Aina za campus students.
THREAD.
Machopi
Hawa ndio wanajua kitu kilichowapeleka campus.Wao huitwa curve breakers.Majina zao huwa kwa Dean's list,wakiwa na that extremely GPAs na A's zenye wamescore kwa end of semester exams.
Huwa wako kwa categories mbili: Genius na
Super-duper hard working type (Ultra legends machopi). Mostly time ya CAT ,mastude wengine hupenda kukaa nao ndio wacopy na kupaste majibu zao.
Party Students
Hawa ikikuja kwa party time,wako extremely energetic.Every Day is Friday to them as long as there are parties .Morning classes on the next day huwa wanalenga juu mostly wamesuffer hungover from last night.Wao ndio hutext waseh "nisignie io daro".
Pets za Malecturers.
Hawa students huwa lecturters' favourites. Huwa wanakaa kwa front row na hawezi miss any chance to respond to lecturer's question.They tend to appear together with the lecturer before class or stay for minutes after class,wakipea lecturer
feedback regarding the lecture for that particular day or wagossip about other stuff.
Latecomers
Hawa students hufika kwa lecture hall 20 minutes later kama lecture inaendelea huku wengine wakihold a starbucks cups on their hands. Time ya CAT tena wao ndio hurauka daro kubook space yenye watakaa na machopi.
Class Clowns
Hawa students kila kitu huwa joke kwao. Wanapenda kuinterrupt classroom on a regular basis. Kwanza kwa study group wao husumbua wakidai hizo stuff waseh wanadiscuss hawajawai funzwa na lecturer..Uzuri wao,wanaweza kukumake ucheke during stressful time.
They never take themselves or life too seriously.
FIFA students
Hawa mostly huwa maboiz wa 1st year,2nd year and 3rd year.Forms zao huwa ni kucheza fifa 24/7.Heri wasikule lunch na breko lakini wacheze fifa kwa chuom za fifa.Hawa huonekana kwa lecture hall time ya CAT. Mostly ,notes zao huwa ni pics wamepiga vitabu za waseh.
Retakers
Hawa hawananga maneno,but wanachukia lecturers wenye wanadunga waseh retakes.Hawa ndio hupea waseh trailer ya units kama ni ngumu ama ni rahisi.Time ya CAT wao hupenda kukaa kando ya machopi ndio wapite juu wanaogopa kuredo unit tena. Attendant sheet wao husigniwa tu.
Slayqueens
Hawa students huwa ni madem wenye wanapenda anasa sana . Wanapenda expensive stuff. Wanajivaa vipoa .Mostly wao hustay kwa hostels za nje. Wakikam chuo wanaletwa wakiwa wamebebwa kwa nduthi. Weekends wao hupenda kuenda kwa" aunts zao" lakini wapi kwa masponyođŸ˜©.
Moreover,Slayqueen students hupenda kuenda photoshoot kwa student Aboretum zone.
Drip Students
Unaskianga drip is forever😂.Huwa hupiga luku bana. Heri walale njaa lakini wamake sure wamepiga luku safi.Hawa kwa social media kama IG wao hujiita KU Finesse,UoN Coolkid,JKUAT coolest,MKU Finest,MMUST kingpin,kosokoso kama hizo.
Pirates of the Caribean Sea Students
Hawa hawananga hostels😂.Kazi yao ni kudandia hostels za mabeshte zao ndio walale kama venye mapirates hudandia meli😂.Unaeza pata ninja alisho mzazi wake amerent nyumba nje ya chuo so anakula rent akipirate.KU Students can relate.
Moreover,Wengine hulala kwa lecture hall wakikosa hostel.
Politicians
Hawa students hupenda siasa sana. Hawa wakicampaign hudai venye wako connected na some prominent politicians in Kenya.Wanaeza hata lectures wacampaign.Most of the time utapata wengine wamevaa hired suits .Wengine huendesha hired carsđŸ˜‚đŸ˜©.Wengi wao huwa ni wajaka....
Exile Students
Hii squad ndio huenjoy siecs pale campus.Ukipewa room na continuing student na wewe ni fresher si utapigwa exile kila day.Mimi Nikiwa fresher nilipigwa exile usiku ilibidi nilale kwa common room bana đŸ˜©.Janitor ndio aliniamsha saa moja akidai kumop apo.
Non-resident students
Wanaitwa non-resident juu hawaishi kwa hostels za Uni.Hawa huishi kwa hostels ziko kando ya chuo. Wao hawawezi iishi kwa hostels za chuo juu wao hudai 10-10 curfew huwabore.Wengi wao hupenda anasađŸ˜©.
Washamba students
Hawa huwa mafresha wenye walichop kwa highschools zile ziko upcountry.Hawa huwa na tabia za waseh wa village.Utapata student mluhya akibeba gunia ya mahindi kwa mgongo akienda kwa kisiagi. Badala ya kuweka mahindi kwa laptop bag na kuenda kusiaga bana .
Utapata student mkisii akikausha sukuma juu ya coil kwa hostel. Mastudents wajaka wenye ni washamba utawapata wakibonga mothertongue kila mahali wakijiita "boyna","baa","jahom".
Wao huchanuka second semester of the academic year.
Photoshoot students.
Hawa students after classes za jioni ama weekends wao hupenda kuenda photoshoot. Ukipata ni maboiz ndio wameenda photoshoot, wao huwa na unit kali sana,wanaweza share ata boxers wakiwa kwa session ya photoshoot😂.
HUSTLING STUDENTS
Hawa ni hardworking students nje ya class. Hawa huwa na biarasha kwa centre iko kando ya chuo.Wengine huwa na macyber,wengine wanarun movie shop,wengine wako na boutique,wengine wako na base za Fifa.
Wengine huwa macaretakers kwa hizo hostels za nje.Wengine huuza viatu. Wengine huwa wamejoin Aim Global.
Mostly ,madem wengine hufulia students wenzao nguo weekends.
Nikiwa third year ,classmate wangu boiz alikuwa anafanya kazi ya Uwatchman bana usiku .Alikuwa analinda lecture hall fulani na analipwa 12k monthly👌.Hustling students huwa wafiti sana . Wanachase the bag wakichop.
Appreciate hustling students 🙏.
You can follow @CrazyElvo.
Tip: mention @twtextapp on a Twitter thread with the keyword “unroll” to get a link to it.

Latest Threads Unrolled: