MNAOTAKA KUINGIA NDOANI
Uzi mfupi { Copied}

Nitaendelea kusema hili iii kumsaidia mtu flani. Maana, aona bado wengi hawajielewi. Ukiona umeoa au umeolewa na nafasi ya mke au mume wako moyoni mwako inatanguliwa na mzazi wako mama au baba yako
au ndugu mwingine basi ujue haujaifahamu ndoa bado. Kumbuka sisemi umchukie baba, mama au ndugu namaanisha nafasi ya mkeo au mumeo kwenye vipaumbele vyako ktk mayo na hata hisia lazima viwe vya juu na vyakwanza kuliko yeyote yule.
Na wala usifanye siri, mkeo au mumeo alifahamu hili, wazazi wako na ndugu zako walifahamu hili. Mzazi anayejielewa vizuri atajua mtoto wake anajitambua ila mzazi asiyejielewa atakushangaa.
Mzazi wa hivi atakayekushangaa fahamu hata mahusiano yake hayajawahi kuwa mazuri, sasa asikufanye uharibu yakwako. Nikutakie siku njema wewe na ndugu na familia yako.
You can follow @BarakaSaimon3.
Tip: mention @twtextapp on a Twitter thread with the keyword “unroll” to get a link to it.

Latest Threads Unrolled: