Mimi nilikuwa ni mzinzi, nilikuwa naendeshwa sana na pornography and masturbation na hamna dhambi inayomng'ang'ania mtu kama ile ya uzinzi na vijana wengi tumepotea huko. Kipindi hicho nilikuwa ninaotaga nipo kwenye shimo refu na lina giza lakini nilikuwa naona
yaliyomo mule ndani. Na kwenye ilo shimo kulikuwa kuna vijana wengi na baadhi ninaweza kusema kuwa ninawafahamu or atleast sura zao sio ngeni. Hao vijana walikuwa wanatembea aimlessly kwenye giza and they looked hypnotized
na katikati ya ilo shimo kuna mnara mrefu wa kutoka kweneye ile shimo lakini umevunjika and when I look around me everyone else in the pit hajishughulishi kutengeneza ule mnara na kila nikiota hiyo ndoto nilikuwa najaribu kutengeneza huo mnara ili nitoke
but I never got support from any of the people in the pit, it was as if they aren't aware kuwa wapo kwenye shimo. Vijana wengi wanasema wanampenda Mungu lakini wapo kwenye mahusiano yasiyompendeza Mungu, tunajikuta we're holding on fornication and we forget God
Na kwasababu nilikuwa kipofu na kiziwi sikuona madhara ya uzinzi, masturbation and pornography lakini sasa nimeokoka na ninawaonya nyote kuhusu haya machukizo. Tatizo ni kwamba vijana wengi wanachukulia haya mambo kimwili kuliko kiroho
Hofu ya vijana wengi ni unplanned pregnancy and STDs lakini kuna madhara makubwa zaidi kuliko hayo ya mwilini. Mungu ameumba vinavyoonekana na visivyoonekana, miili yetu ipo kwenye ulimwengu wa mwili(ambao unaonekana) lakini kuna ulimwengu wa roho usioonekana kwa macho ya mwili
bali yanaonekana kwa macho ya roho. Kuna madhara mengi ya uzinzi tusiyoyaona kwenye ulimwengu wa mwili lakini kwenye ulimwengu wa roho yanafanya kazi. Kama wewe no mzinzi, nafsi yako imefungwa kwenye vifungo, kwenye madhabahu za kipepo na jina lako limeekwa kwenye ndoa za kipepo
Na kwasababu ya ufungwa huo unakuwa wewe wa kutumikia hiyo dhambi, na mafanikio ya ulimwengu wa mwili yanaanza kwenye ulimwengu wa roho kwanza lakini kwasababu umefungwa kwenye ulimwengu wa roho unakuwa haufanikiwi kwenye ulimwengu wa mwili
Kila unachofanya/unachoanzisha hakidumu, maisha yako yanakuwa ya kutangatanga maana asili ya malaya ni kutangatanga. Ninawakumbusha msizini, msiifanye miili yenu kuwa madhabahu ya shetani, ninaandika haya yote nikiwa naitwa Dorothy lakini niliyafanya nikiwa Milz.

Warumi 9:17
You can follow @DorothyMilonge.
Tip: mention @twtextapp on a Twitter thread with the keyword “unroll” to get a link to it.

Latest Threads Unrolled: