(2) 1. Juu sheria inadai tufile (Section 52B pale kwa Income Tax Act Cap. 470).
2. Kujitoa kwa ngori ya kulipa penalty ya 5% ya taxes ama thao mbili, yenye hucome tukikwara kufile by 30th June.
3. Kuconfirm kama ile doh huwa tunakatwa kila mwezi inafikia KRA. #Tuchapiane

(3) Unafaa kuwa na nini ndio ufile returns zako?
1. PIN ya KRA na Password ya iTax.
2. P9 form kutoka kwa mdosi, ofisi ya accounts ama HR. #Tuchapiane

(4) 3. Kama uko na kahustle, unafaa kuwa na ile book yenye wewe huchora mahesabu ya biz yako ukishow vile doh imeingia na vile umespend, contracts zako, vouchers na certs za withholding tax. #Tuchapiane
(5) 4. Kama uko na insurance, unafaa kuwa na cert ya Insurance policy yenye umepewa na hiyo kampuni ya Insurance.
5. Kama uko na mortgage, unafaa kuwa na cert ya mortgage.
6. Ukidai kujitoa kwa stori ya kulipa Income Tax, unafaa kuwa na valid tax exemption certificate.

(6) Nani anapeananga p9?
P9 form hupeanwa na employer na inakuanga na basic salary, allowances na benefits, gross salary, pension contribution, tax yenye imekwatwa na ile relief gava hupatia raia. #Tuchapiane

(7) Tax returns ni nini?
Ni form yenye inaonyesha vile umelipa taxes mwaka uliopita. Inapiga hiyo githafu na inashow doh yote yenye uliingiza, tax yote yenye ilichujwa na exemptions na relief yenye ulipata. Inaconfirm hesabu yote yenye ilifanywa. #Tuchapiane

(8) Kwa nini returns ni muhimu?
Inashow uko rada ya taxes na umecomply. Compliance muhimu!
Inaleta fairness kwa hii stori ya tax (Mwenye anaingiza doh mob, anakatwa doh mob kuliko mwenye anaingiza less). #Tuchapiane

(9) In case kutokee ngori na udaiwe kupeana records za tax utakuwa umejiseti vifine.
Inakusaidia kupiga hesabu yako ya doh yenye umepata na yenye umespend vipoa. #Tuchapiane

(10) Madeadlines
1. Income Tax Resident Individual – Hii tax raia anafaa kufile by 30th June ya mwaka next.
2. Income tax Company- Hii inafaa kujazwa by mwezi wa sita haujakatika after accounting period ya kampuni yako kuisha. #Tuchapiane

(11) 3. PAYE – Hii nayo ni ya employers na wanafaa kufile na kulipa before the 9th day ya mwezi next.
4. VAT – Hii inafaa ifikie KRA by tarehe mbao ya mwezi next, kila mwezi. #Tuchapiane

(12) 5. Rental Income - By tarehe mbao ya mwezi next, kila mwezi.
6. Turn over Tax- By tarehe mbao ya mwezi next, kila mwezi.

(13) Jifunze kufile your 2019 tax returns on https://bit.ly/35Z4ejd na anza kufile kabla deadline ifike kwa iTax portal https://bit.ly/2yaFxn4 #Tuchapiane
END.
END.