WAGANGA WA KIENYEJI SIO WACHAWI BALI NI WANASAIKOLOJIA.😁😁
Soma stori hii alaf utakubaliana na mimi #ElimikaWikiendi #wapwanastory @PeterBinxete @petersonchris_ @MwakalibuleI @MaysonSingo @Kudu_ze_Kudu @McinikaWaLamar @Alishy112 Let's get the party started 👇
Kulikua na mama mmoja mme wake alikua mkorofi sana, walikua kila siku wanagombana sana, na magombano yao yalikua yanaishia kwa mwanamama huyo kupokea kipondo cha kutosha. Basi baada ya mama huyo kuyachoka hayo maisha akatafuta njia ya kumtuliza mme wake.👇
Akasikia kwa marafik zake habari za mganga maarufu sana anayepatikana Tanga. Mwanamama akafunga safari, akaenda kwa mganga. Alipofika kwa mganga mwanamama akajieleza story yake yote. Kama kawaida mganga akapiga mbwembwe zake zote then akamtengenezea hirizi yenye ukubwa kama 👇
Kajiwe ivi. Mganga akampa masharti, kila mme wake atakapoanza kumgombeza, achukue hiriz kwny fundo la kanga aiweke mdomon atulie nayo mpk mme wake atakapoacha kugomba. Basi mwanamama akaondoka, akawa anafuata maelekezo akigombezwa anafuata, mme wake anagomba mke wake hajibu👇
mwanaume anachoka kugomba, anaachana nae na hampigi, na mwishowe akaachaga kumgombeza kabisa. 😂😂😂 kumbe kilichokua kinamfnya apigwe ni kimdomomdomo chake cha kujibu shit. Basi kistyle hio mganga akawa amewin.
>>>>>>>>END OF THREAD>>>>>>>>>
You can follow @DanielMsuya11.
Tip: mention @twtextapp on a Twitter thread with the keyword “unroll” to get a link to it.

Latest Threads Unrolled: