Acha Leo tumcheki mwenetu Willie Junior Maxwell II a.k.a Fetty Wap
Tumuangalie kwa uchache sana,Kwanini muonekano wake wa macho uko vile,
Jina la Fetty Wap lilitokea wapi,
Mafanikio ya Ngoma ya Trap Queen na tutajua sababu ya yeye kukaa kimya kwenye Game

Jina Fetty Wap sio geni kabisa masikioni mwako haswa kwa machizi
Fetty Wap kwanza kabisa alizaliwa mwaka 1991 pale New Jersey
Hapa alizaliwa akiwa mzima kabisa yani macho yake yalikua sawa

Katika moja ya interview yake ya mwaka 2015 aliweza kueleza wazi nini sababu ya yeye kua vile
Yani Jicho lake kupata ile shida
Anasema wakati akiwa mdogo alikua poa ila alipata Glaucoma huu nadhani ni ugonjwa wa macho na anahisi alizaliwa nao ila

Ulikuja kumletea tabu yani akaanza kuumwa na macho anasema anawashukuru sana madaktari
Kwa kuweza kumsaidia Jicho lake moja kuona maana Jicho lingine walishindwa
Badala yake alipewa Ocular Prosthesis atumie
Aah tumeshajua mchizi ule ni ugonjwa sio ajali kama Madai ya

Vijiweni
Turudi sasa mwaka 2013 hapa Fetty wap alikua na kiu ya kufanya mziki na alisema alitaka Afanye kitu tofauti sana kwenye game
Hapa alikua Anaitwa Fetty yani wanae wakimaanisha Money mchizi alikua mtafutaji pesa sana
Alikua anaimba ila hakupata nafasi

Wanasema kufanikiwa ni siku moja kuna siku kulikua na show ambayo lengo lake lilikua kumchangia rapper Gucci Mane
Kwa matatizo yaliyomkuta mchizi akaenda sasa wakati anaandikisha jina aliandikisha Fetty ila muda wa kutajwa apande kwa stage
Anashangaa jina linakuja Fetty Wap

Yani wahuni wakaongezea mafekeche mchizi akashanga hii Wap imetoka wapi
Kama utani jina likashika mpaka leo
Mwaka 2014 alitoa ngoma Kubwa sana
Hapa wahuni lazima waelewe Naposema ngoma kubwa hii si nyingine ni Trap Queen
Sasa hii ngoma ilitoka Feb lakini cha ajabu

Ikabuma mpaka November ikaamsha upyaa kivipi kwanza
ilikua played pale SoundCloud Mara 130mil ikachukua platinum chap
Mchizi akaingiaa kwenye XXL Freshman Class ya mwaka 2015 hii ni trap queen mzee inamfungulia milango
Hii ngoma ilikua ngoma kubwa sana usibishe

Alivunja rec ya Tunechi ya mwaka 2011 aliyoweka ya 1St Male in 4yrs concurrent single reach the top 10
Tusisahau sep 24 2015 alitoa album yake ya kwanza iliyoitwa Fetty Wap ikiwa na mikwaju kama 679,My Way,Again
Ila Trap queen ilizibeba ngoma zote

Grammy ilichukua kama best rap song sawa
iHeartRadio awards waliipa kama Hip Hop song of the year na mchizi akawa kama Hip Hop artist of the year hii ni 2015
2016 billboards award mchizi akachukua kama Top rap artist na ngoma ilichukua kama top stream song
BET wakaipa kama

Best Club Banger na people champ choice haya ni mafanikio tu Trap Queen
Pia alionekana kwenye collabo na Fifth Harmony ngoma ya Flex All in my head,promises ya Kid ink 2016
album pamoja na Ep zake
Bruce Wayne 2018,King Zoo,For my fans pamoja na Trap & B

Hii Ep ameitoa 14Feb 2020
Japo haikupokelewa vizuri tofauti na kazi zake za hapo nyuma
Twende kwanini mchizi amekua kimya hivo tunajua mchizi wakati anaingia kwenye game alikua chini ya 300 pamoja 1738 seventeen thirty eight
Na kazi zake nyingi zilikua pale ila sasa

Alikuja kusign deal na Atlantic rec kitu ambacho 300 walipishana
Nadhani kuna namna walipishana yani mchizi nadhani alisign contract Mara mbili
Sasa hapa ikawa tabu kazi zake 300 ikawa shida kuziachia japo kazi zilikua zinatoka pia muda msingi mchizi alikua mahakamani

Kuna siku 50 cent aliwahi kusema kwamba uongozi wa Fetty Wap ndio unafanya ukimya wa mchizi
Yani wanasumbua akiwalenga 300 mchizi yupo na Ana kazi ila sasa anatakiwa amalizane na three hundred 300
Pili Ana mambo ya kifamilia pia yanachagiza

Mchizi mpaka sasa Ana watoto 6 na amezaa na wanawake tofauti
Alipotisha zaidi ni pale alipozaa na mwanadada Masika Kalyishia kama unafatilia TV series ya Love & Hip Hop Hollywood
Utakua Unamjua sana hapa kama unaangalia hawavumi lakini wamo au sijui kapuni my friend Itakua

Ngumu
pia alishawahi kuonekana katika baadhi ya Ep kwenye msimu wa 6 nadhani kabla hawajatengana na Masika
Kiasili Fetty Wap ni mtu wa Haiti kule kwa kina 21 Savage
Alishawahi kusema kua Haiti ina maana Kubwa sana kwake na hupendelea kutoa misaada kwa families

Zisizojiweza pia hupeleka misaada kule hospital kwa wale watoto wenye wanaugua Maradhi kama yake
Juzi niliona mke wake amemfungulia case akitaka apewe talaka yake ila aliongea shit sana
Alisema maisha yao yalikua ya Pombe na drugs pia alikua anapigwa

Jambo ambalo Fetty wap alikanusha na kusema sio kweli kwa sisi wataalam
Hii Mbinu aliotumia Huyo mke wake ni kwa sababu anataka case yake iwahi kusikilizwa na talaka itoke Mara moja
Baadhi ya marafiki wa Fetty Wap walisema mchizi Hana tabia ya kupiga wanawake kabisa

Sasa kitu kimoja nilichopenda kwa mchizi ile Ocular prosthesis mchizi haivaagi kabisa
Anataka kua real ndio maana Jicho lake huonekana jeupe kabisa mpaka Unaweza kusema jamaa kakosa ela au
Vipi kama wengine wanavofanya kwa kuogopa kuonekana tofauti kwa jamii

Yeye hilo hajali anasema yeye ni real anajikubali
Rapper Gucci Mane ndio aliemfanya akaingia kwenye Game yani huyu ndio aliemu influence
Kama alivofanya pia kwa 21 Savage hivo bhasi Gucci Mane tuappreciate mchango wake kwenye Game.
#CelebrityLifeStyle
#TillerBrief