~Story Za Biblia ~ #UZI 

~Leo tutaangalia jinsi Wanafunzi/mitume wa Yesu walivyokufa/Uawa.
1. Mathayo.
Aliuawa kwa upanga baada ya kuonyesha imani kali dhidi ya kanisa la kristo.
2. Marko
Alifariki huko Alexandria Misri ya sasa baada ya kuangushwana farasi barabarani,

aliangushwa vibaya na hakupata msada. Mwishoe alifariki.
3. Luka
Alinyongwa huko Ugiriki, hii ni kutokana na msimamo wake mkali aliouonesha dhidi ya Kristo.
4. Yohana
Alitumbukizwa katika pipa lenye mafuta yanayochemka huko Roma, Italia ya sasa.
3. Luka
Alinyongwa huko Ugiriki, hii ni kutokana na msimamo wake mkali aliouonesha dhidi ya Kristo.
4. Yohana
Alitumbukizwa katika pipa lenye mafuta yanayochemka huko Roma, Italia ya sasa.

Hata hivyo kwa miujiza hakuungua na alitolewa akiwa mzima kabisa. Alipelekwa katika gereza lililokuwa katika migodi huko kisiwa cha Patmo. Na huko ndiko alipofunuliwa na Mwenyezi Mungu na kuandika kitabu cha "Ufunuo wa Yohana". Baadae aliachiwa huru na kwenda kutumika kama 

askofu huko Edessa Uturuki ya sasa. Alifariki akiwa mzee sana. Na ni mtume pekee aliyefariki bila mateso.
5. Petro
Alipata adhabu ya kifo cha msalaba. Ila yeye alisulubiwa tofauti na Yesu Kristo. Kusulubiwa kwa Petro ilikuwa kichwa chini miguu juu katika msalaba. Hii ni kwa
5. Petro
Alipata adhabu ya kifo cha msalaba. Ila yeye alisulubiwa tofauti na Yesu Kristo. Kusulubiwa kwa Petro ilikuwa kichwa chini miguu juu katika msalaba. Hii ni kwa

ombi lake yeye mwenyewe, hakutaka kusulubiwa kama Yesu.
6. Yakobo
Alikuwa Kiongozi wa kanisa huko Jerusalemu Israel ya sasa. Yeye alitupwa kutoka juu kabisa ya mnara wa hekalu wenye urefu wa mita 100 baada ya kugoma kumpinga kristo (mnara huo ni kama ule ambao

shetani alimjaribu Yesu kwa kumwambia kama yeye ni mwana wa Mungu ajirushe). Walipogundua kuwa hajafa baada ya kumdondosha tokea juu ya mnara, maadui walimpiga na mawe mpaka akafa.
7. Yakobo mwana wa Zebedayo.
Alikuwa ni mvuvi kabla Yesu hajamchagua kuwa mwanafunzi wake.
7. Yakobo mwana wa Zebedayo.
Alikuwa ni mvuvi kabla Yesu hajamchagua kuwa mwanafunzi wake.

Akiwa kiongozi mkubwa wa kanisa, Yakobo alichinjwa huko Jerusalemu. Maajabu ni kwamba askari aliyekuwa akimlinda gerezani alishikwa na mshangao jinsi Yakobo alivyoshikilia msimamo wake wa kanisa wakati wa hukumu. Baadae yule askari alienda akapiga magoti mbele ya Yakobo na 

na kikiri imani yake mpya juu ya Kristo. Wote walichinjwa mbele ya kadamnasi ya watu.
8. Bartholomeo
Pia alijulikana kama Nathanieli. Alikuwa ni mmisionari huko Asia ya sasa. Alimshuhudia Yesu Kristo huko Uturuki. Yeye aliuawa baada ya kugoma kuacha mafundisho yake ya kanisa.
8. Bartholomeo
Pia alijulikana kama Nathanieli. Alikuwa ni mmisionari huko Asia ya sasa. Alimshuhudia Yesu Kristo huko Uturuki. Yeye aliuawa baada ya kugoma kuacha mafundisho yake ya kanisa.

9. ANDREA
Yeye alitundikwa msalabani kwa mfumo wa X katika mji wa Patras nchini Ugiriki baada ya kuteswa ipasavyo na askari wapatao saba, kasha wakamfunga msalabani with cords to plorong his agony. Wafuasi wake walisema wakati wanampeleka msalabani, Andrea alisema โNina uamuzi

udumuo na niliutegemea muda huu wa furahaโ. Aliendelea kuhubiri akiwa hapo msalabani kwa siku mbili mpaka pumzi yake ya mwisho ilipokoma, kwa hiyo Aliuawa kama Petro.
10. THOMASO
Huyu alihubiri Neno la Mungu huko Syria, China na baadae India. Huko India alianzisha kanisa
10. THOMASO
Huyu alihubiri Neno la Mungu huko Syria, China na baadae India. Huko India alianzisha kanisa

liitwalo Mar Thoma. Kanisa hili lipo mpaka leo huko India. Yeye aliuawa kwa kuchomwa na mkuki [mshale] na maaskari wanne huko India alipokua katika moja ya safari zake za kiumishieni kwa ajili ya kufungua kanisa.
11. YUDA (sio eskariote)
Yeye naye pia alipigwa na mshale.
11. YUDA (sio eskariote)
Yeye naye pia alipigwa na mshale.

12. MATHIAS
Mwanafunzi aliyepigiwa kura na wanafunzi wa Yesu kuziba nafasi ya Yuda iskariote msaliti. Huyu alipigwa na mawe hadi kufa na baada ya hapo walimkata kichwa.
13. PAULO
Hakuwa mwanafunzi wa Yesu, ila alifanya hiyo kazi baada ya kutokewa na Yesu alipokuwa akiwauwa

Wanafunzi wa Yesu. Baada ya kutokewa alibadilika na kuanza kuhubiri injili. Aliteswa na baadae akachinjwa na mfalme Nero huko Roma tarehe 9 mwezi june mwaka 68 Ano Domino (A.D). Ila mfalme Nero nae alijiua mwaka huo huo. Paulo aliishi muda mrefu sana gerezani ambapo akiwa huko

aliandika barua(nyaraka) nyingi kwa makanisa ya Roma. Ndio hizi ambazo zinafundisha misingi ya Ukristo katika agano jipya, kama vile Waraka wa Paulo mtume kwa Warumi, Wakoritho, Waefeso, Wakolosai, Wathesalonike, Timotheo nk.
Inawezekana huu ni ukumbusho kwetu kwamba mateso
Inawezekana huu ni ukumbusho kwetu kwamba mateso

tunayopitia ni madogo sana ukilinganisha na haya ambayo mitume waliyapitia. Yote ni kwa ajili ya kutetea kanisa la Mungu. Ajabu siku hizi watu wamegeuza dini ya kikristo kuwa sehemu ya upigaji wa hela kutoka kwa watu maskini na kujigeuza kiimani baada ya dhoruba ndogo tu ya 

kimaisha ikiwemo kukosa ndoa ya kikristo.
KUMBUKA;
Mtume pekee ambaye biblia inarekodi mauaji yake jinsi yalivyokuwa ni mtume Yakobo ndugu yake mtume Yohana. Huyu biblia inasema katika Matendo 12:1-2, kuwa Mfalme Herode alimuua kwa Upanga, alikatwa kichwa.

14. Simon Mkananayo.
Alifia huko Misri(EGYPT)kwa kutundikwa msalabani, wakati wa utawala waTRAJAN. Mwaka kamili haijulikani, lakini inadhaniwa ni kati ya mwaka wa 65A.D na 107A.D
Alihubiri injili huko Maurtania, Afrika Kaskazini, na Ulaya(Britain) Mungu alitenda miujiza mingi

miujiza mingi kwa mkono wa Simon.Aliponya wagonjwa, alikemea pepo, na kutangaza kuwa ufalme wa mbinguni umekaribia. Alikuwa ndiye Askofu wa pili wa Yerusalem baada ya kifo cha Yakobo.