Ladies acha niwapee tips za kukula( kuchipo) the man's you want hii Nairobi
**THREAD**

**THREAD**
Nikiwa fresh from campus, nilipata internship company flani Mombasa road. Pay ilikuwa fiti ningejieka Nairobeee bila kutegemea mzazi na nijifanyie Mambo mingi ata kubuy dildo

Life was good, being an independent woman that should give you clues that am a feminist. Confidence nilikuwa nayo design ya pastor nga'nga. I was untouchable na kiburi ka mjaluo
akiingia bar akose Hennessy vile utuma waitress aendee kwa Benz yake akuje amuuzie


Sasa uku job Kuna uyu Jamaa nilikuwa nimemkufa mbaiya...aii uyu ningetumia ata fare yangu kuenda kumgawa Mali. Aii ata time ya kuringa ningetoa wapi...mayooo!! Jamaa alikuwa na sura muivo. Aki Mimi I had money ningechunga mtoto wa watu asiwahi tamani Dem mwingine..
I understood why men act the way they do wakiwa na madoo. Mimi nikisema mtoto wa mtu lazima niingize box kiPrudence. I was willing to do everything it took nipate uyu Jamaa.....aiii siezi ngoja kukatiwa
I get what I want..then I add some more

He was from a well of family lakini mi Ni nani. I used to get him snacks nampleka adi lunch mbikos walisema the way to a man's heart is thru his stomach ama? We became snack buddies tukaanza kuhung out
tukaekwa kwa project moja, shaaaakaaa...I couldn't be more happier

Ilikuwa field work so tungekuwa out for a couple weeks...nikasemaa apa ndio chance yangu fiti kuteka uyu mans. Haha unaeza dhani umechipo Dem kumbe ye ndio amekuchipo
nilikuwa na keja yangu so haingekuwa ngumu kumfikisha Apo ki one time kwani iko nene

Mimi nilikuwa narusha hints lakini Jango ilikuwa inajifanya haishikanishi. Nikasemaa lazima nitafute mbinu uku au nyama itanipita na ingekuwa mbaiya. Nani alisema mdaka aezi kuwa mdakiwa? Amee!!
Since we had drinks fridays ...I decided to shoot my shot and get into this guy's boxers. I love being dominant btw
. Si ati Jamaa aikuwa imenikufa I used to see akisteal glances time simcheki. Nilijiambia kakinuka I'll blame it on the alcohol..muhimu Ni ajue namtaka tena sana

That day couldn't go any slower mahn. I was really looking forward to drinks so I can finally shoot my shot. Evening came and we pregamed at the office before heading out. I made sure I dressed to kill and that I'd be close to him all through..mi ubeba tools pia
just incase

Alikuwa mtu Mambo mingi akilewa so nikasemaa lazima ataropokwa kitu na fo sure he did. Aliniambia aogopi kukatiwa nikajua apa fom imeivana ka vile mercy mwangangi alikuwa corona ikianza
. Nilikuwa semi finals....kidogo tu!!!!!!!

I shot my shot!!!
Ati octo aliita khali panya nono?



shiiit
Ati octo aliita khali panya nono?





Alikubali asap. Wen we say men are cheap..this is what we http://mean.it didn't take me long. ata hangeringa kidogo?naskiaga males hawapendi mayeng wanawakatia.Scam!!Nia yngu ilikuwa nimpeleke kwangu nimpe usiku atawai sahau..nimkule vile mkisii ukula ribanana na sembe
We spent the night dancing nikimsugua preparing him for what was to come. Nilitaka nimpeleke polepole ju hii food ilikuwa yangu manze. Mans alikuwa amebakisha kidogo aweke watoto kwa dance floor
weak creatures



Time ya kuleft nikaitisha uber to my place. Kwa gari ilikuwa tu kumek out coz we couldn't keep our hands off each other. Yaani hii Mali ilikuwa yangu? Dayaaamn. Tukafika nikakanja uberguy Doo zake nikaongoza ninja kichinjio
I couldn't open my house fast enough. Aki ilikuwa Kama zile movie za Hollywood..tukaanza kutoa nguo Apo kwa mlango ndio tuingie tukianzaga. Jamaa aliniiunua juu ( nakuaga 473mb siwezi inuliwa kwa maombi ka fat gels) akinielekeza bedroom
Ghafla bin what....
Ghafla bin what....
Lights za bedroom zikawashwa. There was my mum
. Alikuwa amekam kunitembelea bila warning ( jiekeagi spare keys nanii) we were half naked and drunk mbele ya chairlady wa mother's union. Macho tulikuwa tumeekewa wue

'Dee, hizi ndio vitu unafanyaga Nairobi? Mungu wangu!!'




'Dee, hizi ndio vitu unafanyaga Nairobi? Mungu wangu!!'
Jamaa aliniseti chini polepole akatoka akiokota vitu kwa Giza. Hata alibeba kamithi, thuruari na skirt yangu in the process
nilibaki nikikemewa na mathe akiniombea kuondoa mapepo




Nikikumbuka nilikuwa namshoigi naekea virginity yangu future husband swezi guzwa....naishiwa na nguvu za kike


Thanks fahm for the support. It is just the beginning. I'll be pinning a thread of all the threads I have done so far. Continue giving me rts, sharing with your friends and following @Dee_kiluu for more sauce..my heart is so full
I love you all
I love you all
