Place flani karibu na huku mans alikuwa analeweshwa na rafiki yake alafu rafiki yake anaenda kumkulia wife after jamaa imezima bar. Mans akaambiwa na wasee kwani hajui huwa anakuliwa bibi akizima bar, Siku moja jamaa akifanya amezima after huyo rafiki yake kuleft akamfwata nyuma.
Kiasi anaona jamaa anaenda kwake. Akafika bibi ya beshte yake akafungua mlango jamaa akaingia wakaanza kazi. Huyo msee kucheki ivo akaona achukue sheria mkononi. Akaingia store ya nnje akachukua panga akaingia kwa nyumba akaua huyo msee. Polisi wakakuja wakashika uyo jamaa.
The next day mzae wa huyo msee aliuliwa akaenda akalipa makarao kisirisiri jamaa aliua huyo mtoi wake akatolewa akarudi mtaa. The same night huyo mzae akaenda kwa huyo msee na squad ya mtu tano wakamada huyo msee na polisi adi hawaku fika io mtaa.
Mzae sasa wa uyu msee aliuliwa na hio squad akasema "Polisi ata sina shida nao juu hawakushika huyo msee, lakini haki nitaipata tu!" Jamaa akasema blows huyu jamaa alipiga mtoi wangu zitalipishwa tu. Juu ilisemekana io squad walishikilia uyo msee ndio apigwe na huyo mzae.
Bana ata wiki haikuisha Mzae akaanza kuchapa wall mangumi non stop. Wasee hawaezi mzuia juu wakimshika ati na wao wange anza kuchapa wall tu ivo. Saa inabidi wasee wanamcheki tu. Mzae bana usiku na mchana anachapa wall tu hali halali adi ikavunjika anableed bado anachapa wall
Na mifupa for 3 days straight jamaa akadedi. After kufa mzae alisema ivo akafika burial ya uyo msee akasema kulikuwa na wasee watano walisaidia huyo mzee kuua mtoi wake, but wakimuomba msamaha angewasamehea. Maninja hawakuenda after 1 week wawili wakajinyonga tu ivo.
Bana huyo mzae akaenda kwa mazishi ya msee mmoja akasema the same thing but sasa akadai wamebaki wasee watatu. Maninja bado zikakaba hazikuenda kuomba msamaha. Tena after one week msee mmoja akapatikana amejinyonga. Siku ya burial mzae akakuja tena akidai wasee wamebaki waende
Wamuombe msamaha. Hao wasee walibaki wakadai kukimbia waende place mbali na hapo. Ati kufika kati kati ya journey wasee walishuka mtaa flani apo wakaambia msee wa mat wamefika wakaenda shop wakabuy kamba mbili wakisema ati ni za ng'ombe wakaenda forest.
Sasa jana ndio walipatikana na mtoi uko forest akiokota kuni wamejinyonga bana. Wtf?
You can follow @lilhaute.
Tip: mention @twtextapp on a Twitter thread with the keyword “unroll” to get a link to it.

Latest Threads Unrolled: