so ikabidi hiyo day nikauke kuongea na yeye. Kumbe yeye alitake advantage ya kuanza kuuliza beste yangu kama I've been faithful,
Kama ni ukweli nilipoteza simu, ama ni number nimechange na sisemi? Yaani I was shocked. Mninja sijui hizi insecurities zote zilitoka wapi. So nikaona waaah wacha tu nishike katululu kangu kwanza kuavoid kelele mob.
But haikukaa sana before mzae aninunulie simu ingine.
Kumbe kununuliwa simu ni shida pia. Aaai wacha kijana aanze kusema vile sasa nimepata simu neatest watu wengine simpei attention. Aaaai yaani mtu very petty. Ah me nikamzoea nikaanza kumignore saa ingine sasa.
Mara now I'm the one who's supposed to be calling him kila saa. Niende kwake. Kwanza kuna this day nilienda huko home kwao. Kijana ni richkid ka shiet. Alafu anashinda kuiput vile si kwao ni kwa cousin yake. Na shida ni picha zake na watu wao ziko all over the wall wamemount💔
Okay sasa nikabuy hiyo excuse. Hapo for once alikua mromantic. Alinipikia vizuri. Akanitreat poa. Tena sana. Qacha time ya kurudi home aniambie nimwachie rwas(200) aka buy sijui nini alipoteza pesa hataki kusumbuana na mzae. (Alisahau huko si kwao)
So kuna hii weekend moja nilienda sleepover. Wakapika na boyz wake poa. Akampiga exile si mnajua tu. Tukakula tukaenda ps tukarudi tukajibamba tu. Wacha tulale sasa kuamkia asubuhi ata 6am haijafika. Ndio huyo boychild roomie wake kwa mlango.
Kijana ata hawezi knock vipoa. Karibu anag'oa mlango. Waah sa me nikaanza kushindwa rada? X akaenda akafungua mlango nikaona amerushanishwa. Weee juu sasa ni kunoma. Na niko bed ndithi 😂😂. Hapo ndio nilijua siogopangi anyone. Design niliruka bed kuvaa nguo zangu wacha tu.
You can follow @amReenMugo.
Tip: mention @twtextapp on a Twitter thread with the keyword “unroll” to get a link to it.

Latest Threads Unrolled: