MAKOSA 10 YA WATAALAM/MAFUNDI NA MATERIALS
1. Kutumia (Vifaa) materials zisizokidhi viwango kwasababu ya unafuu wa gharama. (Cheap is expensive). Uharibifu utatokea mapema na kila siku utakua unafanya repair ambayo itakurudisha kule kule kwenye gharama kubwa
#ElimikaWikiendi
2. Kutofanya uchunguzi wa gharama za materials (vifaa) na materials imara zinazofaa kutumika. Vifaa vinakua imara kutokana na brands, bila kufanya research na comparison itasumbua katika manunuzi na ujenzi
#ElimikaWikiendi
You can follow @ringia_adelah.
Tip: mention @twtextapp on a Twitter thread with the keyword “unroll” to get a link to it.

Latest Threads Unrolled: