Taarifa toka kwa watu wa Meko
๐Ÿ‘‰hofu ya Meko huku bara ni Chadema
๐Ÿ‘‰Amekiri kwa watu wake kuwa 2015 walimshinda vibaya sana na chama kinakubalika sana miongoni mwa wananchi
๐Ÿ‘‰Kipilimba kampiga Meko 5bn kuwa kampelekea Mbowe ili asigombee uenyekiti! Meko akapelekewa jibu kuwa
๐Ÿ‘‰Mbowe kweli hatagombea na TISS waka lineup watu wao akiwemo Mwambe!
๐Ÿ‘‰Kitendo cha Mbowe kugombea na kushinda uenyekiti kimemchefua sana Meko neiyo anajua sasa kuwa Kipilimba na Nayuringo walimdanganya na walimuibia hela!
๐Ÿ‘‰Mpaka Nov 2019 alikuwa anaamini Mbowe kala hela yake
Mpango iliobakia sasa
๐Ÿ‘‰kujenga upinzani wa kupandikiza! Mbatia kapewa 800 kugharamia uchaguzi wao wa kupitisha wagombea!
๐Ÿ‘‰Haya Mbatia aliyasema hata kwenye kikao chake cha siri Dodoma mwezi April na Selasini,Komu,Kubenea,Chage Alex(huyu kaahidiwa mkewe atapewa viti maalumu)
๐Ÿ‘‰Mbatia kapewa jukumu la kuongea na mapadre na maaskofu wa RC na wale ambao hawankubali Meko na kishaanza hiyo kazi tayari
๐Ÿ‘‰NCCR imepewa magari mapya Landcruisers 8 toka wizara ya ujenzi na yamechukuliwa bohari kuu ya Serikali wiki 3 zilizopita
๐Ÿ‘‰Lipumba kaahidiwa atapewa viti vya ubunge Lindi,Tanga na Tabora na kaahidiwa kuongizwa serikalini kwenye serikali ijayo! Kama alivyotaka kumfanya Lipumba waziri wa fedha alipoingia lakini Mkapa na JK wakapinga sana!
๐Ÿ‘‰Hofu ya Meko ni kuanguka kwa uchumi kama vyama vitagomea uchaguzi na kupelekea kablai toka kwa donors na ndiyo maana kashawaandaa Lipumba na Mbatia watagombea uRais na watazunguka nchi nzima iki ku kelegitimize uchaguzi
๐Ÿ‘‰Kuhusu Zanzibar-Meko kishafanya makubaliano rasmi na
๐Ÿ‘‰Hussein Mwinyi kupitia babake na anataka Rais ajaye amdhibiti! Watu wake wa ndani wanasema mara kadhaa anauliza "hivi huyu Hussein hatanigeuka huyu"

Sasa wapinzani wa kweli kazi kwenu!! Mimi kazi yenu ni kawaambia msiyoyasikia na kuyaona toka kwa watendaji wa MEKO
You can follow @kigogo2014.
Tip: mention @twtextapp on a Twitter thread with the keyword โ€œunrollโ€ to get a link to it.

Latest Threads Unrolled: