KIJANA SIRJEFF DENNIS NI MWIZI NA TAPELI

Nina uhakika somewhere, somehow umewahi kukutana na story kuwa Sirjeff ni Tapeli.

Lkn story yoyote haikamiliki mpk iwe na pande zote 2. Leo nataka nikupe upande wng wa hii story ili ikamilike

THREAD
Kwanza niseme tu "I am a natural born entrepreneur" maisha yng ni biashara, hiwezi kunitenganisha na biashara

Nakuhakikishia mimi na wewe tukipelekwa sehemu yenye mazingira mapya 100%. Nitaona fursa zote kabla yako, na nitatafuta namna yyt ya kuingiza hela kabla yako.
Kuanzia High school, JKT, Chuo mpk ss hivi mtaani, lazima nitafute namna ya kuingiza hela, ndio maana tangu nizaliwe sijawahi kuandika CV

Na sitegemei km ipo siku nitaandika CV, sidhani km naweza kufanya kazi under instructions. Sitaki kuambiwa nivae nn ama niBehave vipi
Thread sasa inaanza hapa.

2015 nikiwa UDSM 2nd nilichaguliwa kati ya wajasiriamali bora barani Afrika ktk umri mdogo na @MastercardFdn pamoja na @ALAcademy chini ya tuzo iitwayo @anzishaprize

Event ilifanyika Jo'burg, SA🇿🇦. Hiu ilikua mara yng ya kwanza kutoka nje ya E. Africa
Kwenye hii event kuna michezo mingi ya kihuni nilifanya. Nikajikuta narudi TZ na almost $28,000 (Hii ni thread ya siku nyingine In Shaa Allah)

Lkn baada ya trip ya kwanza ikawa sasa kwenda SA ni km desturi. Of course miji yote mikubwa ya SA nimefika na nimekutana ns watu makini
Mwaka 2016 sasa nikiwa Durban, SA nikagundua biashara ya FOREX TRADING. I was so impressed, sikupoteza muda nikaanza kujifunza zaidi, then nikaanza kuifanya

Baada ya muda nikawa naielewa inavyofanya kazi, faida na hasara zake. Mwanzo sikuamini kbs km inawezekana...
Baada ya muda wa km miezi 6 nikaja kuonja hela ya forex, sikumbuki exact amount lkn ilikua $2500+. Ela ilivyoingia kwa bank acc yng nilikua so excited, nikawekeza nguvu zaidi

Baada kuWithdraw faida kwa mara ya 2, nikaona kbs hii biashara inaweza kunitoa kwenye umaskini...
Nikaanza kuinvest zaidi kwenye knowledge, nikasafiri sn kwenda SA kujifunza, nikawa nasoma sn vitabu nk. Nikawa sasa ni level fulani ya confidence

May 2017, nikaona hkn tatizo kabisa kuShare hii fursa na waTZ wenzangu ambao maybe hawajawahi kua na exposure ya kujua vitu km hivi
Plan yng ilikua nianzishe Forex Training Inst. ya kwanza kbs kwa TZ niweze kutoa hii knowledge kwa watu wengine ambao hawakua na bahati ya kuzurura duniani km mimi

Kwa kua sikua na experience ya kutosha, nikaenda SA kwa mentor wng Mnisi Themba kumshawishi tufanye hii kitu...
Kutokana na majukumu mengi ya kifamilia na biashara akakataa offer yng ya kuja TZ. Ila akamRecommend mwanafunzi na mshkaji wake Crearen Valoyi

Akanikutanisha nae Pretoria, nikampa ramani nzima, baada ya siku 3 akakubali with some conditions ambazo mimi pia nilizikubali
Baadhi ya conditions;

i) Nigharamie office na furniture
ii) Nihakikishe papers zote za kampuni ziko vzr
iii) Nihakikishe kuna wateja wa kutosha
iv) Niandae mazingira mazuri sn ya kuishi
v) Nitengeneze team makini
vi) Pia alitaka 50% equity, tukanegotiate mpk 51/49
Tukakubaliana kila kitu kitakuwa sawa ndani ya miezi 5. Nikajipanga ndani ya huo muda kila kitu kilikua safi 99%

Createn akasema kuwa yeye ataFocus zaidi kwenye mentorship & coaching, atakuja na Reabetsoe Nkopane ambae anafocus kwenye training and education mimi nitakua MD
Oct 2017 operations zikaanza, nakumbuka training za mwanzo tulifanya kwa Sh 65K km sikosei, wkt bei ya training kwa SA ilikua 700K

Kwangu haikua ishu sn, japo I invested the most. Ikabidi baadae kwa wkt tofauti tofauti tupandishe bei mpk at highest price tukafika 120K
Everything went perfectly

Ili uweze kufanya biashara ya Forex Trading lazima ufungue trading acc kwa 3rd party company anayeitwa 'Broker'

Ili kuwarahisishia wateja wetu kupata broker, Createn akasuggest tutafute broker mmoja tutakayeParner nae. Tukaingia partnership na JPM
Ilikua ni commission based partnership. JPM walikua wanatulipa $7 kwa kila std lot 1 ambayo wateja wetu wataTrade kwao

Nakumbuka on average tulikua tunatrade lots 6,000 kwa mwezi. So, Oct, Nov na December JPM wakatulipa km $130,000

Tulivyo wajinga tukanunua luxury cars
Kusema kweli wateja wetu walikua wanapiga pesa balaa, walikua wanaDeposit na kuwithdraw. Mambo yalikua bien kila mtu yupo excited, watu wanagonga profits vby mno. "I was a hero turned villain."

Nakumbuka watu walijenga nyumba, kipindi hiko mark X ndo gari za vjn, walinunua sn
I can't lie hkn kipindi ktk maisha yng niliwahi kuwa na furaha km kipindi hiki. Kwa siku unapokea shukran na pongezi hata 50

Mwishoni Dec 2017 - Jan 2018 tukawa na vacation. Mm nilienda Capetown ambapo nilialikwa km speaker kwenye event kubwa sana Africa inaitwa @ReNAPRIconf
Huku nyuma, bila mimi na Reabetsoe kujua, partner wetu Createn akatuzunguka. Akaenda kuonana na JPM, nahisi wakajadili kuwa TZ traders wanafanya vzr sana, kitu ambacho si kizuri sana kwa JPM

Wakakubaliana kua Createn afanye awezalo traders wa TZ wawe wanapoteza hela zao...
Then hela ambayo trades watakua wanapoteza yeye anakula % kutoka kwa JPM. Sina uhakika 100% lkn naamini hiko kitu kilifanyika

Jan 2018 mwishoni tukarudi TZ kuendelea. Madarasa yanajaa kama kawa, tukapiga regional tours, mwanza, mbeya, Dodoma, Arusha. Watu wanakula knowledge vzr
Mambo yakaanza kuharibika. Clients wetu wanachoma acc kila siku, mambo yakabadilika sana. Hkn tena profits, hkn tens withdrawals, hkn tena kupongezwa, matusi yakaanza. JF ilikua chungu

Kuna vitu vingi hp kati siwezi kuzungumza each detail. Lkn Jan-May 2018 ilikua km Chloroquine
Kosa kubwa nililofanya ni kuwa na EXCESSIVE TRUST. Dec tukiwa SA tukafungua kampuni ya Logistics, tukakubaliana faida tunayoipata yote tunaitunza ili kuRaise capital ya hiyo kampuni, nia tupige tender za migodini

Jan-May hela yote almost $200k ikawa kwa company Acc ya SA
May2018 Createn akatuaga anaenda Botswana kuna mchongo anafatilia kwa manufaa ya kampuni, tukamruhusu. Alivyoondoka kumbe mimi na Reabetsoe tukawa tumepigwa spana

Akapiga gari zote na akachomoa hela iliyokuwa SA. Tangu siku hiyo nikaapa kamwe sitashangaa nikisikia mtu kajiua
Acc yetu ya kampuni TZ ilikua na mil55 tu, nikaenda bank nikachomoa mil50, kiasi nikampa Reabetsoe arudu SA, kiasi nikatenga kumwinda Createn na kujinasua na umaskini

Sasa hii mil 50 hii ndio ukisikia mtu anasema SIRJEFF NI TAPELI ni hii mil 50. Which basically was ours (TMT)
Ili Createn na JPM kukamilisha uhuni wao ilibidi apatikane mbuzi wa fakara, very unlucky mimi ndo nikawa kafara. Ss wakaanza kutumia ile mil50 kunichafua. Wakablock trading acc zote za waTZ wakisema nimeiba hela za wateja

Nilireport Interpol trading acc zote zikafunguliwa
Kilichotokea 2018 Am the biggest victim, nilipoteza pesa, assets, magari, furniture, reputation pa1 trust. Sijawahi kula 100 ya mtu kwa njia ya udanganyifu

Nimeruka vitu vingi bcz hii ndio tweet ya mwisho kwa std thread lkn THAT'S MY SIDE OF THE STORY.

Happy new month!
In Shaa Allah tukijaliwa uzima nitaandaa threads 2 kuelezea

i) Nini kilitokea baada ya huu mkaza

ii) Niliwezaje kurudi baada ya kupoteza kila kitu mpk nilipo leo in less than 2 yrs
You can follow @Sirjeff_D.
Tip: mention @twtextapp on a Twitter thread with the keyword “unroll” to get a link to it.

Latest Threads Unrolled: