Haya,
Jinsi rahisi ya kupika mukimo ya kahurura. Pia beef stew rahisi...
Kahurura kwa kizungu sijui yaitwa nini.

Unahitaji:

Viazi
Mahindi mbichi
Mboga ya mukimo (kahurura)

#GoNuts
Ingredients:
Viazi
Mahindi mbichi
Kahurura
Vitunguu maji
Pilipili hoho
Tomato
Nyama
Viungo - Kitunguu saumu, Curry powder, Paprika, cumin (Feel free kutumia spice yoyote unayo).
Mafuta ya kukaangia. Nime tumia cold pressed Canola ya @BlueBandKenya
Ikisha chemka, mimina maji yote, Tia chumvi kidogo... Alafu mboga yako. Kisha uanze kuponda.
Mboga iliingia yote kimakosa.
🤣🤣😭😭
Utamu wa mukimo ni kukaanga na vitunguu.
Step two: Kaanga mukimo kwa Vitunguu na mafuta.
Mafuta na kitunguu kwa wingi...
🔥🔥🔥🔥🔥
Rule number 1 ya upishi:
Tumia vile vitu/Viungo ambavyo vya patikana kwa urahisi. Usikose kupika sababu recipe yasema sijui utumie kitunguu ya blue. Kama ni kitunguu, Uki pata nyeupe sawa, ukipata ya matawi sawa. Lakini uki kosa, tumia zile vitu ziko readily available sokoni.
Beef stew rahisi...
Take note.
Waeza tumia spice yoyote ulionayo.
Mchuzi uki tokota, funika alafu zima.
🔥🔥🔥
Ka late luuuunch...
You can follow @shobanes.
Tip: mention @twtextapp on a Twitter thread with the keyword “unroll” to get a link to it.

Latest Threads Unrolled: