KUIBIWA VIFAA VYA KAZI. Ni miongoni mwa vitu ambavyo vinavunja moyo na kukatisha tamaa watu wengi sana hasa kwa mtu ambaye amejiajiri na anategemea vifaa vyake kuweza kuendesha maisha yake na pengine familia nzima.

UZI:
Siku ile ya TOT Bonanza kama kuna watu mliniona kuna Camera nilikuwa nimeshika narekodi wakati kina @rollymsouth wana Freestyle.

Well ile haikuwa Camera yangu ilikuwa ni ya kijana mmoja ambaye niliamua kumsaidia kurekodi tukio baadae kuja kushare na watu hapa.
Hizi ni baadhi ya picha alizopiga siku ya @TOTBonanza kabla mie sijafika.
Leo asubuhi nimekutana na huu ujumbe wa kijana huyo amenitumia kwenye WhatsApp yangu. Na nimemuomba consent ya kuweka hapa ili kama kuna namna anaweza kusaidiwa iwe kimawazo au kifedha itakuwa ni ahueni kwake na familia nzima.
Mawasiliano yake ni +255 715 550 606 David Mpilipili Na Ukurasa wake wa Twitter @DavidMpilipili

Naomba kuwasilisha.
You can follow @jaliluzaid.
Tip: mention @twtextapp on a Twitter thread with the keyword “unroll” to get a link to it.

Latest Threads Unrolled: