#Ukiandika ``MOTHER DAY`` kwa nia ya kuunga mkono siku hii | Basi fahamu umesherekea iddi(sikuku) hii na ni Haraam |Usije ukasema `` aa mimi sijasherekea,sijala wala kuvaa nguo nzuri`` | Jua kwamba neno "EID" limetokana na neno; ‘aada/ya’ood`` kwa maana "kujirudia rudia"
Mtume 👇
Kwahiyo hii jambo inaadhimishwa kila mwaka na wakati kama huu tayari inakua ni ``Eid`` kwasababu linajirudia | Na mtume amefunza idd Tatu tu tena baada ya kukuta watu wa jaahiliya wakifanya zao ndio akasema zimebadilishwa mwenu zilizo bora ambazo ni ''adh-ha na fitru" |
Kabla pia ya kutoa pongezi kwa akina mama kwa siku hii angalia asli ye jambo lenyewe asli, lilianzishwa kwa malengo gani | Eid za kiislam zina asli nayo ni baada ya Swaum,swaum ilikuwapo kabla yetu na lengo ni uchamungu na adh-ha baada ya matendo ya hijja kumuiga nabii ibrahim
Ama hii yenu ``Mother’s Day`` au Arabic “Eid al-umm” asli yake ni ipi na malengo yake nini na nani alianzisha?? | kama hujui mwanzilishi ni nani una hatari ukasherekea kitu huenda alianzisha Shetani,firauni au Mashoga kwasababu hujui | Huenda ukawa unasherekea iddi za mashoga
Kama leo huwezi kumpa jina mwano `` lutwi`` kwasabu ya matendo machafu ya watu wake basi ona aibu pia kusherekea Iddi ambazo lau ukiambiwa mwanzilishi alikua nani na alikua ana matendo gani hutopenda kumtaja au kujipa jina lake|
Jambo hili`mother day`lilianzishwa huko ugiriki na ilikua sikuu za mavuno kwa miungu wa kike "mother goddess Rhea" likaja likaenea Marekan na uingereza| Sasa hao wazungu ambao Wazaz wao wakizeeka wanapelekwa kwenye`Kambi za wazee`ndio wanatufunza sisi namna ya kuwathamini wazazi?
You can follow @abusumayyah_o.
Tip: mention @twtextapp on a Twitter thread with the keyword “unroll” to get a link to it.

Latest Threads Unrolled: