Episode 9
my first day Kuishia house party
thread....
my first day Kuishia house party


Sa after last week kufanya maombi siku ya mechi na wale wasee wa kanisa ya awour 
it was a new great week ahead nilikuwa nasearch another venue ndo nisiangushe elsa tena juu alikuea amenipea chance moja tena


So hatukuwa tunachat sana but tulikuwa most of the times na yeye. But juu na yeye Ivy pia alikuwa crushie na alikuwa anapenda kuchat sana so tulikuwa tumeanza kuchat na yeye. So ilikuwa hii Thursday nilikuwa nmechill kwa gazebo ya VC
ama tuite tu hostel

Nilikuwa na hii mbogi ya masecond year tulikuwa tumesoma high school moja so wakanishow ati wako na bash ya wasee wanane maboy wanne na kila mtu na dem yake
na usisahau mimi nowadays nilikuwa mtu wa watu nilikuwa na ivy na elsa at my palm

Sa wakanishow bash ni friday na tunatoa 500 then kesho from 9 tufike kwa room yao. Walikuwa wanaishi one bedroom so it was kinda perfect for house party. By now mimi ni fresher na watu wa kwetu waliuza sungura kunichangia pesa za pocket money
so kumwaga noti


Sa kazi ilikuwa kufigure out ntapeleka Elsa ama Ivy but nikipeleka Elsa na venye anakaa msee wa bash hafu nizime mbele yake juu mimi nilikuwa Chairman wa kanisa highschool 
. So my best shot ilikuwa nipeleke Ivy juu atleast i had nothing to lose sana


So juu Ivy alikuwa amerogwa na mimi
ningemwambia anything anakubali tu so nikamchorea form ya hio house party yeye akanishow ako ndani. Sa friday ikafika na juu hio siku unapataga uko na class moja ama mbili so mostly uko free ...

Nkajipata nko kwa my friend google siri 
huyo ndo anakuwa advisor wangu. I found myself googling 
ati meals to eat before drinking na ati how not to bleki early ofcourse ata siri hakuelewa hio jina




Yeah i was very nervous juu ilikuwa my first day kulewa na pia usisahau napeleka Ivy huko mbele ya maguzzlers wa keg 
. Sa kufika 9 tulifika venue kila msee alikuwa ameshafika na manzi yake na usisahau wote ni masecond year na Mimi na Ivy ndo manewbie


Sa pombe zilikuwa zimesettiwa apo na pia kulikuwa na food imepikwa so google iliniambia nikae na ndimu kwa mfuko 
for not to bleki early na nikule nishibe sana. Sa wakasema tucheze game ile ya truth or dare


So tukajiseti round kwa floor apo na tukaanza na shots . Sa kuna dame mmoja wa second year akanidare nipige shot moja
aah nikapiga kitu inataste sodom apple
nilihisi kutema but ikabidi nicheze kimimi


Sa shots zikaenda all round then ikafika Ivy juu nilikuwa nmemchizisha alitaka anything intimate from me akanidare nimkiss hio nikaona ata ni heri kuliko hizi mavitu mnaziita pombe 
.


Waah dare sasa ikafika mahali sasa ikabidi ni dare ziko na adabu morio wangu hapo akapewa dare ya kupiga shot nne na aende ka ile room 30mins asipolala ni bahati yake arudi 
.Wharr are this now hapa nkaona siezi make


wah kila msee akapewa shot zake ilikuwa imefika kwangu kupeana ndo nipewe na mimi nkadare dem fulani anirombosee 
what a waste of dare. Manugu nilipewa dare ya shots 5 na mimi ni mgeni hii sekta


Sema kuona mbili after 5mins .
After hapo kijana wenyu nilizima zimzim mpaka next day naamka na hangover kama tractor ya Ferguson yenye haikufungwa exhaust 




Nkatafuta Ivy nkampata akiwa braless 

woii mbogi haikuniagusha walinizimisha hafu wakakula bibi yangu na ata sikuwai kuwa nmekula. And the struggle continues
i always live to fight another day nkachukua Ivy wangu kurudi





hostel huku akishinda akiniambia i can explain 

kumbafuu follow me and Retweet
Episode 10 loading.....



Episode 10 loading.....

