So this is the homeboy who got his ass whooped by his dad. Mamilioni ya mshua ndio yameishia hapa!


Halafu mwana ni kichwa kwenye somo moja tu, MUSIC. Huyu wangemuacha akatoboe kwenye muziki. Pengine atakua Africa's next Wizkid/Davido/Diamond/Burna or Sarkodie. Who knows!