3. Kutozingatia asili ya eneo. Aina ya Udongo, muinuko n.k. Nyufa nyingi katika majengo na hata kuharibika kwa rangi inatokana na asili ya sehemu/aina ya udongo. Vipimo vifanyike ili ujenzi usionekane ni wa hali ya chini
#ElimikaWikiendi
4. Kutotumia vifaa vya kuzuia unyevu katika nyumba. Nyumba nyingi rangi zinaharibika mapema na kuta zinaharibika mapema kwa sababu vifaa hivyo havijatumika kama chemicals na nailoni ( Dump proof membrane)
#ElimikaWikiendi
You can follow @ringia_adelah.
Tip: mention @twtextapp on a Twitter thread with the keyword “unroll” to get a link to it.

Latest Threads Unrolled: