HISTORIA FUPI YA KIM YO JONG, (DADA YAKE KIM JONG UN) na UGONJWA WA KIM JONG UN 
Pengine kama isingetokea Uvumi ktk mitandao kuhusu rais Kim Jong Un wa Korea ya Kaskazini basi leo tusingemfahamu Mwanadada Yo Jong, ambae ndie mtu mwenye uwezekano mkubwa wa kurithi madaraka

Pengine kama isingetokea Uvumi ktk mitandao kuhusu rais Kim Jong Un wa Korea ya Kaskazini basi leo tusingemfahamu Mwanadada Yo Jong, ambae ndie mtu mwenye uwezekano mkubwa wa kurithi madaraka

KIM YO JONG NI NANI.?
Wengi wetu tumemfahamu dada wa Kim Jong Un hivi karibu tu basi leo acha nikutoe tongotongo..
Kim Yo Jong (김여정) alizaliwa tarehe 26 ya mwezi Septemba, 1988 baba yake ni Kim Jong-iL yule yule ambae ni baba wa rais Kim Jong Un

Kim Yo Jong anatambulika kama Mwanasiasa, ni mwanachama wa Politburo(Political Bureau) pia ni Director msaidizi wa Chama cha Wafanyakazi cha Korea wenyewe wanakitambua kama Workers' Party of Korea(WPK)
Uhusiano wa Yo-Jong na kaka yake rais Kim umekuwa ni wa karibu zaidi
Uhusiano wa Yo-Jong na kaka yake rais Kim umekuwa ni wa karibu zaidi
Uhusiano wa Yo-Jong na kaka yake rais Kim umekuwa ni wa karibu zaidi kutokana na kwamba walilelewa wakiwa pamoja wakiwa Masomoni nchini Switzerland baada ya baba yako kuwaepusha na babu yao kwa kuwa hakutaka watoto wake walelewe kama alivyolelewa yeye
Hakuna kinachojulikana kuhusu shughuli za Kim Yo-jong katika miaka iliyofuatia baada ya kurudi kwake Korea Kaskazini mnamo 2000 au 2001, ingawa aliripotiwa kufuzu kutoka Chuo Kikuu cha Kim Il-sung cha Pyongyang mnamo 2007 na digrii ya sayansi ya kompyuta.
Inaripotiwa kwamba October 2014 alishawahi kushikilia nafasia ya kaka yake alipohitaji muda kwa ajili ya matibabu kwani inaonekana rais Kim Jong Un amekua mtu wa kuugua mara kwa mara ingawa taarifa za ugonjwa wake zimefanywa siri
Mwaka 2015, iliripotiwa kuwa Kim Yo Jong aliolewa na Choe Song, Mtoto wa wa lieutenant Choe Ryong-hae. Aliripotiwa kuwa mjamzito mwaka ule ule
Kim Yo Jong ndie anaehesabiwa kama mrithi wa nafasi ya kaka yake Kim Jong Un ijapokuwa sheria za nchi yao zinaweza zinabatilisha na isiwe hivyo kwa kuwa usichokijua ni kwamba Kim Jong Un ana watoto 3
Mikutano na Donald Trump Kim Yo-jong aliongozana na kaka yake, ya kwanza ilifanyika nchini Singapore 2018 na ya pili huko Vietnam 2019
Kim Jong-un aliripotiwa kumlaumu dada yake kwa sababu ya kutofaulu lengo na akamwondoa madarakani kabla ya kumrudisha Aprili 2020.
Kim Jong-un aliripotiwa kumlaumu dada yake kwa sababu ya kutofaulu lengo na akamwondoa madarakani kabla ya kumrudisha Aprili 2020.
Wakati ripoti za afya mbaya ya Kim zilipoenea April 2020, vyombo vya habari vilimlenga Kim Yo-jong kama mrithi wa kiti cha Urais
Kama Yo Jong atakabidhiwa kiti cha Uraisi kuna uwezekano mkubwa akaja kuitikisha na kuipa jamba jamba Marekani kuliko alivyonya Kim Jong Un
Kama Yo Jong atakabidhiwa kiti cha Uraisi kuna uwezekano mkubwa akaja kuitikisha na kuipa jamba jamba Marekani kuliko alivyonya Kim Jong Un
Kim Yo Jong alikuwa ni miongoni mwa Wakorea saba wa Korea Kaskazini waliotengwa mapema na USA mwanzoni mwa 2017 kwa "ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu na shughuli za udhibiti."
UGONJWA WA MOYO NDIO ULIOMUUA PIA BABA YAO
Ugonjwa ule ule uliomuua Kiongozi Kim Jong-Il kabla ya kumuachia kiti Kim jong Un ndio huu leo hii tunasikia unamsumbua Kim Jong Un(Taarifa za Kifo hazijathibitishwa bado)
Hiyo yote imetokana na aina ya Maisha aliyojizoea Kim

Rais Kim amekua mtu mwenye kupenda kula vitu vyenye sukari nyingi kama vile pipi, wine na mbali na hayo ni mtumiaji mbobezi wa Sigara
Pichani ndie baba yake rais Kim Jong Un, enzi za uhai wake alikua mtumiaji wa Sigara aina ya Rothman yenye tumbaku asilia kutoka Africa
Pichani ndie baba yake rais Kim Jong Un, enzi za uhai wake alikua mtumiaji wa Sigara aina ya Rothman yenye tumbaku asilia kutoka Africa
Basi nikushukuru wewe ambae umetumia muda wako kuusoma UZi huu mpaka hapa mwisho
Pia nikusihi usiache kuretweet kule juu, Hiyo itapendeza zaidi
We share what we have
Pia nikusihi usiache kuretweet kule juu, Hiyo itapendeza zaidi
We share what we have