THE LONG MORNING TEXT TO MY LOVE 
Hello sugarplum,mawingu tayari yameachama na kutoa tabasamu lake la mwanga mzuri wa jua. Nilitamani nikupigie kukutakia asubuhi njema nikaogopa kukustua maana najua haujanisave Alarm kwenye simu yako
T H R E A D

Dear love tokea jana usiku tulivoachana baada ya kuongea kwenye simu ni kama vile uliniachia baraka nyingi na tabasamu pana ndani ya usiku ule.
Tizama nilitamani walau nipate breakfast lakini haikufaa kitu maana nkagundua kitupekee nimepungukiwa ni Vitamin U

Bae amka ujiandae na harakati za siku nzima, japo unaniachia maswali mengi sana maana nilikua bingwa wa Hisabati enzi izo lakini leo nashindwa kukotoa muda unaotumia wewe kutoka kwenye kioo kipindi unajipamba
Umenifanya nidharau maembe baada ya kukutana na rangi yako ya chungwa

Dunia iko speed sana mchumba, uhuru wa kiuchumi nikiwa nautafuta na kuja kuwa millionaire lazima utakua pembeni yangu as you are my mill-on-air
Asubuhi haiwezi kupita salama bila kukujulia hali mwangaza wangu wa siku. My speedometer unayepima speed ya mood na furaha yangu

My boo look, pata kifungua kinywa kabla ya kutoka ili ujiweke poa chukua mkate wako wenye Cheese na Butter usisumbuke na meseji za machizi na bata walokusumbua ukiwa umelala,hawana maana hao
Yes tupia pendeza tembea watingishe imani zao mpaka Flaviana ajione hana Matata kwako

Darling ziba maskio yako watakapo kwambia sina hela. Waambie hizo zipo and by the way mi ndo "Sale" yani ukiskia zile nyumba zimeandikwa "For Sale" jua ndo mimi.
Napambana pia kwa ajili yako maana najua hautokula iPhone 11 Pro ila utakula Protein uzidi kunawili.

Wakiwa wanabishana na kugombania Pisi huko mitaani we vuta PC yako fanya kazi
Wewe ndo Samia Suluhu wangu maana kila napo pata tatizo kifikra na stress za mihangaiko ya siku Suluhu napata kwako

Sweetheart nakuahidi mida ya lunch ntakupitia ukapate chakula kizuri maji safi na Yoghurt maana ukiwa karibu yangu always you Yorg- My-heart
Angalia tukipita wanapata goosebumps wakati mimi nikikushika mkono you always Goose-My-bumps

Bebe kwako wewe ntakua mpole kila siku Usultan ntamuachia Idris.
Nifanye VIP na hata hao wanaokusumbua we wafanye VIP pia
Ili mimi nikiwa Very Important Person kwako wao wawe Very Ignored People
Waache wadanganyane na hizo smartphone wakati naringa nawewe my Smart Phoenix

Vaa miwani ya mbao usiwaone weka earphone kabisa wakiwa wanaRing their bells you just come through my home so that i can lick that Ring on your belly 
Weekend hii nataka tuachane na kwenda restaurant kula matunda yanayoongeza Vitamin C nataka nkupeleke pwani tupate Vitamin Sea

Then nkurudishe Bara-koa uzivae usipigwe na vumbi wala kupata maambukizi.
Achana na hao maCoro-na hawana maana. Take care, ukijihisi baridi sana tumia Sun-taiza kuondoa uchafu na kujipatia joto kimtindo ili mwisho usiishie Mloganzila

Dear love, ikifika jioni pitia home nikupoze najua mihangaiko ya kazi inaweza kuwa imekufanya ukaOvary-act and i will be there your Uterus Dislocator
Nisikuchoze love may you have a Good morning and Good-more-earning
Regard @Vet_doctor87
#MyMindSpeak
#NohTalk