Uzi
IJUE Frotteuristic disorder. Huu ni ugonjwa wa akili chini ya sexual arousal disorders zinazoitwa paraphilias(abnormal attractions). Watu wenye ugonjwa huu huwa mostly huku bongo wanawaita DUNGADUNGA. Endelea kusoma uzi huu uone nini sayansi inatueleza kuhusu hii disorder
https://abs.twimg.com/emoji/v2/... draggable="false" alt="๐" title="Down pointing backhand index" aria-label="Emoji: Down pointing backhand index">

According to DSM 5 watu wenye frotteurism ni watu ambao hupenda kusugua viungo vyao nyeti kwa watu wasiowajua(kubambia) au kuwashika watu wasiowajua sehem zao za siri, makalio, na sehem nyngne zlizo sensitive (touch) bila idhini ya wanaoshikwa au kusuguliwa. Watu hawa hufanya
https://abs.twimg.com/emoji/v2/... draggable="false" alt="๐" title="Down pointing backhand index" aria-label="Emoji: Down pointing backhand index">
vitendo hivi hadharani kwenye maeneo yenye mikusanyiko ya watu wengi kama vituo vya mabasi, ndani ya mabasi, treni, misongamano ya watu mitaani, lifti na kadhalika. Watu hawa huaminika pia kuwa na fikra nyingi za mapenzi znazohusisha touching na kusugua wakiwa peke yao.
https://abs.twimg.com/emoji/v2/... draggable="false" alt="๐" title="Down pointing backhand index" aria-label="Emoji: Down pointing backhand index">
Taratibu za kitaalamu (according to DSM 5) znaeleza Tabia hii huitwa ugonjwa wa akili kama mtu atakua nayo kwa mda wa zaidi ya miezi sita, itajitokeza zaidi ya mara tatu na kama hii tabia inaleta shida katika mahusiano na shughuli za mtu za kila siku.
https://abs.twimg.com/emoji/v2/... draggable="false" alt="๐" title="Down pointing backhand index" aria-label="Emoji: Down pointing backhand index">
Je ugonjwa huu una tiba? Jibu ni ndio, zipo dawa na njia za maongezi ya kitaalamu (psychotherapy) ambazo hutumiwa kuwatibu hawa watu kwa mafanikio mazuri tu. Challenge kubwa ni huwa hawa watu hawajitokezagi hata siku moja kutafta tiba ya tatzo Leo maybe sababu ya aibu au uelewa
https://abs.twimg.com/emoji/v2/... draggable="false" alt="๐" title="Down pointing backhand index" aria-label="Emoji: Down pointing backhand index">
mdogo kuhusu ugonjwa huu. Wengi pia hawajuagi kama wanaumwa. Kwa nchi za wenzetu zilizoendelea, watu hawa wakikamatwa na polisi kwa sabab ya sexual assault, pamoja na kupokea hukumu mahakamani, mahakama huamuru wapate tiba ya tatzo lao kutoka kwa madaktar wa magonjwa ya akili.
Je ugonjwa huu huwapataga wanawake? Tafiti mpaka sasa hazina ushahidi wa ugonjwa huu kumpata mwanamke, kwahiyo inaaminika ugonjwa huu wa akili huwapata wanaume zaidi kuliko wanawake. Wanaume miaka 15 mpaka 25 huwa ni wahanga zaidi ingawa wapo wenye umri wa zaidi ya hapo wenye
https://abs.twimg.com/emoji/v2/... draggable="false" alt="๐" title="Down pointing backhand index" aria-label="Emoji: Down pointing backhand index">
huu ugonjwa pia. Nini chanzo cha huu ugonjwa? Tafiti znasema chanzo cha huu ugonjwa hakijulikani ingawa watu wenye ugonjwa huu huonekana either kuwa wana magonjwa mengne ya akili au huonekana ni watu wanaotengwa na jamii au kujitenga na jamii. Watu waliopataa sexual abuse
https://abs.twimg.com/emoji/v2/... draggable="false" alt="๐" title="Down pointing backhand index" aria-label="Emoji: Down pointing backhand index">
utotoni pia huonekana kupresent na ugonjwa huu. Kwaio malezi na changamoto anazokutana nazo mtu akiwa utotoni znaweza mtu kupata ugonjwa huu. Zipo shuhuda nyingi pia hata hapa bongo za wanaume wenye matatzo haya, mtu anapanda gari anashuka kituo kimoja anapanda tena kurudi ili
https://abs.twimg.com/emoji/v2/... draggable="false" alt="๐" title="Down pointing backhand index" aria-label="Emoji: Down pointing backhand index">
tu Afanye hii tabia. Ni vyema kujua kama tatzo hili linakusumbua, co hisia tu znazokuendesha ila kuna tatzo pia lishatokea kwa akili unahitaji tiba usiogope, usijifiche, waone wataalamu wa magonjwa ya akili au wanasaikolojia watakusaidia. END OF THREAD!!
#Afyaelimu #wapwanaafya @KIUNGWANA_BOY @MwakalibuleI @mpambazi_ @NormanJonasMD @petersonchris_ @Pierebinxete @abdulazackabdul @Geofrey88086558 @drkakoko @MaysonSingo @Alishy112 @Mosesgideon17 @McinikaWaLamar naomben retweets watu waipate hii elimu
https://abs.twimg.com/emoji/v2/... draggable="false" alt="๐" title="Up pointing backhand index" aria-label="Emoji: Up pointing backhand index">