Kumbe not all men are trash!!😂

***Thread***"
So I had met this guy on an online platform..akanivibe na yengs akaingia box😂. We planned a Meetup...alikuwa na anasomea kachuo fulani kako kabete.
As usual mayeng wakiishia sleepover unatokaga jioni...nikapack tunguo, a few essentials, yaani tu kila kitu ispokuwa fare ya kurudii
The lad had told me nitumie fare yangu nikifika atarefund ( never make this mistake y'all)😂😂😂😂
Nikajibeba nikapanda Kenya mpya around 6..nikafika mtaaa nikapanda nganya za kabete
Simu iko 7 percent but ata sikuwa na wasiwasi si nishafika kwa mans wangu nitacharge uko😂
I went to the institution mi nikamngoja kwa gate...aliishi hostel za shule btw....akasema nisikae nimeshtuka ndio watchi wasishuku am not from that school, but Kuna kale tu kawasiwasi koingia msee tu maze akifanya kitu mbaya
Mimi nikavaa confidence ya Johnson sakaja yaani Sina ata wasiwasiii maan na kiherehere ya shot ya kwanza😂kidogo tu niingie watchi akaniitisha school id...wue ushaiona roho imegonga haga😂 na yeye mans ashaingia ako io side ingine waiting for the love of his life
So nikajifanya kutafuta school id to no avail...Niko tu..haki I school here si ata unanisalimiaga nikikuja classes za 7😂 I can't see my id....ushaipatana na security guard mkisii? Wueee
Mi ata sijui machozi ilitoka wapi...ako kachali kakanitext 'we rudi kwako tutaonana siku ingine'... Like wtf where was I supposed to go at that time. ushaijawa na hasira yaani adi ukaona kumbe veins hazitokeagi kwa mjuols pekee ni adi kwa forehead mtu akijamđŸ„ș 😂
nikijaribu kuimagine uyo kijana Ni huruma tu nilikuwa nimemuonea ju no lie mi Ni guiness yaani I am made of more. others would prefer kukalia ndizi uslide adi kisii kuliko kumdate😂mind you sijui Nairobi at all najua tu afya Centre na io Ni mpaka nipelekwe Apo niambiwe ndio apa😂
After kunishow nirudi kwangu kakaishia.ghaiiii yaani that bruised my heart Ni vile tu that one L siwezi iadd kwa GBTQ community😊
Niko Apo na bag manze nikaishia kwa mat za kuenda mtaa mind you Sina doo na simu iko sahi 4% Nikabongesha dondaa kasema atanieka tu Tao.manze sijui nairobi😂😂I didn't know nitaanza wapi ata sikujua mat ziko wapi, no fare. Pia swezi Toa phantom 9 niombee mtu dooo ju ya kuibiwo😂
Am there stranded it's 9:30. Niko sijui dubois😂 nashindwa Mimi na ukamba yangu nitafanya Nini..kutu ilinipeleka kubiringishwa hostel kabete si heri ata ningebuy cucumber nijishugulikie😂kidding!!
Sme guy akanotice nalia akaja kuliza shida..singemsho nimelost ikabidi niuwe aunty
..nikamsho I just received news aunty ametuacha😂 jamaa ikaniurumia haki na akauliza naenda wapi, nikamsho thika..akaoffer kunipeleka kwa mat za Thika ju haki singewalk solo after izo death news. ..
Tukafika..jamaa akanipea 500 niongezee kwa 'fare' yangu alafu nikachukua number yake nimsho nikifika..kumbe not all men are trash!!!😂Nikafika kwangu haki thanked God nimefika safe. that's how that 500 man became bae😂 nikablock ako kafala ka kabete after forte fae paragraphs.
You can follow @Dee_kiluu.
Tip: mention @twtextapp on a Twitter thread with the keyword “unroll” to get a link to it.

Latest Threads Unrolled: