Dating two crazy roommates threadđŸ„”đŸ”„đŸ”„đŸ”„ .....
Kuna time friday nikitokea daro nilipatana na diva fulani karembo kalikuwa kameweza sana. Mimi naye nikajituma mbio na akaniwai no. By now tulikuwa two weeks old kwa second year and most of us ndo tulikuwa tumeanza maisha ya bedsitter
Tulianzaga kuchat na dem pia nilkuwa nmemkunywa kiplani but unajua tu dem wa campus mrembo huwa mnashare kama bill ya maji kwa ploti😂. Dame alikuwa anaitwa Claudia na alikuwa na roomie wake anaitwa njoki
Claudia alikuwa msee wa drama so mostly ata ako busy na stuff za drama ama unapata hayuko shule for three days. Kuna sato nimeboeka tu kejani nikingojea game ya Liverpool na Man u masaa yake. Hii siku nilikuwa na mbao mpesa na sikuwa nmekula lunch
nkaona badala ya kuendea omena nikule na sembe na pia omena inadai nyanya most na singechukua nyanya on loan 😂😂ikabidi niekelee man u kichwa na team zingine mbili ndo jioni nione kama naeza kula nyama đŸ„Ž. Sa after kuekelea bet hapo nkasema
nijiekelee kwa bed ndo atleast niombee kwa ndoto bet iingiane. Niliamshwa na call ya Claudia alinishow ndo anatoka drama practice so anataka akam apitie. Na juu leo nilikuwa nmeosha my gazebo nkamshow anaeza kam but kwanza nilimarinate room na perfume 😂
very fast. Akanipata nmetulia tu hapo juu sikua na kiherehere. juu last meal nilikula ilikuwa jana yake 😂. Hopefully ata tumbo haikuwa inaguruma kama simba. Na juu ya njaa ata sikuwa idhaa ya mechi but yeye alikuwa so bazenga wenyu hapa lazima acheze akiwa na tumbo injury.
Kama kawa ukionaga dame ameenda keja ya bazenga na uskie minutes later the dewise is successfully connected đŸ€€ huko hufai kuknock iko kwa constitution article 5 of eatment under caps 121 of conjugal 😂😂.
Luckily hio day before nilikuwa nmekula mayai ya kienyeji so leo kuperform ni kama sauti sol kwa show. Mechi yenyewe ikaisha 2-0 the home team won the match narrowly 😂😂
Si mnaeza nielewa nilikuwa njaa kama ya waisraeli wakiwa misri. Sa juu ya mautamu nilimpea akazima kama one hour akaamka ndo akacall roomie wake akam ivo waishie kwao. Leo ndo nilipatana na huyu roomie wake ameiva but si kumshinda claudia but atleast ni kitu inakulika
Akaingia hapo kwa room then claudia akaingia bafu kufreshen up ndo waishie nkamtupia jicho juu the brayo in me wa raging for another one but not today leo game ya man u na Liverpool ndo inaring kwa kichwa. Sa nkawapea push tu kiasi juu kick off time ilikaribia
Nkarudigi kwa hall kuona nikimeza mhindi thao yake 😂😂. Game zote zilikuwa zimeingiana so bakia io tu. Kama kawa man u iliongoza tu dakika kiasi then lalana akasema nilale njaa. Mhindi alichoma nyama io siku na mbaula yangu but irris whar irris
Nkarudi kwa nyumba nkasema leo ni ugali na strungi kama the new norm 😂😂 si ata ntamea majani kwa tumbo aise. Later nikapata text new number ilikuwa njoki roomie wa claudia 😋😋 tukaanzaga stori but lazima ningecheza kibazenga nisipate ni claudia ananipima
Na juu nilikuwa nmejua programm ya claudia nkamshow time anaeza kam kunisalimia kwa my gazebo 😂. wow kumbe ilikuwa serious amenicrushia so juu pia sikuagi fisi io kiwango nilimpea tu kiss then tukarudigi kuchat. So
next week ndo claudia walikuwa wanaishia Jiji for drama festival so ilikuwa ni mimi na njoki for the next five days 😋. So day one after wameishia nilienda kwao nkapata nimepikiwa hapo bidhaa za aina aina 😂hafu alikuwa amevaa ile
kitishoo kubwa bila underneath which brings me to this question have you ever eaten ukiwa horny if yes press 1 tuendelee 😂
Juu ilikuwa school day so singe sleepover though alikuwa ananiforce sana but ilibidi tu akubali tu izo mechi tumecheza mbili but nikamshow kesho yake apitie kwangu akimaliza classes. Same case 😂too lakini mimi sikumpikia kitu ilikuwa inapikika kwangu ni mende zilikuwa huko 😂
So day two nayo sasa juu nilikuwa nmechafua mandunya nne kwa mathe 😂😂. Nilichapa mechi tatu karibu nidisable lysosomes zake ashindwe kutembea. Na juu budget yangu haikuwa imesomwa na mzazi ikabidi tu aishie juu asubuhi kama anataka kula salamu na morning glory she
is welcomed 😂 sikuwa na any ata majina chaiđŸ˜©. 😂😂Day 3 here we come na juu ilikuwa thursday leo hakuna reason ya kukataa sleepover your girl njoki alikuwa amebambika kama sele. Nkaishia kwao nkapata amenipikia proper juu hii ndo jet fuel ya sekete.
Leo alikuwa mpaka na asali nirambe mpaka katambe 😂. Sa alipikaga food mingi so tulibakisha ingine ndo tuiamkie asubuhi so wakati nko Santiago mwendo wa saa nne tukaskia knock na juu claudia hupenda kuongea sana akashout ni yeye 💔💔
yaani ata hangeacha nimwage ndo akuje . hapo tukatetemeka wote ikabidi nivalie boxer na niende chini ya bed
Manguo zangu pia zikatupwa hapo na yeye njoki akapiga perfume nyumba juu ilikuwa inanuka tyre imechomeka 😂. Sa Claudia akatuchapia stori hapo venye walitolewa kwa compe hafu wakaambiwa warudi mapema soo alikuwa amecatch juu ata sikuwa napick calls zake.
Wah sa bedsitter si mnajua hukua ya tiles na mnajua tiles hukua kama fridge io masaa ya usiku đŸ˜©đŸ˜©nilikuwa natetemeka mpaka meno inatoa sauti juu nilikuwa boxer solo kumbe zile manguo aliangusha chini ya bed zilikuwa zake and to make the matter worse io tishoo alikuwa nayo
ilikwama hapo kwa bed so bra ndo ilianguka 👀👀. Hafu walikuwa na kibag fulani huandikwa USA wameweka manguo kinakaa polythene but si polythene so any mistake nafanya nikiguze kinatoa sauti
Wah juu ya baridi ya tile ikabidi nieke bra kwa mgongo 😂😂😂😂😂 nilikuwa nakaa ngamia manze. Sa nililala hapo na boxer though nilikuwa na condiko bado 😂na bra kwa mgongo ilifika 6 nkapewa manguo na njeri nkavali na nikaenda mbio kwangu
Niliishia kwa chemist kwanza nikichukuaga Ibuprofen ya homa 😂😂 hio mchezo sitawai rudia tena 💔💔.......
You can follow @nakurugoat.
Tip: mention @twtextapp on a Twitter thread with the keyword “unroll” to get a link to it.

Latest Threads Unrolled: