Nilijuana na huyu dame akiwa kwa duka ya kuuza electronics pale skymall luthuli avenue ama nyuma ya Accra Plaza mjini.Saa mimi nlikuwa nadai HDMI cable ya kutumia home theater yangu kejani,tulipiga gumzo mpaka nikapata digits zake alafu pia mimi nikampa zangu na nkamake sure
Amezisave kwa tenje yake ndio badae after work tupatane ndio tujuane ju niliona ni mali safi na nikaona ako poa wakuni keep busy huku nikingoja destiny inipatanishe na future wife😂after wiki moja na siku nne nilikuwa nisha pata dame na kumhakikishia kwamba nataka tuwe faithful
To each other ili tusije kuumizana hisia.😍😍alikubali story zangu na tukawa kila weekend sleepover ni kwangu ,iliendelea ivo kwa mda kama miezi sita ivi lakini nikaona ameanza tabia yakumark territory😂😂😂 alianza kuacha tunguo fulani kwangu nikajua hapa kuna noma😎😎😎
Siku ya kwanza aliacha bra akaenda bila kumuuliza sababu akadai anaskia poa kukaa bila wakati tuko naye plus after kunyanduliwa haskiagi kuivaa tena mpaka amalize kitu ka three hours sa ikabidi aiache😋😋hio weekend ingine akaacha panties tatu kama amezifua na akazianika hapo
Nje kwa ploti😄😄kisha wakati wakuenda ulipofika akadai hazijakauka ikabidi avae moja ya boxer yangu ju sikuona ikiwa poa yeye kuenda kwao akiwa kinui😂😂😂aliendelea na hiyo tabia ikawa sasa ameacha bag mzima ya nguo kwangu😂😂nikajua huyu hanijui😎😎nilinunua bag mpya na
Nikapack zile nguo zake zoote kisha nikampelekea mahali alikuwa anafanya job kisha nikamshw nimezichukua kwa dobi nilikuwa nimepeleka zifuliwe😎ndio nirudi zangu jioni nikienda home,alizichukua na akaziweka huko akidhani nitazichukua badae😄😄😄Nilimpigia later nikamshw nimeitwa
home kuna ka emergency na sijui nitarudi lini akacheka kisha akaniambia "Safe journey Babe" nikajua itabidi niende ushago kwa mwezi mmoja na nizime simu ndio niondokee hii kunguni😂😂😂mazee kumbe pwagu hupata pwaguzi😂😄😄nakuambia dame alienda kwangu weekend kama kawaida
Akapata nilibadilisha padlock akajua kumbe huyu kijana anataka kuniacha😎😎😎alienda akaita landlord akamwambia yeye ni bibi yangu na amepoteza funguo za nyumba na akinipigia nilete hizo zingine akanipata niko mteja,😄😄😂😎akapewa nyundo na landlord na wakavunja mlango
Kisha wakatoa hio padlock na akanunua ingine na kesho yake akahamisha vitu zake zoote akaleta kwangu😞😭😭😭mimi wakati nilirudi kufika kwa Gate....
PART TWO COMING SOON
You can follow @CaPtAiNShAko.
Tip: mention @twtextapp on a Twitter thread with the keyword “unroll” to get a link to it.

Latest Threads Unrolled: